Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

WAISLAMU WAFIA DINI ILIYOANZISHWA NA RIMA NJOONI HAPA MJIBU.

QURAN 4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

1. JE NI AKINA NANI WALIMTUMA MTUME"NASI" KWA WATU......
MKAZO NENO NASI LIKIMAANISHA NI ZAIDI YA MTU MMOJA.

2. JE MUNGU ANAKUWAJE MTU WA TATU KAMA SHAHIDI, KWA NINI MUNGU HAKUMTUMA MOHAMED HADI HAO NASI???

3. MKITAKA HII MADA MNITAFUTE KWA WAKATI WENU MUANZISHE UZI

TENA UFUNUO 9 ILITABIRI KUJA KWA DINI YENU IMEELEZEA KILA KITU SHIMO LA KUZIMU.
Unataka kujua mambo kwa ubishi bwasheee [emoji1787][emoji1787]

"Nasi" ni wingi.....MUNGU ,MALAIKA NA MITUME.....

Kiarabu ni lugha ya MASHAIRI....ni sawa na mimi nikukaribishe nyumbani kwangu halafu nitumie "polite language" hii...."karibu kwetu"....nikisema "kwetu" ina maana si "kwangu"?!!!!

Upanue ubongo bwasheee[emoji1787][emoji1787]
 
Katika mfumo wa shetani upo mpangilio wa namba 6 ambao kila mmoja unasimamia kitengo fulani.
Pana 111,333,555,666,777,na 999.
666 inashughulika na uchumi, hizo namba zingine ni kitengo cha mambo ya siasa, technology, dini,afya,, nk,sio mada yake kuhusu uchambuzi huu wa namba.
Papa ni mfumo wa dini tena kwa wakatoliki,papa ni kiongozi wa wakatoliki na sio kiongozi wa Wakristo hana amri juu ya Wakristo bali Wakatoliki,na sio mfumo wa uchumi.
666 ni mfumo wa kiuchumi na sio mfumo wa kidini,asiye na chapa yaani asiyefata mfumo huo wa kiuchumi hawezi uza au nunua. Mfano huwezi panda ndege bila kuchanjwa huu ni mfumo Ili upate huduma ni lazima ufate walichoweka.
Ujio wa corona ilikuwa ni test ya 666 walikuwa wanapima matokeo.
So 666 ni mfumo na sio Mtu. Papa hana influence kwa dunia bali kwa wakatoliki Papa mwenyewe yupo under control ya system ya dunia, ambayo akienda kinyume nayo wanamuua, atakuaje 666 sasa? 666 ni mfumo wa wakuu wa Dunia Pope ni mkuu wa dunia, wapo group ambao wao ndio uamua dunia iende vipi.
Hao ndio uamua wimbo gani uchezwe duniani ugaidi, corona, ushoga,
Asanteeee ndiyo umekuja kule ambapo sasa mimi nilikuwa naelewa uhalisia ulivyosema ninachojua hata pope yupo under control ya watu fulani na 666 ililenga zaidi issues zinazogusa world economy.
 
Mnyama wa kitabu cha Ufunuo

Watu wengi hawafahamu kuwa mnyama ni nani, na wengi wamejihusisha naye bila wao wenyewe kujua kama wanashiriki na mnyama. Lakini Mungu hajatuacha gizani, hivyo, kwa kupitia neno lake (Maadiko Matakatifu) tunaweza kumfahamu mnyama huyu aliyelezwa katika kitabu cha Danieli na Ufunuo. Tunapaswa kuyaacha maandiko yajitafisiri yenyewe; kwa maana “hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.

Maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.” 2Petro 1:20-21. Hatupaswi kumuacha mtu flani atafsri unabii kwa jinsi yake mwenyewe, badala yake tunapaswa kuiacha Biblia ijitafsiri yenyewe.

Katika Danieli 7 wametajwa “wanyama wanne” ambao wanawakilisha falme nne. Kumbuka mmyama wa 4 aliyetajwa katika Danieli 7 ndiye mnyama aliyetajwa katika kitabu chote cha Ufunuo. Hivyo hapa tutaangalia sifa za mnyama wa nne wa kitabu cha Danieli, na mnyama wa kitabu cha Ufunuo, kisha tutaangalia ni wapi hapa duniani ambapo sifa za mnyama zinatimizwa kikamilifu.

1. Mnyama atakuwa na uwezo wa kisiasa na kidini (kanisa na serikali).

Ufunuo 17:3 “Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona MWANAMKE, AMEKETI JUU YA MNYAMA mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi.”

