Ila wote tunajifunza, tusimcheke sana. Acha nilete somo hapa tuuvumbue ukweli na mzizi wa fitina uishe.Huyu kacopy mahali ni kwamba hamna muunganiko kabisa
![]()
Onesha huo upupuChenga Sana we jamaa , umeokoteleza sjui wapi huo upupu
Nani kasema papa ni mnyama??Total wrong man nakuja na hoja. Papa sio mnyama hizo ni chuki za wasabato.
sio wewe!!Unaniambia mimi au?
Nani kasema Israel ni 666Onesha huo upupu
Nimemuona. Yupo mbali mno na ukweli huyo jamaa. Ngoja nilete somosio wewe!!
Kuna jamaa hapo chini analinganisha uislamu na upumbavu
Muache aje tumkande anataka kufananisha uislamu na upumbavu wake.
Soma tena na uelewe. Ukishindwa subiri mpaka nilete somo uelewe vizuri. Uwe na subira tu.Nani kasema Israel ni 666
Mmmmmh msifike hukp huu ni mjadala huru ndugu zangu.TUHESHIMIANE KAKA.
NAOMBA TUHESHIMIANE.
NAOMBA TUHESHIMIANE.
Acha kuropoka kama unajiheshimu na uache umbea.!TUHESHIMIANE KAKA.
NAOMBA TUHESHIMIANE.
NAOMBA TUHESHIMIANE.
Chai... Acha kupotosha watu. Kiufupi kila mtu ni Mwana wa Mungu. Mnyama ana jina lenye namba 666.
Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”
Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”
Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666
Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.
“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.
Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.
Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.
VICARIVS FILII DEI”
(Kasisi wa Mwana wa Mungu)
V...............................5
I.................................1
C.......................... 100
A..............................0
R,.............................0
I................................1
V.............................5
S.............................0
F..............................0
I................................1
L.............................50
I...............................1
I................................1
D..........................500
E..............................0
I.................................1
Jumla =666
Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.
11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.
Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.
Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”
Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”
Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu
KARIBU KWA MJADALA.
Mzee wa siku ni MunguHahahah yaani amechanganya changanya sana mamboalichofanya ni kuvuruga vuruga tu. Huyo mzee wa siku anayedai ni papa ukimsoma vizuri utagundua ndiye Mungu mwenyewe.
ACHA uongo wewe mzee wa siku sio papa ni Mungu mwenyewe kawadanganye wasiojua BibliaYani kama UNASALI Roman katoliki ujue Unamuabudu mnyama , shetani.
Tena ujue hamna Tofauti yoyote na WAISLAMU YANI Roman Catholic ndio walioanzidha DINI ya UISLAMU Rejea UFUNUO 9 DINI ya UISLAMU ilivyo anzishwa.
Ushetani wa Roman Catholic unapatikana UFUNUO 23 na UFUNUO 17
Ole WENU.
HAPA MZEE WA SIKU NI PAPA.
DANIEL ANATABIRI KUJA KWA KIONGOZI WA SHETANI PAPA MZEE WA SIKU.
DANIEL 7:9.. 13..., 22
Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.
Danieli 7:9
Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.
Danieli 7:13
hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.
Danieli 7:22
Sasa mbna tunauza na kununua bila hayo maneno ya kasisi wa Mwana wa Mungu....... au biblia ilikosea???. Mnyama ana jina lenye namba 666.
Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”
Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”
Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666
Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.
“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.
Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.
Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.
VICARIVS FILII DEI”
(Kasisi wa Mwana wa Mungu)
V...............................5
I.................................1
C.......................... 100
A..............................0
R,.............................0
I................................1
V.............................5
S.............................0
F..............................0
I................................1
L.............................50
I...............................1
I................................1
D..........................500
E..............................0
I.................................1
Jumla =666
Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.
11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.
Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.
Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”
Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”
Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu
KARIBU KWA MJADALA.
Mimi si MsabatoMkuu najua wewe ni msabato mwenzangu. Kati ya mambo ya kipuuzi nliyaamini zamani ni pamoja na hili fundisho. Baada ya kujifunze na kufikiri nje ya box fundisho hili nliliacha kuliamini na kudharau kabisa. Hakuna kitu kama hicho ni fundisho la uongo. Nakushauri ulipuuze kwa ni ni uchochezi tu halina maana
Haya mambo nimejifunza sana kupitia Pastors baadhi kama Mbwana, Mmbaga n.k ila bado nahitaji elimu zaidi kwasababu moja tu ambayo nahitaji hao nilio wataja naimani unawajua dhehebu lao, Tatizo ya hilo dhehebu hujiona wao ndiyo wapo sahihi kabisa kuliko wengine.. Mnyama ana jina lenye namba 666.