Nawaza Tu: Ukimpata mpenzi wa hivi

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
19,701
UKIMPATA MPENZI KAMA HUYU UTAWAZA KUMSALITI KWELI BOY.

1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)

2. Unajiandaa kwenda kazini khaa, nguo zishapigwa pasi

3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha sana!

4. Umejipunzisha kwenye kochi au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji, unaishia kusema "thanks baby".

5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.

6. Anapenda ndugu zako.

7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)

8. Anajua unataka nini na kwa wakati gani. Full kuenjoy kidume.

He heee heee, ila wanaume hatuna dogo, unaweza fanyiwa yote hayo na kesho uka malizia, ingawa siyo kila mwanaume anaweza fanya hivyo.
 
If a man is worth my time and love, I will do whatever it takes, to the best of my ability to make him happy.

But lets be realistic here. Shall I be enslaved in the name of love? Hell No.

You know where the bathroom is so dude drag your ass there and shower. We have to get going to beat traffic.

Need a massage? Well, so do I?

Remove your socks, I will kick off my heels and throw my ass on the couch for a peaceful moment.

I am a careee woman, you loved my independence among other things but like everything else it comes with a price.

This time round the price is compromise.
 
Thats why i shall not marry....LMAO
 
mbona hiyo ni kawaida sana..na hayo ni baadhi tu ya mambo unaeweza kumfanyia umpendae..
 
unafanyiwa yote hayo,af baada ya miaka mitatu unamuacha
sababu 'sio type yako'
 
Mimi mbona niko hivyo na zaidi ya hayo! Ni kawaida sana kama unapenda na kujitambua

Aya mjibu Karucee wewe siyo career/professional woman?-ninachkiona sisi waafrika tunaukana utamaduni wetu(tradition ni kama maji) thats why tunapata matatizo mengi ya familia na mahusiano
 
Last edited by a moderator:
UKIMPATA MPENZI KAMA HUYU UTAWAZA KUMSALITI KWELI BOY.

1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)

2. Unajiandaa kwenda kazini khaa, nguo zishapigwa pasi

3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha sana!

4. Umejipunzisha kwenye kochi au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji, unaishia kusema "thanks baby".

5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.

6. Anapenda ndugu zako.

7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)

8. Anajua unataka nn na kwa wakati gani. Full kuenjoy kidume.

He heee heee, ila wanaume hatuna dogo, unaweza fanyiwa yote hayo na kesho uka malizia, ingawa siyo kila mwanaume anaweza fanya hivyo.

and what do you do in return?
 
Back
Top Bottom