Mwanamke au bibi-arusi katika unabii huwakilisha kanisa.

Ufunuo 21:2 “…Yerusalemu mpya…umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe.”

Ufunuo 21:9 “…Njoo huku, nami nitakuonyesha yule Bibi-arusi, mke wa Mwana-Kondoo.”

Mnyama huwakilisha taifa au ufalme

Danieli 7:17 “Wanyama hao…wanne ni wafalme wanne watakaotokea duniani”

Danieli 7:23 “…Huyo mnyama wa nne atakuwa ni ufalme wa nne juu ya dunia…”

Kutokana na Ufunuo 17:3, mnyama huyu ana mwanamke aliyeketi juu yake, na kwa sababu unabii unatafisiri mwanamke kama kanisa, na mnyama kama taifa. Je kuna taifa au serikali ambayo imechanganywa pamoja na kanisa kama kitu kimoja? Ndiyo! Vatican, ni serikali au taifa ambalo limechanganywa pamoja na kanisa la Romani Katoliki kama kitu kimoja, na kuongozwa na mtu mmoja ambaye ni Papa.

2. Mnyama atakuwa na kanisa & serikali vimekaa juu ya milima 7.

Ufunuo 17:3 “Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana…mwenye VICHWA SABA na pembe kumi.”

Vichwa saba katika unabii vinawakilisha milima saba.

Ufunuo 17:9 “Hapo ndipo penye akili zenye hekima. Vile vichwa saba ni milima saba anayokalia mwanamke huyo.”

Je hapa duniani kuna kanisa na serikali vimekaa juu ya milima saba?

“Ni ndani ya mji wa Roma, uitwao Mji wa vilima saba, hivyo eneo lote la Serikali ya Vatican limewekewa mpaka kikamilifu.” –The Catholic Encyclopedia, p 529.

“Je vilima saba vya Roma ni nini?

Roma inajulikana kuwa imejengwa juu ya vilima saba. Roma ilisemwa imepatikana wakati Romulus na Remus, wana mapacha wa Mars, walifika katika futi ya kilima Palatine na wakauanzisha mji, Vilima sita vingine ni Capitoline (kiti cha serikali), Quirinal, Viminal, Esquiline, Caelian, na Aventine.” –Geography.about.com

ENCYCLOPÆDIA BRITANNICA
Vilima saba vya Roma

“…kundi la vilima juu au kuhusu ambapo mji wa Roma wa zamani ulijengwa. Mji wa awali wa Romulus ulijegwa juu ya kilima Palatine (#1) (Kilatini: Mons Palatinus). Vilima vingine ni Capitoline, (#2) Quirinal, (#3) Viminal, (#4) Esquiline, (#5) Caelian, (#6) na Aventine (#7) (Vinavyojulikana kimoja kimoja kwa kilatini kama Mons Capitolinus, Mons Quirinalis, Mons Viminalis, Mons Esquilinus, Mons Caelius, na Mons Aventinus).” –http://www.britannica.com/seo/s /seven-hills-of-rome/

Kwa hiyo unabii huu wa Ufunuo 17:3, unaonyesha wazi kuwa mwanamke aliyeketi juu ya mnyama, amekaa juu ya vilima saba vya mji wa Roma. Kwa vyovyote, ni Vaticani na kanisa la Romani Katoliki ambavyo vimekaa juu ya milima saba, na kutimiza unabii huu. Danieli 7:23 inasema mnyama wa mwisho (Roma) anatofautiana na wanyama wengine watatu waliopita. Kwa hakika hakuna taifa wala ufalme mwingine ambao una kanisa na serikali, harafu kwa wakati huo huo umekaa juu ya milima saba. Ila ni kanisa la Romani Katoliki pekee.

TATIZO ni wavivu kusoma
Umepatia kidogo sana. Kwa 10%
 
Mzee wa siku ni Mungu

MZEE WA SIKU NI PAPA MAANDIKO YANAJIELEZEA VIZURI.

DANIEL 7:9
Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.

Danieli 7:9
Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.

Danieli 7:13

hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.

Danieli 7:22
 
TATIZO Kuna watu wa DINI Fulani hawasomi kabisa yani hawasomi.

Mimi nimefanya tafiti, nimechimba nimechimbua, nimeitafuta vitabu Hadi Nchi za watu.

