Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

huo ufunuo bado tu, watu watauwana humu.
namba ziko nyingi kama 111,222,333,444,555,666,777,888,999 formaj code ni 3,6,9 na zote zina maana na vibration na frequence zake.
kwa
6+6+6=18,1+8=9 namba nine ni namba ya creation
 
Fafanua vizuri. Hapa tunaongelea ile chapa ya 666 iliyonenwa kwenye BIBLIA TU.
 
Kwanza kabisa tambueni chapa hii ya mnyama ya 666 kwa mujibu wa Biblia, haimaanishi na haihusiani kabisa na papa na Ukatoliki. Yaani ni mbingu na ardhi.

Pia chapa hii ya 666 haihusiani kabisa na taifa la Marekani. Ni kama mbingu na ardhi. Haihusiani na CORONA wala ugonjwa wowote.
 
sawa ehee endelea mtoa mada
 
NB: chapa ya 666 HAIHUSIANI KABISA NA FREEMASON. MMEPOTOSHWA SANA NA SASA NI WAKATI WA KUWA HURU. NITATUMIA STAILI YA KUFAFANUA KWA MAELEZO MAFUPI MAFUPI MNO ILI MUELEWE KABISA.
 
kwa nini utumie namba za Kirumi na si namba za kiyahudi ambapo ndio lugha ya nabii aliyeshukiwa na unabii huo.
pili papa ndio anaetuzuia tusinunue mpaka kwa jina lake kweli?
Hapa umelazimisha hizo hesabu. Hekima ilioitajika haikutumika
Namshangaa huyu maana wahusika wa ujumbe ule hawakuwa warumi sasa wasingeelewa ujumbe huo. Tafsiri ya uongo kabisa hiyo
 
Mnakosea sana hasa nyie wasabato kufikiri kuwa Mpiga Kristo ni papa! Sehemu kubwa ya mahubiri yenu ipo juu ya Kanisa Katoliki na Sabato. Hamjui kuwa Yesu Kristo ni Bwana wa Sabato? Yapo mambo mengi tu ya Agano la Kale hatuyafuati kwani Yesu amekamilisha yote katika Agano Jipya. Wasabato kimsingi ni Judaists watu wa Agano la kale.
Wanafunzi wa Musa hao. Siyo wa Kristo! Hawaelewi hata kilichotokea mlima Tabor!
 
Vitu vingine ni horror story tuu
Ujinga mtupu
 
Attachments

  • Screenshot_20230401-182106.png
    Screenshot_20230401-182106.png
    126.5 KB · Views: 15
. Mnyama ana jina lenye namba 666.

Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”

Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”

Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666

Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.

“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.

Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.

Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.

VICARIVS FILII DEI”

(Kasisi wa Mwana wa Mungu)

V...............................5
I.................................1
C.......................... 100
A..............................0
R,.............................0
I................................1
V.............................5
S.............................0
F..............................0
I................................1
L.............................50
I...............................1
I................................1
D..........................500
E..............................0
I.................................1
Jumla =666

Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.

11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.

Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.

Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”

Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”

Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu

KARIBU KWA MJADALA
Acha uongo wewe
 
Yani kama UNASALI Roman katoliki ujue Unamuabudu mnyama , shetani.

Tena ujue hamna Tofauti yoyote na WAISLAMU YANI Roman Catholic ndio walioanzidha DINI ya UISLAMU Rejea UFUNUO 9 DINI ya UISLAMU ilivyo anzishwa.

Ushetani wa Roman Catholic unapatikana UFUNUO 23 na UFUNUO 17
Ole WENU.

HAPA MZEE WA SIKU NI PAPA.
DANIEL ANATABIRI KUJA KWA KIONGOZI WA SHETANI PAPA MZEE WA SIKU.

DANIEL 7:9.. 13..., 22
Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.
Danieli 7:9

Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.

Danieli 7:13
hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.

Danieli 7:22
Halafu hizi mada sijui zinamaana gani,mtu anamuabudu mnyama si umuache akachomwe we unaumia nini😂😂😂,ndo mana nawakubal sana wahindi,nyie mnapambana na dini zenu wao hawana mbambamba ikifika siku yao wanakatisha town na ng'ombe wao,mkuu fanya kitu unachoona sahihi kwako usipambane na watu
 
. Mnyama ana jina lenye namba 666.

Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”

Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”

Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666

Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.

“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.

Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.

Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.

VICARIVS FILII DEI”

(Kasisi wa Mwana wa Mungu)

V...............................5
I.................................1
C.......................... 100
A..............................0
R,.............................0
I................................1
V.............................5
S.............................0
F..............................0
I................................1
L.............................50
I...............................1
I................................1
D..........................500
E..............................0
I.................................1
Jumla =666

Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.

11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.

Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.

Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”

Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”

Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu

KARIBU KWA MJADALA.
usitujazie takataka humu jukwaani. nenda kawahubirie wasabato jumamosi.
 
Wasabato mna shida sana. Unaifahamu historia ya Kanisa ? Kanisa lilikua moja tu (Katoliki)mpaka karne ya 15 ndio Protestant ukaanza.
 
We jamaa tambua ukristo umeanzisha na paulo yesu hakuwai kuishi ukristo na mila za kikristo ...

Rejea Qur an mpaka vita mtume kapigana akiwa ndani ya dini...

Usifananishe uislamu na kikundi kinachomfuata paulo
Sawa ostadh tuka swali sasa usi sahau kobazi zako na kipedo
1253115369.jpg
1973255129.jpg
 
Back
Top Bottom