Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Mtazunguka sana ila 666 ni PESA,
Nyingine zitabaki kuwa story za kufurahisha genge tu.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
666 ni mwili wako mwenyewe ....chapa ya huyo mnyama ni kuyafuata matamanio ya mwili....
Maandiko yanasema ... msizifuate tamaa za mwili
 
Mnyama wa kitabu cha Ufunuo

Watu wengi hawafahamu kuwa mnyama ni nani, na wengi wamejihusisha naye bila wao wenyewe kujua kama wanashiriki na mnyama. Lakini Mungu hajatuacha gizani, hivyo, kwa kupitia neno lake (Maadiko Matakatifu) tunaweza kumfahamu mnyama huyu aliyelezwa katika kitabu cha Danieli na Ufunuo. Tunapaswa kuyaacha maandiko yajitafisiri yenyewe; kwa maana “hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.

Maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.” 2Petro 1:20-21. Hatupaswi kumuacha mtu flani atafsri unabii kwa jinsi yake mwenyewe, badala yake tunapaswa kuiacha Biblia ijitafsiri yenyewe.

Katika Danieli 7 wametajwa “wanyama wanne” ambao wanawakilisha falme nne. Kumbuka mmyama wa 4 aliyetajwa katika Danieli 7 ndiye mnyama aliyetajwa katika kitabu chote cha Ufunuo. Hivyo hapa tutaangalia sifa za mnyama wa nne wa kitabu cha Danieli, na mnyama wa kitabu cha Ufunuo, kisha tutaangalia ni wapi hapa duniani ambapo sifa za mnyama zinatimizwa kikamilifu.

1. Mnyama atakuwa na uwezo wa kisiasa na kidini (kanisa na serikali).

Ufunuo 17:3 “Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona MWANAMKE, AMEKETI JUU YA MNYAMA mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi.”

Mwanamke au bibi-arusi katika unabii huwakilisha kanisa.

Ufunuo 21:2 “…Yerusalemu mpya…umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe.”

Ufunuo 21:9 “…Njoo huku, nami nitakuonyesha yule Bibi-arusi, mke wa Mwana-Kondoo.”

Mnyama huwakilisha taifa au ufalme

Danieli 7:17 “Wanyama hao…wanne ni wafalme wanne watakaotokea duniani”

Danieli 7:23 “…Huyo mnyama wa nne atakuwa ni ufalme wa nne juu ya dunia…”

Kutokana na Ufunuo 17:3, mnyama huyu ana mwanamke aliyeketi juu yake, na kwa sababu unabii unatafisiri mwanamke kama kanisa, na mnyama kama taifa. Je kuna taifa au serikali ambayo imechanganywa pamoja na kanisa kama kitu kimoja? Ndiyo! Vatican, ni serikali au taifa ambalo limechanganywa pamoja na kanisa la Romani Katoliki kama kitu kimoja, na kuongozwa na mtu mmoja ambaye ni Papa.

2. Mnyama atakuwa na kanisa & serikali vimekaa juu ya milima 7.

Ufunuo 17:3 “Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana…mwenye VICHWA SABA na pembe kumi.”

Vichwa saba katika unabii vinawakilisha milima saba.

Ufunuo 17:9 “Hapo ndipo penye akili zenye hekima. Vile vichwa saba ni milima saba anayokalia mwanamke huyo.”

Je hapa duniani kuna kanisa na serikali vimekaa juu ya milima saba?

“Ni ndani ya mji wa Roma, uitwao Mji wa vilima saba, hivyo eneo lote la Serikali ya Vatican limewekewa mpaka kikamilifu.” –The Catholic Encyclopedia, p 529.

“Je vilima saba vya Roma ni nini?

