2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,182
- 4,828
Bado sijaona roman empire ikiwa ndio chanzo cha Ukristosoma warumi 2:5

Ujinga mtupu ....maswali magumu niulizeni mimiLeo nawiwa kufumua ukweli wote kuhusu chapa ya 666 ili watu waache kudanganyana.
Nalipika somo nakuja.
Ila kwa kifupi tu, hii 666 chimbuko ni Israeli kwa mfalme Suleiman.
Why 666 and not other digits? Nakuja!
NB: ukweli huu ulijulikana na wachache mno mimi nikiwa mmoja wao
Kama amjui maandiko niulizeni mimi ....huo ulio andika ni ujinga mtupu ....mimi nakijua kitabu chote cha ufunuo ila ni tofauti na uongo wa makanisani kwanza kitabu cha ufunuo ni kinyume chake kwa sababu yote yaliyo kwenye hicho kitabu yalisha funuliwa kwenye vitabu ya nyuma kicha yaka fungwa kama fumbo jipya ....hapa ndipo wasio na akili wanapo jikwaa. Mnyama ana jina lenye namba 666.
Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”
Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”
Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666
Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.
“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.
Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.
Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.
VICARIVS FILII DEI”
(Kasisi wa Mwana wa Mungu)
V...............................5
I.................................1
C.......................... 100
A..............................0
R,.............................0
I................................1
V.............................5
S.............................0
F..............................0
I................................1
L.............................50
I...............................1
I................................1
D..........................500
E..............................0
I.................................1
Jumla =666
Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.
11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.
Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.
Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”
Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”
Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu
KARIBU KWA MJADALA.
Mtazunguka sana ila 666 ni PESA.Leo nawiwa kufumua ukweli wote kuhusu chapa ya 666 ili watu waache kudanganyana.
Nalipika somo nakuja.
Ila kwa kifupi tu, hii 666 chimbuko ni Israeli kwa mfalme Suleiman.
Why 666 and not other digits? Nakuja!
NB: ukweli huu ulijulikana na wachache mno mimi nikiwa mmoja wao
Mtazunguka sana ila 666 ni PESA,. Mnyama ana jina lenye namba 666.
Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”
Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”
Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666
Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.
“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.
Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.
Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.
VICARIVS FILII DEI”
(Kasisi wa Mwana wa Mungu)
V...............................5
I.................................1
C.......................... 100
A..............................0
R,.............................0
I................................1
V.............................5
S.............................0
F..............................0
I................................1
L.............................50
I...............................1
I................................1
D..........................500
E..............................0
I.................................1
Jumla =666
Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.
11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.
Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.
Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”
Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”
Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu
KARIBU KWA MJADALA.
Utumbo wa kuku. Mnyama ana jina lenye namba 666.

Ujinga ni mzigo, huyo Papa unayemzungumzia ni kama vile si binadamu, ni mnyama flani hivi!!!Yani kama UNASALI Roman katoliki ujue Unamuabudu mnyama , shetani.
Tena ujue hamna Tofauti yoyote na WAISLAMU YANI Roman Catholic ndio walioanzidha DINI ya UISLAMU Rejea UFUNUO 9 DINI ya UISLAMU ilivyo anzishwa.
Ushetani wa Roman Catholic unapatikana UFUNUO 23 na UFUNUO 17
Ole WENU.
HAPA MZEE WA SIKU NI PAPA.
DANIEL ANATABIRI KUJA KWA KIONGOZI WA SHETANI PAPA MZEE WA SIKU.
DANIEL 7:9.. 13..., 22
Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.
Danieli 7:9
Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.
Danieli 7:13
hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.
Danieli 7:22
Utumbo mwingineYani kama UNASALI Roman katoliki ujue Unamuabudu mnyama , shetani.

