mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,750
- 7,850
- Thread starter
- #401
Andiko lipi? La Yohana au Paulo akiusema unafiki wa Petro?Liseme hilo andiko mkuu ili twende pamoja
Andiko lipi? La Yohana au Paulo akiusema unafiki wa Petro?Liseme hilo andiko mkuu ili twende pamoja
La paulo akiusema unafiki wa petroAndiko lipi? La Yohana au Paulo akiusema unafiki wa Petro?
Hekima yako ndogo ...swali ...mungu akisema leo watu wote wavae nguo nyeusi na baada ya siku 5 mungu akasema sasa watu wote wavae nguo nyeupe je ni amri ipo utakayo endelea kuifuata ile ya mwanzo au hii ya pili ....hivyo ilitakiwa mudi awe mkristo kwanza maana ndiyo kitabu kilicho kuwepo cha mwisho na ukristo umkuze hadi kufikia daraja la utume ndiyo naye alete mwongozo wa kitabu kipyaKama kuna ummah kwa nni usimfuate Mussa ambaye alikuwepo kabla ya issa?
Sawa nitaleta soonLa paulo akiusema unafiki wa petro
Inafikirisha. Mnyama ana jina lenye namba 666.
Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”
Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”
Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666
Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.
“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.
Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.
Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.
VICARIVS FILII DEI”
(Kasisi wa Mwana wa Mungu)
V...............................5
I.................................1
C.......................... 100
A..............................0
R,.............................0
I................................1
V.............................5
S.............................0
F..............................0
I................................1
L.............................50
I...............................1
I................................1
D..........................500
E..............................0
I.................................1
Jumla =666
Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.
11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.
Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.
Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”
Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”
Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu
KARIBU KWA MJADALA.
Huuu ni uendawazimu kama wa pastor wa Kenya. Mnyama ana jina lenye namba 666.

Nikweli hao ndiyo wanao chomana moto makanisani ...wamejaza upumbavu ambao wao wanajidanganya ni neno la munguHuuu ni uendawazimu kama wa pastor wa Kenya

😂😂😂so Muhamad alizaliwa zama za issah tambua ukristo kaanzisha paulo na sio yesu ..Hekima yako ndogo ...swali ...mungu akisema leo watu wote wavae nguo nyeusi na baada ya siku 5 mungu akasema sasa watu wote wavae nguo nyeupe je ni amri ipo utakayo endelea kuifuata ile ya mwanzo au hii ya pili ....hivyo ilitakiwa mudi awe mkristo kwanza maana ndiyo kitabu kilicho kuwepo cha mwisho na ukristo umkuze hadi kufikia daraja la utume ndiyo naye lete mwongozo wa kitabu kipya
Ni vema na wewe ukampinga kwa hoja/facts mkuu, lengo ni kuelemishana! Naamini 99.9% kama siyo 100% ya wanajamvi wrote humu tuna utashi. Wenye kutafakari watabainisha!Huyu kacopy mahali ni kwamba hamna muunganiko kabisa
![]()
Kwahiyo unapingana na mudi maana yeye alipokuwa anawaelezea waislamu kuhusu uma wa mitume ndiyo alisema hivyo ...pia mimi nilikuwa nazungumzia injili kwanini mudi akuwa mfuasi wa kitabu cha injili kabla ya kuwa mtume maana injili ndiyo kitabu cha mwisho kabla ya mudi kuja dunianiso Muhamad alizaliwa zama za issah tambua ukristo kaanzisha paulo na sio yesu ..
Niambia Mussa alikuwa dini gani na Ibrahimu..
Kwanini wewe unamfuata mudi badala ya mussa maana mussa alikuwepo kabla ya mudiKama kuna ummah kwa nni usimfuate Mussa ambaye alikuwepo kabla ya issa?