Mtu mmoja anasema Mimi nalopoka.
MNAWADHALILISHA WAISLAMU WENZENU.
NYIE KIDOGO TU HASIRA MATUSI KUJILIPUA, KUJITOA MUHANGA.
Hizi TABIA zote zimeamdikwa kwenye kuanzishwa DINI ya kiislamu.
UFUNUO 9
Hiki KITABU kiliandikwa miaka 1500 kabla ya UISLAMU

FICHE I UJINGA WENU
Katika huko kusoma kwako nchi zote duniani.... umekutana na waislam bilioni 2?[emoji1787][emoji1787]

Unatuletea maneno ya KUKARIRI hapa?!!!

Ni kweli wako waislam Magaidi kama ilivyo kwa wakristo magaidi akina Pastor McKenzie wa Kenya?!!!

Gaidi McKenzie anawawakilisha wakristo wastaarabu ULIMWENGUNI kote?!!!!

Upanue ubongo na si si tu "matundu ya pua" [emoji1787][emoji1787]
 
Katika mfumo wa shetani upo mpangilio wa namba 6 ambao kila mmoja unasimamia kitengo fulani.
Pana 111,333,555,666,777,na 999.
666 inashughulika na uchumi, hizo namba zingine ni kitengo cha mambo ya siasa, technology, dini,afya,, nk,sio mada yake kuhusu uchambuzi huu wa namba.
Papa ni mfumo wa dini tena kwa wakatoliki,papa ni kiongozi wa wakatoliki na sio kiongozi wa Wakristo hana amri juu ya Wakristo bali Wakatoliki,na sio mfumo wa uchumi.
666 ni mfumo wa kiuchumi na sio mfumo wa kidini,asiye na chapa yaani asiyefata mfumo huo wa kiuchumi hawezi uza au nunua. Mfano huwezi panda ndege bila kuchanjwa huu ni mfumo Ili upate huduma ni lazima ufate walichoweka.
Ujio wa corona ilikuwa ni test ya 666 walikuwa wanapima matokeo.
So 666 ni mfumo na sio Mtu. Papa hana influence kwa dunia bali kwa wakatoliki Papa mwenyewe yupo under control ya system ya dunia, ambayo akienda kinyume nayo wanamuua, atakuaje 666 sasa? 666 ni mfumo wa wakuu wa Dunia Pope ni mkuu wa dunia, wapo group ambao wao ndio uamua dunia iende vipi.
Hao ndio uamua wimbo gani uchezwe duniani ugaidi, corona, ushoga,
Unaangalia sana movie wewe[emoji23]
 
Sasa jamaa hapo juu kasema ni Papa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Danieli 7:22.
hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.

KWAHIYO MUNGU NDIO ALIPEWA HUKUMU?????.

KAMA HAMJUI BORA MKAULIZA
 
WAISLAMU WAFIA DINI ILIYOANZISHWA NA RIMA NJOONI HAPA MJIBU.

QURAN 4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

1. JE NI AKINA NANI WALIMTUMA MTUME"NASI" KWA WATU......
MKAZO NENO NASI LIKIMAANISHA NI ZAIDI YA MTU MMOJA.

2. JE MUNGU ANAKUWAJE MTU WA TATU KAMA SHAHIDI, KWA NINI MUNGU HAKUMTUMA MOHAMED HADI HAO NASI???

3. MKITAKA HII MADA MNITAFUTE KWA WAKATI WENU MUANZISHE UZI

TENA UFUNUO 9 ILITABIRI KUJA KWA DINI YENU IMEELEZEA KILA KITU SHIMO LA KUZIMU.
Ntakujibu kwa juu juu then nikisubiria huyo Ufunuo 9.

1." Nasi " Tukio la kutokewa kwa mtume ikiwa ndo dalili ya kwanza ya utume wake Mtume alifikishiwa na malaika jibril aliyetumwa na Mwenyezi Mungu ili aje kumpa ufunuo.

Jibril alimletea ufunuo wa Qur'an Mtume Muhammad (S.A.W.) kwa amri ya Mwenyezi Mungu. Malaika Jibril alimwambia Mtume Muhammad kusoma, na kumwelekeza aya za kwanza za Sura ya Alaq, sehemu ya kwanza ya Qur'an

JIBU👇

Mwenyewe Mungu alimtuma malaika kuja kuleta ufunuo ili Muhamad ahakikishe yule ni malaika wa Mungu aliyekuja kumpa ufunuo Hapo kuna Mungu na malaika alikuja moja kwa moja ...Tambua Muhamad kwanza kabisa hakuwa kuongea wala kusikia sauti ya Mungu.

2.Je Mungu anakuwaje mtu wa tatu?