Vipi za Mungu,ambaye ni Mkubwa kuliko Tanzania?Isivunje sheria za tanzania
Ooooh kumbePapa yupo under control ya mnyama akienda kinyume na mnyama wanamuua. Thus papa aliyekufa alitumia kisingizio cha ugonjwa Ili ajiuzulu asiwe chini ya mnyama na kumkosea MUNGU wake
Kuwa na subira kijanaUnalipika wapi mzee? tukisema umeanzisha huu uzi kuwapigia promo hawa waabudu shetani freemason tutakuwa tumekosea? maana naona ndo wanatamba humu kwenye uzi na comment zao za kiulaghai na kiupotoshaji.
SawaHuna lolote
Haya fafanua kwa ufupi. Mbingu mpya maana yake nini? Mbingu ya kwanza maana yake nini?Kama amjui maandiko niulizeni mimi ....huo ulio andika ni ujinga mtupu ....mimi nakijua kitabu chote cha ufunuo ila ni tofauti na uongo wa makanisani kwanza kitabu cha ufunuo ni kinyume chake kwa sababu yote yaliyo kwenye hicho kitabu yalisha funuliwa kwenye vitabu ya nyuma kicha yaka fungwa kama fumbo jipya ....hapa ndipo wasio na akili wanapo jikwaa
Upo wrong
666 ni fumbo ....ni mwili wa binadamu....yaani ni mwili wako mwenyewe ...chapa ya mnyama ni " dhambi iletwayo na tamaa za mwili " chapa kwenye paji la uso ni nia ovu na chapa kwenye mikono ni matendo maovu.....kuna maandiko ysnasema watakao ingia peponi ni wale wasiozaliwa kwa mwili wala damu ni kunyume chake tuHujapatia hata kidogo. Upo gizani mno bado unatapa tapa
3,%666 ni fumbo ....ni mwili wa binadamu....yaani ni mwili wako mwenyewe ...chapa ya mnyama ni " dhambi iletwayo na tamaa za mwili " chapa kwenye paji la uso ni nia ovu na chapa kwenye mikono ni matendo maovu.....kuna maandiko ysnasema watakao ingia peponi ni wale wasiozaliwa kwa mwili wala damu ni kunyume chake tu
Tatizo waisiharamu amjui maandiko yenu wenyewe ...uislamu unasema kila mtume anao uma wake peponi na kutaja kuwa katika hizo nyuma wapo wakristo yani uma wa mtume issa sasa wewe na mudi tumfuate nani maneno yake ....ila kuna walakini kwanini mudi ajawai kuwa mkristo wakati ukristo ni injili ambayo mudi anasema ni kitabu cha mungu wake pia, Cheni ya dini ilikuwaje mudi kabla ya kuwa mtume asifuate ukristo kisha ndiyo ampendeze mungu kwa kutii injili hadi alipo pewa kitabu ...ukitazama ...cheni ya watakatifu wote walifuata mafundisho ya watangulizi wao kabla ya wao kupokea mwongozo wao sasa swali kwanini mudi ajawai kuwa mkristo wakati anakubali kuwa injili ni kitabu cha muongozo wa mungu ulio sahihiWe jamaa tambua ukristo umeanzisha na paulo yesu hakuwai kuishi ukristo na mila za kikristo ...
Rejea Qur an mpaka vita mtume kapigana akiwa ndani ya dini...
Usifananishe uislamu na kikundi kinachomfuata paulo
Ninachokuambia ndiyo ukweli na ukipinga nitakukamata sehemu moja tu ..hapa panaposema wenye chapa ya huyo mnyama kwenye mapaji yao na mikono yao ndiyo watakao ingia motoni sasa swali ikiwa huyo mnyama ni kiumbe ajaye je wale walio kufa kabla yaana kabla ya kristo wao awawezi kwenda motoni maana huyo mnyama alikuwa hayupo hiyo miaka?
Nitarudi soonNinachokuambia ndiyo ukweli na ukipinga nitakukamata sehemu moja tu ..hapa panaposema wenye chapa ya huyo mnyama kwenye mapaji yao na mikono yao ndiyo watakao ingia motoni sasa swali ikiwa huyo mnyama ni kiumbe ajaye je wale walio kufa kabla yaana kabla ya kristo wao awawezi kwenda motoni maana huyo mnyama alikuwa hayupo hiyo miaka?
Hivyo hapo utaona wanaosema mnyama ni papa ni wajinga maana tunajua sababu pekee ya mtu kutupwa motoni ni moja tu na rudia tena ni moja tu nayo ni DHAMBI hivyo chapa hapo inayo dhungumziwa ni dhambi