Loy MX
JF-Expert Member
- Mar 26, 2012
- 1,253
- 313
nipe tips mdau
Bangi sio suluhisho coz mwisho wa siku utaizoea na utaona haikutoshi afu utaanza kubwia ma drug
nipe tips mdau
hahahaaaaaaaa! (its not a laughing matter!)
ukisikia yalaaaaaaaah!!!!!! Ujue mtu mzima mwenzio yamemfika na yamemshika pabaya!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mi nakushauri uangalie korean movies ni very addictive kuliko bange!
Anza na zifuatazo
worrior don soo
the princess's man
city hunter
the land of wind
the painter!!!!!!!
Ahahaaa umesahau jumong
the man called god
ni balaaa
iyo a man zipo mbili moja sikuielewa ila iyo ingine nzuri kweli kweli jumong kacheza kidigital lakini ipo pouwa sana nadhani umepata ile ambayo ipo shallowjumong ndo the land of wind! A man called god sikuipenda ya kidigitali zaidi! Hamna mibisu na kungfu mule!
nipe mwongozo sina pa kuupata zaidi ya hapa
Aaagh!!, samahani, sasa tusemeje,Bwana asifiwe au?mi mkristo mkuu
mlevi wa nini sasa pombe nimeshindwa ..ngono nayo sifagiliiaaagh!!, samahani, sasa tusemeje,bwana asifiwe au?
Anyway, achan na hayo.
Siggarate smoking is very dangerous, ni bora mara mia ukawa mlevi, if you are really serious with what you are saying,
ni hayo tu.
nipe mchakato ndugu kumbe kuna kitu hadi cha sudan?
wachaaa! Hata presidaa anatumia?