JIBU👇👇

Mwenyezi Mungu yeye ndo shahidi ukisoma kwa umakini kama ni msomi wa lugha utaona hiki kipande kinajitegemea..Ni kwamba Mungu ndie shahid kumpa assurane Muhamad kwa yale maneno ni yake na sio ya jibril.

Ukisoma baadhi ya aya mwisho utakuja mkato then " Mungu mwingi wa rehema"..Hii inaonyesha msisitizo kwamba jambo hilo limetokea kwa rehma za mwenyezi Mungu.

3.Leta uzi then jiamini kama una hoja usiwe muoga
 
JE WATU WASIOJUA KUSOMA NI AKINA NANI.

QURAN 62:2 - Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasio jua kusoma........

MTUME HAKUJUA KISOMA NA AKAPELEKWA KWA WATU WASIOJUA KUSOMA.

WATU WASIOJUAA KUSOMA NI WAISLAMU.
Kweli wewe ni mjinga.....

Hivi karne ya 7 huko arabuni wote walisoma?!!!!

Je hakukuwa na waarabu ambao wenye elimu ya zama zao?!!!

Hivi leo karne ya 21 watanzania wote tunajua kusoma na kuandika?!!!

Vipi karne hii ya 21 dunia nzima inajua kusoma na kuandika ?!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huna uwezo wa mijadala zaidi ya kutafuta PUNCHING BAG ya kupunguzia "stress zako"[emoji1787][emoji1787]

Kama huna mke tafuta "mbunju" itakusaidia......
 
Mnyama wa kitabu cha Ufunuo

Watu wengi hawafahamu kuwa mnyama ni nani, na wengi wamejihusisha naye bila wao wenyewe kujua kama wanashiriki na mnyama. Lakini Mungu hajatuacha gizani, hivyo, kwa kupitia neno lake (Maadiko Matakatifu) tunaweza kumfahamu mnyama huyu aliyelezwa katika kitabu cha Danieli na Ufunuo. Tunapaswa kuyaacha maandiko yajitafisiri yenyewe; kwa maana “hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.

Maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.” 2Petro 1:20-21. Hatupaswi kumuacha mtu flani atafsri unabii kwa jinsi yake mwenyewe, badala yake tunapaswa kuiacha Biblia ijitafsiri yenyewe.

Katika Danieli 7 wametajwa “wanyama wanne” ambao wanawakilisha falme nne. Kumbuka mmyama wa 4 aliyetajwa katika Danieli 7 ndiye mnyama aliyetajwa katika kitabu chote cha Ufunuo. Hivyo hapa tutaangalia sifa za mnyama wa nne wa kitabu cha Danieli, na mnyama wa kitabu cha Ufunuo, kisha tutaangalia ni wapi hapa duniani ambapo sifa za mnyama zinatimizwa kikamilifu.

1. Mnyama atakuwa na uwezo wa kisiasa na kidini (kanisa na serikali).

Ufunuo 17:3 “Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona MWANAMKE, AMEKETI JUU YA MNYAMA mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi.”

Mwanamke au bibi-arusi katika unabii huwakilisha kanisa.

Ufunuo 21:2 “…Yerusalemu mpya…umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe.”

Ufunuo 21:9 “…Njoo huku, nami nitakuonyesha yule Bibi-arusi, mke wa Mwana-Kondoo.”

Mnyama huwakilisha taifa au ufalme

Danieli 7:17 “Wanyama hao…wanne ni wafalme wanne watakaotokea duniani”

Danieli 7:23 “…Huyo mnyama wa nne atakuwa ni ufalme wa nne juu ya dunia…”

Kutokana na Ufunuo 17:3, mnyama huyu ana mwanamke aliyeketi juu yake, na kwa sababu unabii unatafisiri mwanamke kama kanisa, na mnyama kama taifa. Je kuna taifa au serikali ambayo imechanganywa pamoja na kanisa kama kitu kimoja? Ndiyo! Vatican, ni serikali au taifa ambalo limechanganywa pamoja na kanisa la Romani Katoliki kama kitu kimoja, na kuongozwa na mtu mmoja ambaye ni Papa.

2. Mnyama atakuwa na kanisa & serikali vimekaa juu ya milima 7.

Ufunuo 17:3 “Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana…mwenye VICHWA SABA na pembe kumi.”

Vichwa saba katika unabii vinawakilisha milima saba.

Ufunuo 17:9 “Hapo ndipo penye akili zenye hekima. Vile vichwa saba ni milima saba anayokalia mwanamke huyo.”

