Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Yaani mtu unamuita mnyama. Hivi papa alipokuja congo au Kenya hukumuona ni mtu au uliona mnyama ndo kaja. Aise hayo macho yako inabidi uyaflash mana hayoni. Siyo ajabu siku mke wako ukamuita panya.
Hahahahahah! mkuu umetisha sana. Ko unataka kusema huwa hawaoni hadi binadamu kumuona kama mnyama
 
We jamaa tambua ukristo umeanzisha na paulo yesu hakuwai kuishi ukristo na mila za kikristo ...

Rejea Qur an mpaka vita mtume kapigana akiwa ndani ya dini...

Usifananishe uislamu na kikundi kinachomfuata paulo
Kwa kuwa huna elimu kuhusu Ukristo nyamaza.Ukristo wenyewe ni kumfuata Kristo huwezi utenganisha na Yesu .Wewe pambana kujua Muhammad aliutoa wapi uislam maana hatuna uhakika na nani alombana mbavu kule pangoni
 
. Mnyama ana jina lenye namba 666.

Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”

Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”

Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666

Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.

“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.

Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.

Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.

VICARIVS FILII DEI”

(Kasisi wa Mwana wa Mungu)

V...............................5
I.................................1
C.......................... 100
A..............................0
R,.............................0
I................................1
V.............................5
S.............................0
F..............................0
I................................1
L.............................50
I...............................1
I................................1
D..........................500
E..............................0
I.................................1
Jumla =666

Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.

11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.

Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.

Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”

Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”

Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu

KARIBU KWA MJADALA.
Naona una ugomvi binafsi na Wakatoliki
 
Kwa kuwa huna elimu kuhusu Ukristo nyamaza.Ukristo wenyewe ni kumfuata Kristo huwezi utenganisha na Yesu .Wewe pambana kujua Muhammad aliutoa wapi uislam maana hatuna uhakika na nani alombana mbavu kule pangoni
Mshamba nn!! unamfuata yesu kwani ye ni Mungu?

Wapi kasema yeye ni Mungu?

Badala mumfuate Mungu anafuata binadamu mlivyokuwa hovyo .
 
Mimi naweza kukueleza Aya kwa kwa Aya kitabu Cha UFUNUO sura yoyote ile unayoitaka kwa evidence za kibiblia na kihistoria ya zaman had Sasa
Mkuu naomba ueleze leo sura moja tu, sura ya 12.

Uanze na kueleza kama hayo ya ufunuo sura ya 12 ni yajayo au yalishapita.
 
Haaaaaa nitakuja siku moja kuongelea uongo wa makanisani kuhusu sadaka ya fungu la 10 na uongo kuhusu kifo cha yesu na madai ya dhambi ya asili ....pia nitakuja kuelezea upumbavu wa wakristo wa leo kuhusu amri kumi za mungu na upotoshaji mkubwa makanisani ...kuna mambo mengi yanayo potoshwa na ukristo mamboleo ....hivyo kwa kiwango icho cha upotovu unao dhaniwa ni injili ya Yesu mimi nimesema mtu yeyote anaye abudu kwenye ukristo huu uliopotoshwa awezi kuwa mcha mungu hata akiona mafunuo ya malaika au kusikia sauti ikijidai ni ya mungu basi ajue ni shetani tu anaye mchezea na kumtumia
...jamaa mleta uzi kakimbia comments zangu humu kajua ataumbuka. Kuna comment nilitoa humu imemkata stimu
Uje na thread kabisa, ila usiikimbie kama mimiamadiwenani
 
Uje na thread kabisa, ila usiikimbie kama mimiamadiwenani
Mimi ni genius walokole na ujuaji wao huwa wakifika kwangu nawakalisha kama moja hadi wanasema ngoja kwanza tusome biblia upya ....ukweli huu ukristo uliopo leo sio ukristo alio uleta Yesu ni upotovu ulio tukuka mimi naijua biblia kwa asilimia 100 hadi najihofia uenda adhabu yangu ikawa kubwa sana ...maana kuna andiko tena ni qndiko sahihi limeongelea watu wenye kujua ukweli...
Kuna shahe mmoja alinijalibu nilimpiga swali ambalo ajawai kuulizwa toka kuzaliwa na baada ya hapo aligundua upungufu kubwa sana ndani ya uislamu
 
Mshamba nn!! unamfuata yesu kwani ye ni Mungu?

Wapi kasema yeye ni Mungu?

