kiongozi subiri! uishi maisha tofauti na uliyonayo sasa!!! hizo massage utazisikia kwenye MATANGAZO tu, tehe!tehe!tehe! hapana chezea mapenzi au ndoa!! maombi na sala ndo tiba! hayo mengine ni mbwembwe tu!
Ha ha ha aya kiongozi kule kati sikuoni siku mbili hizi au kwasababu Madame B ameadimika nae?
Kuna tofauti kati ya MKE na Massage parlour GIRLYour point is?
Oeni dada zenu!! Maana sie hatuwezi!!
UKIMPATA MPENZI KAMA HUYU UTAWAZA KUMSALITI KWELI BOY.
1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)
2. Unajiandaa kwenda kazini khaa, nguo zishapigwa pasi
3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha sana!
4. Umejipunzisha kwenye kochi au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji, unaishia kusema "thanks baby".
5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.
6. Anapenda ndugu zako.
7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)
8. Anajua unataka nini na kwa wakati gani. Full kuenjoy kidume.
He heee heee, ila wanaume hatuna dogo, unaweza fanyiwa yote hayo na kesho uka malizia, ingawa siyo kila mwanaume anaweza fanya hivyo.

Duh! aisee umenikumbusha mbali sana mkuu, kipindi cha mwanzo cha ndoa yangu hayo mambo yote nilifanyiwa, uliz sasa hivi kudadeki, hii ipo kwa kila mtu mpaka utajiona wewe pekee ndio uliyebahatika, subiri mzoeane utaimba aleluya
Kumbe mume wangu ana raha sana ndo maana ananidekea sana...mi sioni kama ni utumwa,ni wajibu wangu hata kama mume wangu angekuwa muuza mitumba na mimi waziri.nikifika kwangu,cheo,kiburi,dharau n.k naviacha nje ya geti.
Nikiwa nasafiri naumia kichwa kwasababu nafikiria mume wangu ataishije wakati sipo so naacha nimeandaa kila kitu atakachotumia kwa wakati ambao sipo.sitaki apate shida wakati mimi ni msaidizi niliyeumbwa kwa ajili yake
Kwanza ukimfanyia hizo mambo mumeo huna hata haja ya kuomba akufanyie massage na wewe...ye mwenyewe atakwambia "haya sahv zamu yako,najua unachoka mke wangu" yani huwa nasisimka mpaka utumbo
Asante mama yangu kwa mafunzo uliyonipa juu ya kumlea mume
pole mkuu mkumbushe labda atarudi kama awali
Hahaaaa. Nimecheka sana.Aisee.......mwingine aliniambia labda nimtengeneze mweneyewe....... mwanamke wa hivyo atakua "ALIEN" huyo sio wakawaida.
Kuna tofauti kati ya MKE na Massage parlour GIRL