Ijue tofauti ya mwanamke mjinga na mwerevu

fundichupi

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
382
230
Mwanamke mjinga:-

1. Anamkomoa mumewe.

2. Analala mapema kabla ya mumewe.

3. Anachelewa kuamka kabla ya mumewe.

4. Mbishi, anahisi kuonewa mda wote.

5.Anadhani kumnyima mumewe unyumba ni kumkomoa

6. Mmekaa sebuleni anahadithia tu mafanikio ya familia za watu wakati yeye ndo kigezo cha kero.

7. Hataki kuzungumzia mshahara wake.

8. We unajenga familia ye anajenga kwao

9. Mkikaa anaanza umbea ama kuponda ndugu na majirani.

10. Haridhiki (mwanaume unatoa jasho, ila ye anakudiscourage wakati Ye akishuka kwenye kochi anakaa Kwenye jamvi na baadaye anelekea saloon kupiga umbea. kuhusu lara 1 kafumaniwa gesti.

11. Nyumbani housegirl hapumziki. 1

12. Anajali ajira yake tuu na hataki kufuatiliwa mambo yake.

NOTE: Akikutana na mwanaume kichwa ngumu anamrudisha kwao ameshazalishwa watoto 3, anaenda kwa mwingine anaongezewa watoto 2, anazinguliwa anapigwa toto lingine na wajanja wa mtaani, unakuta kazaa na kila familia mtaani baadaye anaishi ghetto au kwao.

Mwanamke mwerevu;

1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni" (mwanamke adimu sana)

2. Unajiandaa kwenda kazini, nguo zishapigwa pasi (jamani hiyo kazi kafanya saa ngapi? unajikuta unaenda kazini upo kwenye daladala kimoyo moyo unamwambia "I love u honey"

3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi, hujui hata atazifua saa ngapi maana huwa hujui anazifua saa ngapi?

4. Umejipumzisha kwenye kochi au kitandani mara kakukalia mgongoni anakufanyia masaji mgongoni, ( alijuaje unataka ufanyiwe masej? Unaishia kusema Thanks baby).

5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia na unaweza kumpa mtaji mana ni mkweli (ni baraka kwenye familia)

6. Anapenda ndugu zako (siyo mama mkwe akija anasimamisha pua juu kama nyati anatafuta maji)

7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu, mf: umefukuzwa kazi anakushauri (baby hayo ni maisha tu, usijali utafanikiwa kama vipi tusimamie ule mradi wangu mpk uajiriwe).

NOTE: Hawa ndio type ya kuoa na kunyenyekea maana wanajielewa.
 
Last edited by a moderator:
kwenye kochi huwa mnakalia tumbo?
hamna mahala pamesema umekaa ila pamesema umejipumzisha na kama ni mwelevu basi utajua ni mtu kajilaza ndio uwezekano wa kukaliwa mgongoni ukawepo.
Ila bila shaka na ww ni mwanamke MJINGA hvo hujui kumpet pet bwana ako.
 
Au tungefanya hivi;-
Kuwe na vyuo vya kufundisha wanawake na wanaume kuwa wenzi bora...halafu wakihitimu kunakuwa na madalali wa kuwatafutia wenza..au mnasemaje wadau!!!!!!!?
 
Huyo anayekuvua mpaka soksi ni mtumwa. Wewe hujiwezi?
hayo ndio mahaba ambayo yanatufanya tusahau ndoa tuhamie kwa michepuko... Sasa ww jitie ujinga na umwinyi utabaki kuwa mlinzi wa nyumba mmeo akienda kupewa mahaba moto moto
 
Miss chaga haya kwako hayawezekani kwn uko bizy kutafta mbesa au vp!
 
Wanawake hawajaiona hii au bado? Au wanachungulia tu wanasepa. Umewakamata penyewe!!
 
Mwanamke mjinga:-

1. Anamkomoa mumewe.

2. Analala mapema kabla ya mumewe.

3. Anachelewa kuamka kabla ya mumewe.

4. Mbishi, anahisi kuonewa mda wote.

5.Anadhani kumnyima mumewe unyumba ni kumkomoa

6. Mmekaa sebuleni anahadithia tu mafanikio ya familia za watu wakati yeye ndo kigezo cha kero.

7. Hataki kuzungumzia mshahara wake.

8. We unajenga familia ye anajenga kwao

9. Mkikaa anaanza umbea ama kuponda ndugu na majirani.

10. Haridhiki (mwanaume unatoa jasho, ila ye anakudiscourage wakati Ye akishuka kwenye kochi anakaa Kwenye jamvi na baadaye anelekea saloon kupiga umbea. kuhusu lara 1 kafumaniwa gesti.

11. Nyumbani housegirl hapumziki. 1

12. Anajali ajira yake tuu na hataki kufuatiliwa mambo yake.

NOTE: Akikutana na mwanaume kichwa ngumu anamrudisha kwao ameshazalishwa watoto 3, anaenda kwa mwingine anaongezewa watoto 2, anazinguliwa anapigwa toto lingine na wajanja wa mtaani, unakuta kazaa na kila familia mtaani baadaye anaishi ghetto au kwao.

Mwanamke mwerevu;

1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni" (mwanamke adimu sana)

2. Unajiandaa kwenda kazini, nguo zishapigwa pasi (jamani hiyo kazi kafanya saa ngapi? unajikuta unaenda kazini upo kwenye daladala kimoyo moyo unamwambia "I love u honey"

3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi, hujui hata atazifua saa ngapi maana huwa hujui anazifua saa ngapi?

4. Umejipumzisha kwenye kochi au kitandani mara kakukalia mgongoni anakufanyia masaji mgongoni, ( alijuaje unataka ufanyiwe masej? Unaishia kusema Thanks baby).

5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia na unaweza kumpa mtaji mana ni mkweli (ni baraka kwenye familia)

6. Anapenda ndugu zako (siyo mama mkwe akija anasimamisha pua juu kama nyati anatafuta maji)

7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu, mf: umefukuzwa kazi anakushauri (baby hayo ni maisha tu, usijali utafanikiwa kama vipi tusimamie ule mradi wangu mpk uajiriwe).

NOTE: Hawa ndio type ya kuoa na kunyenyekea maana wanajielewa.
Hiyo namba 6. Ni busara kama angezingatia nini kifanyike ili kuiinua familia yake.
 
Back
Top Bottom