Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Swali lako zuri sana ilo ulilo uliza maana na mimi nilitaka kuja kukuambia uongo wa wakristo wa leo na ndani yake kulikuwa na ilo la daudi kukataliwa kujenga hekalu ...maana ndani ya ilo swali lako ndiyo tutajua uongo uliopo leo makanisani kuhusu sadaka ya fungu la kumi...na kuhusu kuua hata selemani aliua mpaka ndugu wa familia yake ...ila hilo swali lako nimelipenda maana hata mimi ninaposema sadaka ya fungu la 10 ya makanisani ni upotovu na ufisadi wa viongozi wa dini hoja ina anzia hapo kwa daudi kukataliqa kujenga hekalu ....wapo watu wanadhani Hekalu ni nyumba ya ibada ya kawaida kama zilivyo zingine hivyo wanapotoka ...Hekalu ni nyumba pekee na maalumu ya mungu tena ni moja tu ulimwenguni pote ...hata ukijenga nyingine kubwa au nzuri zaidi aziwezi kuwa HEKALU na fungu la kumi ni sadaka ya HEKALU siyo sadaka ya vinyumba vingine vyovyote vinavyo daiwa kuwa nyumba ya ibada ...fungu la kumi lilikuwa kwa ajili ya hekalu la mungu tu siyo masinagogi wala nyumba nyingine za ibada...nitakuja kueleza
Una mengi sana ya kusema ebu njoo utupe mwanga
 
Back
Top Bottom