Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Hujapenda kuenjoy na uoga wako ndo umasikini wako,na MUNGU lineman kila mbuzi atakula mrefu wa kamba yake,na ukishajikuta duniani pambana vyovyote unavyoweza fanya chochote kitakachofanya maisha yako yakae vyema ila tambua usibunje sheria
Usivunje sheria za Mungu au za nani?
 
Ww huna tofauti na wale wa wafuasi wa Paul Makenzi Mthenge, yan umekaririshwa mafundisho na ww bila kuchunguza biblia umeamini kwa kufuata mkumbo.
Paulo huyo na wenziwe wanaanzisha dini ya ukristo wakati huo Yesu ameshapa zamani na imeshapita miaka zaidi ya 30

Matendo ya Mitume 11:25
Kisha akatoka akaenda Tarso kumtafuta Sauli;
Matendo ya Mitume 11:26
hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.


Kama wewe unalo andiko Yesu alipokuwepo duniani kulikuwa na dini inayoitwa ukristo weka hilo andiko tulione
 
Mimi ni msabato kabisa, lakini kuniambia Papa ndiye Mnyama anayetajwa kwenye ufunuo huwa hainiingii akilini.

Huwa naona ni conspiracy iliyoundwa na wajanjawajanja kwa kulazimisha maandiko. Kama niko wrong naamini Mungu atanisamehe
 
Mimi ni msabato kabisa, lakini kuniambia Papa ndiye Mnyama anayetajwa kwenye ufunuo huwa hainiingii akilini.

Huwa naona ni conspiracy iliyoundwa na wajanjawajanja kwa kulazimisha maandiko. Kama niko wrong naamini Mungu atanisamehe
Mnyama alikuwepo kabla ya papa
 
Papa yupo under control ya mnyama akienda kinyume na mnyama wanamuua. Thus papa aliyekufa alitumia kisingizio cha ugonjwa Ili ajiuzulu asiwe chini ya mnyama na kumkosea MUNGU wake
 
Leo nawiwa kufumua ukweli wote kuhusu chapa ya 666 ili watu waache kudanganyana.

Nalipika somo nakuja.
Ila kwa kifupi tu, hii 666 chimbuko ni Israeli kwa mfalme Suleiman.

Why 666 and not other digits? Nakuja!
NB: ukweli huu ulijulikana na wachache mno mimi nikiwa mmoja wao
Makenzie umeibukia bongo? Tahadhari watu wanaokariri kitabu Cha ufunuo bila kusoma theolojia miaka 4 tena kwenye vyuo vya Katoliki, huishiwa kuchanganyikiwa na kuwajaza waumini wao matangopori yanayowajia kwenye njozi za mchana, mwisho wake ni kuwaambia wafuasi wake wafuate mauvichaa yaliyomwingia kichwani
 
Paulo huyo na wenziwe wanaanzisha dini ya ukristo wakati huo Yesu ameshapa zamani na imeshapita miaka zaidi ya 30

Matendo ya Mitume 11:25
Kisha akatoka akaenda Tarso kumtafuta Sauli;
Matendo ya Mitume 11:26
hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.


Kama wewe unalo andiko Yesu alipokuwepo duniani kulikuwa na dini inayoitwa ukristo weka hilo andiko tulione
Wapi Roman empire imeanzisha Ukristo hapo? Kwa maandiko yako mwenyewe uliyonipa?
 
. Mnyama ana jina lenye namba 666.

Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”

Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”

Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666

Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.

“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.

Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.

Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.


VICARIVS FILII DEI”

(Kasisi wa Mwana wa Mungu)

V...............................5
I.................................1
C.......................... 100
A..............................0
R,.............................0
I................................1
V.............................5
S.............................0
F..............................0
I................................1
L.............................50
I...............................1
I................................1
D..........................500
E..............................0
I.................................1
Jumla =666

Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.

11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.

Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.

Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”

Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”

Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu

KARIBU KWA MJADALA.
Yaani mtu unamuita mnyama. Hivi papa alipokuja congo au Kenya hukumuona ni mtu au uliona mnyama ndo kaja. Aise hayo macho yako inabidi uyaflash mana hayoni. Siyo ajabu siku mke wako ukamuita panya.
 
Back
Top Bottom