kwakweli hata mimi nilijigundua kuwa jamii haijui ukweli wowote juu ya marijuana. Marijuana ina myths nyingi kuliko kitu chochote hapa duniani. I was brainwashed na watu na maneno.
Nenda youtube, kuna documentary 3 kubwa zinazoelezea tafiti na maelezo ya madaktari walioanza kufanya utafiti tangu 1973 mpaka leo, utaona na kujifunza mengi sana.
Facts zinasema, marijuana haiui, ni safe na salama zaidi ya kahawa, haileti tatizo kwenye ubongo ikitumika kwa mtumiaji mwenye umri zaidi za 21, haijawahi kuua mtu, inatibu na kupunguza/kuondoa seli za kansa, inakupa hamu ya kula ndio maana wagonjwa wa kansa na hiv wanatumia, ni relaxant bora kuliko pombe, na sigara.
Hivyo, hakikisha unaitumia peke yake (usichanganye na sigara wala pombe kama wahuni wengi wanavyotumia), hakikisha una miaka zaidi ya 21 (kipindi ambacho canabinoid receptors za ubongo zinakuwa zimekomaa na zinakusaidia kubalance thc). Kila mwanadamu ana hizo receptors na katika evolution zimeanza tangu 65mil years ago, thats how amazing god created us with receptors kwa ajili ya kupokea thc tu, wala hazina kazi nyingine.
Amazing plant, and blessed.