Je hapa duniani kuna kanisa na serikali vimekaa juu ya milima saba?

“Ni ndani ya mji wa Roma, uitwao Mji wa vilima saba, hivyo eneo lote la Serikali ya Vatican limewekewa mpaka kikamilifu.” –The Catholic Encyclopedia, p 529.

“Je vilima saba vya Roma ni nini?

Roma inajulikana kuwa imejengwa juu ya vilima saba. Roma ilisemwa imepatikana wakati Romulus na Remus, wana mapacha wa Mars, walifika katika futi ya kilima Palatine na wakauanzisha mji, Vilima sita vingine ni Capitoline (kiti cha serikali), Quirinal, Viminal, Esquiline, Caelian, na Aventine.” –Geography.about.com

ENCYCLOPÆDIA BRITANNICA
Vilima saba vya Roma

“…kundi la vilima juu au kuhusu ambapo mji wa Roma wa zamani ulijengwa. Mji wa awali wa Romulus ulijegwa juu ya kilima Palatine (#1) (Kilatini: Mons Palatinus). Vilima vingine ni Capitoline, (#2) Quirinal, (#3) Viminal, (#4) Esquiline, (#5) Caelian, (#6) na Aventine (#7) (Vinavyojulikana kimoja kimoja kwa kilatini kama Mons Capitolinus, Mons Quirinalis, Mons Viminalis, Mons Esquilinus, Mons Caelius, na Mons Aventinus).” –http://www.britannica.com/seo/s /seven-hills-of-rome/

Kwa hiyo unabii huu wa Ufunuo 17:3, unaonyesha wazi kuwa mwanamke aliyeketi juu ya mnyama, amekaa juu ya vilima saba vya mji wa Roma. Kwa vyovyote, ni Vaticani na kanisa la Romani Katoliki ambavyo vimekaa juu ya milima saba, na kutimiza unabii huu. Danieli 7:23 inasema mnyama wa mwisho (Roma) anatofautiana na wanyama wengine watatu waliopita. Kwa hakika hakuna taifa wala ufalme mwingine ambao una kanisa na serikali, harafu kwa wakati huo huo umekaa juu ya milima saba. Ila ni kanisa la Romani Katoliki pekee.

TATIZO ni wavivu kusoma
Au sio 🤣🤣🤣 ila wasabato na walokole mna matatizo sana
 
Katika huko kusoma kwako nchi zote duniani.... umekutana na waislam bilioni 2?[emoji1787][emoji1787]

Unatuletea maneno ya KUKARIRI hapa?!!!

Ni kweli wako waislam Magaidi kama ilivyo kwa wakristo magaidi akina Pastor McKenzie wa Kenya?!!!

Gaidi McKenzie anawawakilisha wakristo wastaarabu ULIMWENGUNI kote?!!!!

Upanue ubongo na si si tu "matundu ya pua" [emoji1787][emoji1787]

KWA KUKUSHAURI TUNAKUSHAURI USOME VITABU VILIVYO TANGULIA.

sipo kwaajili ya kuikejeli Imani ya mtu Bali kuelekezana Ile kweli.

Mfano nikuuliza hapa tu utakimbia....

Quran4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

1 . NASI TUMEKUTUMA KWA WATU UWE NI MTUME
JE NI AKINA NANI WANAOSEMA NASI TUMEKUTUMA KWA WATU UWE MTUME??????..

2. MUNGU ANAKUWAJE SHAHIDI MTU WATATU ????.......

MKIULIZWA MASWALI MADOGO TU MNAKIMBIA.

WAISLAMU SOMENI SANA QURAN MUIJUE DINI YENU VIZURI ................
 
Yani kama UNASALI Roman katoliki ujue Unamuabudu mnyama , shetani.

Tena ujue hamna Tofauti yoyote na WAISLAMU YANI Roman Catholic ndio walioanzidha DINI ya UISLAMU Rejea UFUNUO 9 DINI ya UISLAMU ilivyo anzishwa.

Ushetani wa Roman Catholic unapatikana UFUNUO 23 na UFUNUO 17
Ole WENU.

HAPA MZEE WA SIKU NI PAPA.
DANIEL ANATABIRI KUJA KWA KIONGOZI WA SHETANI PAPA MZEE WA SIKU.

DANIEL 7:9.. 13..., 22
Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.
Danieli 7:9

Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.

Danieli 7:13
hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.

Danieli 7:22
Hiyo nitafasiri yako potofu, Maandiko hayasapoti hoja yako.

Vv
 
Back
Top Bottom