Roma inajulikana kuwa imejengwa juu ya vilima saba. Roma ilisemwa imepatikana wakati Romulus na Remus, wana mapacha wa Mars, walifika katika futi ya kilima Palatine na wakauanzisha mji, Vilima sita vingine ni Capitoline (kiti cha serikali), Quirinal, Viminal, Esquiline, Caelian, na Aventine.” –Geography.about.com

ENCYCLOPÆDIA BRITANNICA
Vilima saba vya Roma

“…kundi la vilima juu au kuhusu ambapo mji wa Roma wa zamani ulijengwa. Mji wa awali wa Romulus ulijegwa juu ya kilima Palatine (#1) (Kilatini: Mons Palatinus). Vilima vingine ni Capitoline, (#2) Quirinal, (#3) Viminal, (#4) Esquiline, (#5) Caelian, (#6) na Aventine (#7) (Vinavyojulikana kimoja kimoja kwa kilatini kama Mons Capitolinus, Mons Quirinalis, Mons Viminalis, Mons Esquilinus, Mons Caelius, na Mons Aventinus).” –http://www.britannica.com/seo/s /seven-hills-of-rome/

Kwa hiyo unabii huu wa Ufunuo 17:3, unaonyesha wazi kuwa mwanamke aliyeketi juu ya mnyama, amekaa juu ya vilima saba vya mji wa Roma. Kwa vyovyote, ni Vaticani na kanisa la Romani Katoliki ambavyo vimekaa juu ya milima saba, na kutimiza unabii huu. Danieli 7:23 inasema mnyama wa mwisho (Roma) anatofautiana na wanyama wengine watatu waliopita. Kwa hakika hakuna taifa wala ufalme mwingine ambao una kanisa na serikali, harafu kwa wakati huo huo umekaa juu ya milima saba. Ila ni kanisa la Romani Katoliki pekee.

TATIZO ni wavivu kusoma
Noma sana!
 
Hizo ni dhambi... Lakini haziwezi kuwepo kwa aliye amini
Kwani hawapo walioamini na wakazini? Mtume Petro alikemewa na Paulo kwa sababu ya dhambi ya unafiki, kumbuka Petro ndiye baba wa kanisa ila alitenda dhambi ya unafiki. Sasa wewe unaongea nini?
 
Soma upya bado hujamuelewa paulo
 
Soma upya bado hujamuelewa paulo
Wewe ndiyo usome na uelewe. Unafiki ni dhambi kubwa na wanafiki hawatoingia mbinguni. Wapo wengi tu wanaomwamini Yesu ila wanazini, wanadanganya, wanachepuka nk, ila wanarudi na kutubu. Wewe unaongea nini?
 
Jamaa kaongea sahihi ila ni fumbo hivyo unaweza kudhani ajataja hizo zambi zingine ilo neno ni kubwa sana ndani yake limebeba kuacha dhambi zote
Hujamuelewa. Nimemuuliza why Petro alikemewa na Paulo kutokana na kuwa mnafiki? Tunajua unafiki ni dhambi kubwa mbele za Mungu. Kama Peter aliyemuamini Yesu alitenda dhambi, who are you usitende?
 
Yani kama UNASALI Roman katoliki ujue Unamuabudu mnyama , shetani.

Tena ujue hamna Tofauti yoyote na WAISLAMU YANI Roman Catholic ndio walioanzidha DINI ya UISLAMU Rejea UFUNUO 9 DINI ya UISLAMU ilivyo anzishwa.

Ushetani wa Roman Catholic unapatikana UFUNUO 23 na UFUNUO 17
Ole WENU.

HAPA MZEE WA SIKU NI PAPA.
DANIEL ANATABIRI KUJA KWA KIONGOZI WA SHETANI PAPA MZEE WA SIKU.

DANIEL 7:9.. 13..., 22
Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.
Danieli 7:9

Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.

Danieli 7:13
hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.

Danieli 7:22
Seriously? Am not here to comment about the Muslim neither am I a Muslim, ila Mkuu you know nothing even about the bible you are trying to use as a reference.Mzee wa siku ni Papa kweli?
 
