Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

666 ilikua kwenye utawala wa Rumi (Warumi) mtawala wa kipindi hicho alikua anaitwa NERO, huyu Bwana Nero alikua ni katiri wa dunia nzima Hitler akasome, alikua anawaua wale wote wanaosema wanamfuata Yesu kwa mateso makali na vifo vya aibu, ndipo wakristu wakaona isiwe tabu wakaunda namba kuonyesha ukatiri wa Nero kwa namba 666, baada ya hapo ndipo namba 666 ikaanza kutumika kuonyesha ukatiri wa mtawala Nero, maana alikua akiua wakristu wote wakati wa utawala wa Rumi Ila baadae kilichokuja kutokea ndio ulipoibuka Ukatoriki, sitaki kuingia huko

Maana ya 666 kwa kipindi hicho ilikua ikimaanisha MPINGA KRISTU au kwa lugha nyingine ilimaanisha wewe upo upande wa mtawala Nero na utawala wake wa Rumi na unampinga Kristu kwa hio ukionyesha hio nembo hivyo ndio pona yako awakuui kinyume na hapo unauawa unakufa sababu wewe unamfuata Kristu, Ila baadae alipokuja mtawala mwingine baada ya kifo Cha mtawala Nero ambae alikua nu muuaji/katiri ndipo ikawa imeondolewa hio taratibu ya kuua wakristu kwa ambao hawana nembo ya 666 na utawala wa Rumi ukakubari ukristu uingie ndani ya Rumi na hapo ndipo ukawa mwanzo wa kuibuka kwa Roman Catholic, neno Roman Catholic lina maana yake

Kwa kipindi hicho Roman Catholic ilichanganyikana na Jamii ya watu waitwao Wajenzi Huru (Freemasons) ambao walikua na taratibu zao na mienendo yao ambayo wale wasimamizi na waendeshaji wa Imani ya kikristu ndani ya RC hawakuzipenda (ingawa hili RC hua hawapendelei kabisa kabisa kulizingumzia kwa undani) hivyo wakawaondoa Jamii hio ya Wajenzi Huru ambao wanaitumia nembo ya 666 km moja wapo ya nembo zao mpaka leo,

Ila pia hapo kuna mkanganyiko kidogo, maana ukifuatilia kwa makini unaambiwa wakristu waliokua wakiuawa kipindi Cha utawala wa Nero na utawala wa Rumi waliundiwa nembo ya 666 kuonyesha ishara ya kua wapo upande wa Mpinga Kristu (Nero) Ila Freemasons wameichukua hio nembo na ni nembo wanaitumia kuonyesha ishara ya utajiri na njia ya mafanikio, ingawa huko RC huwachukulia Freemasons km wapinga Kristu sababu wanaitumia hio nembo ya kuonyesha na kumaanisha Mpinga Kristu 666
Mbona mnaleta dhana badala ya hoja na maandiko?
 
MZEE WA SIKU NI PAPA MAANDIKO YANAJIELEZEA VIZURI.

DANIEL 7:9
Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.

Danieli 7:9
Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.

Danieli 7:13

hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.

Danieli 7:22
Mkuu jifunze biblia tu achana na dhana
 
Ukiwa na pesa hauwazi upuuzi kama huu,unafikiria leo nikale Serena au kesho nikale dubai lunch,mzee fremanson ni nzuri sana ebu fikiria watu wote maarafu wapo huko,tatizo upati connection nzuri ongea na watu vinzuri.
Alafu usiogope kutolewa kafara hakuna fremanson anayetoa kafara,yote hayo ni hoja zilitengenezwa na watu ili kuifanya fremanson kuonekana mbaya..

Mtu asikuambie ndugu zangu watatu wapo huko yani bongo kuwaona nadira safari zao sasa leo utasikia wanakuambia tupo Canada baad ya siku 5 wanakuambia tupo China yani kwao ni bata juu ya bata.
Alafu hakuna masharti ya kutoa mtu uhai hakuna kitu kama hicho.

Labda niwaelekeze kitu kuna ela za freemanson na kuna ela za kafara au majini hapo unatakiwa uelewe..
Sio unasema freemanson vibaya sisi kwetu ni taasisi kama zilivyo Bank au makanisa.

Freemanson hakuna kafara yeyote eti mtu anakuambia ukienda kuku anatupiwa punje za mahindi akidonoa 3 eti unaishi miaka 3 ya utajiri sio kweli.

Ukijiunga nao wanakupa pesa za maana ni kama mtaji,utawaambia unataka kufanya biashara au uekezaji.
Then wanakupa mtu aliyefanikiwa kwenye hiyo ishu unayotaka kufanya,huyo mtu anakuwa anakusimamia kwenye kila kitu..

yani baada ya miezi kadhaa mafanikio yanakutembelea sana,unaporudi kwao wanakuongezea mpunga mrefu sana,wanakuambia uwe unarudisha kiasi fulani kwenye ile pesa waliokupa.
Maana kuna wengine wanatakiwa kupewa kama wewe.