Kazi ilisha isha huku,,,, 666 mtu mweusi, binadamu halisia, waliofata hao wengine 616
Sindio hapo maana nachojua Dunia hili hakuna Cha Bure hata taka taka inauzwaUkiwa na pesa hauwazi upuuzi kama huu,unafikiria leo nikale Serena au kesho nikale dubai lunch,mzee fremanson ni nzuri sana ebu fikiria watu wote maarafu wapo huko,tatizo upati connection nzuri ongea na watu vinzuri.
Alafu usiogope kutolewa kafara hakuna fremanson anayetoa kafara,yote hayo ni hoja zilitengenezwa na watu ili kuifanya fremanson kuonekana mbaya..
Mtu asikuambie ndugu zangu watatu wapo huko yani bongo kuwaona nadira safari zao sasa leo utasikia wanakuambia tupo Canada baad ya siku 5 wanakuambia tupo China yani kwao ni bata juu ya bata.
Alafu hakuna masharti ya kutoa mtu uhai hakuna kitu kama hicho.
Labda niwaelekeze kitu kuna ela za freemanson na kuna ela za kafara au majini hapo unatakiwa uelewe..
Sio unasema freemanson vibaya sisi kwetu ni taasisi kama zilivyo Bank au makanisa.
Freemanson hakuna kafara yeyote eti mtu anakuambia ukienda kuku anatupiwa punje za mahindi akidonoa 3 eti unaishi miaka 3 ya utajiri sio kweli.
Ukijiunga nao wanakupa pesa za maana ni kama mtaji,utawaambia unataka kufanya biashara au uekezaji.
Then wanakupa mtu aliyefanikiwa kwenye hiyo ishu unayotaka kufanya,huyo mtu anakuwa anakusimamia kwenye kila kitu..
yani baada ya miezi kadhaa mafanikio yanakutembelea sana,unaporudi kwao wanakuongezea mpunga mrefu sana,wanakuambia uwe unarudisha kiasi fulani kwenye ile pesa waliokupa.
Maana kuna wengine wanatakiwa kupewa kama wewe.
Wenzetu Nigeria,South Africa na nchi kibao tu walishutukia hii fursa mda mrefu ndo maana sasa hivi wana run africa yote.
Freemansons sio mbaya wala hawatoi kafara, ile ni taasisi
Nadhani nimeeleweka kama mtakuwa na maswali nitayajibu hapa hapa
"Ukijiunga nao wanakupa pesa za maana ni kama mtaji,utawaambia unataka kufanya biashara au uekezaji."
Malipo ni yapi utakayotakiwa kutoa?
We ndio mbumbu kabisa Yesu anazaliwa tayari tayari Wayahudi walikuwa wanatawaliwa na wa RomaWaroma walipokuja kuitawala Uyahudi tayari dini ya Kikristo ilikuwepo
Omba ufundishweKwanza kabisa tambueni chapa hii ya mnyama ya 666 kwa mujibu wa Biblia, haimaanishi na haihusiani kabisa na papa na Ukatoliki. Yaani ni mbingu na ardhi.
Pia chapa hii ya 666 haihusiani kabisa na taifa la Marekani. Ni kama mbingu na ardhi. Haihusiani na CORONA wala ugonjwa wowote.
"Kina Martin Luther,John cavin, John Knox, William Tyndale , Sir Isack Newton,n.k wote walichunguza na kusoma kitabu Cha UFUNUO na Daniel wakatambua Upapa(Papacy system) ndiye mpinga kristo"Omba ufundishwe
Tueleze hapa mnyama wa 666 ni Nani ,Mimi naweza kukueleza Aya kwa kwa Aya kitabu Cha UFUNUO sura yoyote ile unayoitaka kwa evidence za kibiblia na kihistoria ya zaman had Sasa
Kina Martin Luther,John cavin, John Knox, William Tyndale , Sir Isack Newton,n.k wote walichunguza na kusoma kitabu Cha UFUNUO na Daniel wakatambua Upapa(Papacy system) ndiye mpinga kristo ,
Wewe leo unasali kwa mwamposa unauziwa Mafuta na udongo,unakula nguruwe na ndizi mbili , Unasema 666 Papa hahusiki
Unasema UFUNUO 13 ,USA haihusiki
Ndio maana mnatapeliwa Sana , hamtaki kusoma Biblia

Thibitisha kuwa USA inahusika kupitia maandiko, thibitisha kula kitimoto na ndizi mbili ni 666 kwa vifungu vya maandiko ya BIBLIA.Omba ufundishwe