Badala mumfuate Mungu anafuata binadamu mlivyokuwa hovyo .
Aaaaah! Mkuu kuna viumbe vya kilokole vikija hapa vitakubishia hadi Qiyamah wakidai kuwa yesu ndie mungu
 
Mimi ni genius walokole na ujuaji wao huwa wakifika kwangu nawakalisha kama moja hadi wanasema ngoja kwanza tusome biblia upya ....ukweli huu ukristo uliopo leo sio ukristo alio uleta Yesu ni upotovu ulio tukuka mimi naijua biblia kwa asilimia 100 hadi najihofia uenda adhabu yangu ikawa kubwa sana ...maana kuna andiko tena ni qndiko sahihi limeongelea watu wenye kujua ukweli...
Kuna shahe mmoja alinijalibu nilimpiga swali ambalo ajawai kuulizwa toka kuzaliwa na baada ya hapo aligundua pungufu kubwa sana ndani ya uislamu
Kuna haya masuala ya kutishana tishana kuwa kuna kuchomwa moto milele, na wewe unayaamini kuwa ni ukweli yapo?
 
Kuna haya masuala ya kutishana tishana kuwa kuna kuchomwa moto milele, na wewe unayaamini kuwa ni ukweli yapo?
Amini usi amini mungu yupo tena hata kisayansi wamesha gundua kuwa kamwe aiwezekani kusiwe na mungu ulimwenguni ....jibu la uwepo wa mungu linajulikana katika kanuni za kisayansi kwa sababu sayansi yenyewe imesha thibitisha kuwa kila kitu ulimwenguni ni energy yaani hata matter ni energy...kuhusu swala la kuchoma moto ni kama jela tu wahalifu ndiyo wanausika...hata sisi binabamu tunqpenda kuona wezi na mafisadi yakiadhibiwa mahakamani
 
Mimi ni genius walokole na ujuaji wao huwa wakifika kwangu nawakalisha kama moja hadi wanasema ngoja kwanza tusome biblia upya ....ukweli huu ukristo uliopo leo sio ukristo alio uleta Yesu ni upotovu ulio tukuka mimi naijua biblia kwa asilimia 100 hadi najihofia uenda adhabu yangu ikawa kubwa sana ...maana kuna andiko tena ni qndiko sahihi limeongelea watu wenye kujua ukweli...
Kuna shahe mmoja alinijalibu nilimpiga swali ambalo ajawai kuulizwa toka kuzaliwa na baada ya hapo aligundua upungufu kubwa sana ndani ya uislamu
Wewe huijui biblia hata kidogo!. Huna lolote.! Kuna mbingu ngapi katika biblia? Na unaelewa nini ukisikia neno mbingu hasa katika kitabu cha Ufunuo?
 
Ulivyoandika Tu unajua Kila Kitu, Tayari Wewe Hauna Unalolijua.

Swali Lipi Hilo Ulimuuliza, Mpaka Akaona Upungufu Katika Uislamu? Liulize Hapa.

Sent from my TECNO PR651E using JamiiForums mobile app
 
Amini usi amini mungu yupo tena hata kisayansi wamesha gundua kuwa kamwe aiwezekani kusiwe na mungu ulimwenguni ....jibu la uwepo wa mungu linajulikana katika kanuni za kisayansi kwa sababu sayansi yenyewe imesha thibitisha kuwa kila kitu ulimwenguni ni energy yaani hata matter ni energy...kuhusu swala la kuchoma moto ni kama jela tu wahalifu ndiyo wanausika...hata sisi binabamu tunqpenda kuona wezi na mafisadi yakiadhibiwa mahakamani
Mungu yupo sikatai ila hayo mengine ni ngonjera tyuuuu.
 
Wewe huijui biblia hata kidogo!. Huna lolote.! Kuna mbingu ngapi katika biblia? Na unaelewa nini ukisikia neno mbingu hasa katika kitabu cha Ufunuo?
Naijua biblia na msahafu kuliko mtu yoyote wewe amini tu ninacho kuambia .....pia swali lako la mbingu limekosq msingi .... ngoja nikufumbue macho kidogo wakristo wa leo wapo kwenye upotovu mkubwa tena huo upotovu ulisha semwa kwenye maandiko kuhusu kizazi cha mwisho na mimi ni shahidi kwa ninayo yaona ....leo wakristo hawajui hata maana ya amri 10 za mungu hivyo wanazipotosha mfano ukimuuliza mkristo katika amri kumi za mungu jpo amri inayo sema usiue tena hiyo amri ilikuja kupitia mikono ya musa sasa kwanini baada ya hiyo amri musa aliendelea kuua na watakatifu wengine kama daudi samweli nk tena kuua hadi watoto wachanga na vizee ...?
 
Leo nawiwa kufumua ukweli wote kuhusu chapa ya 666 ili watu waache kudanganyana.

Nalipika somo nakuja.
Ila kwa kifupi tu, hii 666 chimbuko ni Israeli kwa mfalme Suleiman.

Why 666 and not other digits? Nakuja!
NB: ukweli huu ulijulikana na wachache mno mimi nikiwa mmoja wao
Umeanza na erroneous premise, hivyo hata conclusion itakuwa erroneous. Soma biblical symbolism, labda itaweza kukusaidia. Na kwa vile wadau wengi huwa wanahitimisha kabla ya kujadili hoja, sidhani kama wewe utafaulu mtihani huu. Ngoja nisubiri.
 
Back
Top Bottom