Wenzetu Nigeria,South Africa na nchi kibao tu walishutukia hii fursa mda mrefu ndo maana sasa hivi wana run africa yote.

Freemansons sio mbaya wala hawatoi kafara, ile ni taasisi
Nadhani nimeeleweka kama mtakuwa na maswali nitayajibu hapa hapa
 
Kujiunga inapaswa uanzie wapi
 
kumbe 😂 ungeza nyama maana naona mchuzi mwingi, tunajiungaje na hiyo taasisi
 
Leo nawiwa kufumua ukweli wote kuhusu chapa ya 666 ili watu waache kudanganyana.

Nalipika somo nakuja.
Ila kwa kifupi tu, hii 666 chimbuko ni Israeli kwa mfalme Suleiman.

Why 666 and not other digits? Nakuja!
NB: ukweli huu ulijulikana na wachache mno mimi nikiwa mmoja wao
Mkuu umeshaleta huo ukweli, maana naona uzi umefika 17 bado chenga tu.
 
Ukiwa na pesa hauwazi upuuzi kama huu,unafikiria leo nikale Serena au kesho nikale dubai lunch,mzee fremanson ni nzuri sana ebu fikiria watu wote maarafu wapo huko,tatizo upati connection nzuri ongea na watu vinzuri.
Alafu usiogope kutolewa kafara hakuna fremanson anayetoa kafara,yote hayo ni hoja zilitengenezwa na watu ili kuifanya fremanson kuonekana mbaya..

Mtu asikuambie ndugu zangu watatu wapo huko yani bongo kuwaona nadira safari zao sasa leo utasikia wanakuambia tupo Canada baad ya siku 5 wanakuambia tupo China yani kwao ni bata juu ya bata.
Alafu hakuna masharti ya kutoa mtu uhai hakuna kitu kama hicho.

Labda niwaelekeze kitu kuna ela za freemanson na kuna ela za kafara au majini hapo unatakiwa uelewe..
Sio unasema freemanson vibaya sisi kwetu ni taasisi kama zilivyo Bank au makanisa.

Freemanson hakuna kafara yeyote eti mtu anakuambia ukienda kuku anatupiwa punje za mahindi akidonoa 3 eti unaishi miaka 3 ya utajiri sio kweli.

Ukijiunga nao wanakupa pesa za maana ni kama mtaji,utawaambia unataka kufanya biashara au uekezaji.
Then wanakupa mtu aliyefanikiwa kwenye hiyo ishu unayotaka kufanya,huyo mtu anakuwa anakusimamia kwenye kila kitu..

yani baada ya miezi kadhaa mafanikio yanakutembelea sana,unaporudi kwao wanakuongezea mpunga mrefu sana,wanakuambia uwe unarudisha kiasi fulani kwenye ile pesa waliokupa.
Maana kuna wengine wanatakiwa kupewa kama wewe.

Wenzetu Nigeria,South Africa na nchi kibao tu walishutukia hii fursa mda mrefu ndo maana sasa hivi wana run africa yote.

Freemansons sio mbaya wala hawatoi kafara, ile ni taasisi
Nadhani nimeeleweka kama mtakuwa na maswali nitayajibu hapa hapa
"Ukijiunga nao wanakupa pesa za maana ni kama mtaji,utawaambia unataka kufanya biashara au uekezaji."

Malipo ni yapi utakayotakiwa kutoa?
 
Nimesoma yote. Bado ina mashaka mno. Wanaangalia vitu gani kama vigezo vya kujiunga nao???
Ngoja nikuelekeze tu kwani dini zilivyokuja waliangalia kigezo gani??kigezo cha muhimu ni wewe kukana uhalisia wako..freemanson ni dini mpya inatumia kusaidia watu ili kupata waumini wapya wasio na shida za kimaisha.
Kila muumini wa dini ya freemanson atakiwi kuwa masikini ndo maana kule kuna watu wanatoka sekta mbali mbali,na kule kuna vyeo kama hujui..

Kuna mengi kibao ambao watu hawajui
 
Na ndiyo maana nikasema. Chapa ya 666 haina uhusiano na Freemason
 
Freemanson inakuja kuwa na dollar moja na dini moja ulimwenguni pote watu watakuwa hawafanyi kazi za kutafuta chakula tena kama ilivyo sasa au kutafuta kodi, itakuwa chakula unachukua bure na nyumba unapewa bure wewe kazi yako ni kuenjoy maisha tu
 
Maisha kiukweli hapa duniani wana enjoy wachache sana.
 
Hujapenda kuenjoy na uoga wako ndo umasikini wako,na MUNGU lineman kila mbuzi atakula mrefu wa kamba yake,na ukishajikuta duniani pambana vyovyote unavyoweza fanya chochote kitakachofanya maisha yako yakae vyema ila tambua usibunje sheria
 
Back
Top Bottom