Hujamuelewa. Nimemuuliza why Petro alikemewa na Paulo kutokana na kuwa mnafiki? Tunajua unafiki ni dhambi kubwa mbele za Mungu. Kama Peter aliyemuamini Yesu alitenda dhambi, who are you usitende?
Hapo sawa ....nilianza kutilia shaka conclusion utakayo kuja nayo kwenye huu uzi ikiwa ungeshindwa kuelewa logic hiyo mimi najiamini kuwa ni mtanzania mwenye uwezo mkubwa sana kiakili wala sioni haya kusema haya maneno...kama ulivyo leta huu uzi niliona na wewe umejipambanua kuwa na uwezo mkubwa tofauti na bendera fuata upepo za watz wengi walivyo ...kuhusu dini mimi binafsi nikiwa darasa la 4 nilifikili sana kuhusu uwepo wa mungu na nikafikia itinisho kuwa hakuna mungu ulimwenguni ila baada ya muda mrefu kwa kutumia akili nilikuja kufikia itinisho kua kamwe haiwezekani mungu asiwepo hapo nilikuwa darasa la 7... toka nigunduwe kuwa kweli mungu yupo tena ni lazima awepo ....ndiyo ikawa mwisho wa mimi kwenda kanisani au msikitini kifamilia sisi ni dini mseto ....sasa jiulize kwanini NILIPO GUNDUA MUNGU YUPO NDIYO IKAWA MWISHO WA KWENDA KANISANI AU MSIKITINI ...jibu hapa anaweza kulipata mtu jiniasi tu
 
Narudi mkuu. Upo kwenye level ya uhuru sasa. Upo huru
 
Wewe ndiyo usome na uelewe. Unafiki ni dhambi kubwa na wanafiki hawatoingia mbinguni. Wapo wengi tu wanaomwamini Yesu ila wanazini, wanadanganya, wanachepuka nk, ila wanarudi na kutubu. Wewe unaongea nini?
Gal 2 : 11-14
Petro alikuwa anaeneza injili yake hasa kwa wayahudi(watu wa sheria)
Paulo alikuwa anaeneza injili kwa watu wa mataifa.
Dhambi ya Petro hapo ilikuwa ni kubeza(kutokuamini) kukombolewa kwa watu wa mataifa bila kutahiriwa(kufuata sheria)
Hivyo baada ya watu waliotoka kwa yakobo(huyu pia alikuwa akieneza injili yake uyahudini) kuja galatia kwa kuwa paulo ni myahudi ilibidi ajitenge na watu wa mataifa ili wayahudi wenzie wasimuone ameamini injili ya watu wa mataifa.

Kiini hasa cha hiyo scripture ni kufunua haki waliyopata watu wa mataifa bila kutahiriwa, na kuonesha kuwa hata myahudi anaweza kupata haki bila kufuata sheria.
 
Siongelei andiko hilo. Lipo ambalo Paulo anauongea wazi wazi UNAFIKI wa Petro. Mbona unapindisha mzee? Huo ni unafiki na ni dhambi, alichokifanya Kefa(Petro).

Pia kati ya Yohana au Yakobo anasema tukisema hatuna dhambi tunajidanganya wenyewe.
 
Liseme hilo andiko mkuu ili twende pamoja
 
Tatizo waisiharamu amjui maandiko yenu wenyewe ...uislamu unasema kila mtume anao uma wake peponi na kutaja kuwa katika hizo nyuma wapo wakristo yani uma wa mtume issa sasa wewe na mudi tumfuate nani maneno yake ....ila kuna walakini kwanini mudi ajawai kuwa mkristo wakati ukristo ni injili ambayo mudi anasema ni kitabu cha mungu wake pia, Cheni ya dini ilikuwaje mudi kabla ya kuwa mtume asifuate ukristo kisha ndiyo ampendeze mungu kwa kutii injili hadi alipo pewa kitabu ...ukitazama ...cheni wa watakatifu wote walifuata mafundisho ya watangulizi wao kabla ya wao kupokea mwongozo wao sasa swali kwanini mudi ajawai kuwa mkristo wakati anakubali kuwa injili ni kitabu cha muongozo wa mungu ulio sahihi
Kama kuna ummah kwa nni usimfuate Mussa ambaye alikuwepo kabla ya issa?
 
Back
Top Bottom