mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,750
- 7,850
- Thread starter
- #241
UPO, ILA NI FUMBOMkuu na wewe unaamini kuwa kuna huo unyakuo?
UPO, ILA NI FUMBOMkuu na wewe unaamini kuwa kuna huo unyakuo?
unaweza kufumbua hilo fumbo?UPO, ILA NI FUMBO
Hahahah haya bhana. Ni Mkristo wewe?
Unataka kujua mambo kwa ubishi bwasheee
"Nasi" ni wingi.....MUNGU ,MALAIKA NA MITUME.....
Kiarabu ni lugha ya MASHAIRI....ni sawa na mimi nikukaribishe nyumbani kwangu halafu nitumie "polite language" hii...."karibu kwetu"....nikisema "kwetu" ina maana si "kwangu"?!!!!
Upanue ubongo bwasheee![]()
Siyo leounaweza kufumbua hilo fumbo?
Huyo Mungu anakujibu maombi yako? Je, amri kumi unazishika?Sina Dini mkuu ,maana sijawahi kwenda msikitini wala kanisani....ila nina imani kuwa Mungu yupo na nimamuomba ,hizi dini tumeletewa na wazungu na waarabu.
Nawe unatuchosha sasaMimi si Msabato
ChaiLeo nawiwa kufumua ukweli wote kuhusu chapa ya 666 ili watu waache kudanganyana.
Nalipika somo nakuja.
Ila kwa kifupi tu, hii 666 chimbuko ni Israeli kwa mfalme Suleiman.
Why 666 and not other digits? Nakuja!
NB: ukweli huu ulijulikana na wachache mno mimi nikiwa mmoja wao
Haeleweki ni kama kalewa pombeTapeli![]()
1 Wafalme 10;14Utupe na maandiko & valid source
kasome historia ya Al KhawarizmiNamba ni nini? Ni namba zipi zilitumika official na zipi hazikutumika official?
Get lostChai
Bibi unachanganya fileskasome historia ya Al Khawarizmi

Upo sahihi kabisaVITABU VYA UNABII NI VYEPESI SANA.
BIBLIA ISINGEANDIKA KATIKA LUGHA ZA PICHA NA MAFUMBO INGEHARIBIWA SANA.
NINGEWEZA KUFUNDISHA STRUCTURE YA HIVI VITABU BURE KABISA LAKINI KUNA WATU HAWAJUI KITU HALAFU WANAKATISHA SANA TAMAA.
nenda ukasome kwanza halafu ndiyo uje na utetezi wa 666Bibi unachanganya files![]()
Mkuu umenikimbia, nimekuuliza swali ufunuo 12, yaliyoelezwa humo ni yajayo au yaliyopita/yaliyotimia?KWELI AKILI KISODA.
MIMI NAKUTUMIA ALAFU NAKUA SHAHIDI??????
UNAJUA MAANA YA SHAHIDI??????????
Bangi mbayaUpo sahihi kabisa