Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,482
Hamna dogo wala kubwa mtu unamfanyia hivyo anakuona kama katoy si bora kuishi real life yaani kila mtu ajihudumie aaaaaah
Natafuta sana mwanamke wa hivi mkuu....WENYEWE WANASEMA "BORA UKOSEE KUJENGA NYUMBA KULIKO KUKOSEA KUOA MKE"....Najuuta!