Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Soma wagalatia 2 : 11 - 14.
Pia Matendo ya mitume 15 : 1 - 21.

Kubali Petro wakati mwingine hakuelewa injili ya Paulo aliyokuwa akihubiri kwa mataifa. Hata sasa uwingi wa dini unasababishwa na mkanganyiko huo.
Petro alikua hajui kusoma wala kuandika ndio maana baadhi ya vitabu vyake vimechukuliwa km vitabu vya mapokeo, alikua anaandikiwa na Marko
 
. Mnyama ana jina lenye namba 666.

Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”

Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”

Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666

Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.

“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.

Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.

Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.


VICARIVS FILII DEI”

(Kasisi wa Mwana wa Mungu)

V...............................5
I.................................1
C.......................... 100
A..............................0
R,.............................0
I................................1
V.............................5
S.............................0
F..............................0
I................................1
L.............................50
I...............................1
I................................1
D..........................500
E..............................0
I.................................1
Jumla =666

Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.

11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.

Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.

Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”

Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”

Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu

KARIBU KWA MJADALA.
Mnakosea sana hasa nyie wasabato kufikiri kuwa Mpiga Kristo ni papa! Sehemu kubwa ya mahubiri yenu ipo juu ya Kanisa Katoliki na Sabato. Hamjui kuwa Yesu Kristo ni Bwana wa Sabato? Yapo mambo mengi tu ya Agano la Kale hatuyafuati kwani Yesu amekamilisha yote katika Agano Jipya. Wasabato kimsingi ni Judaists watu wa Agano la kale.
 
Petro alikua hajui kusoma wala kuandika ndio maana baadhi ya vitabu vyake vimechukuliwa km vitabu vya mapokeo, alikua anaandikiwa na Marko
Leta reference wapi inaonesha alikuwa anaandikiwa?

Kwahiyo wewe ni mmojawapo upo kinyume na paulo?
Huoni kuwa bible nzima imejaa maneno/barua zake + Zaidi ya nusu ya kitabu cha matendo ya mitume ni habari zake.
 
Leta reference wapi inaonesha alikuwa anaandikiwa?

Kwahiyo wewe ni mmojawapo upo kinyume na paulo?
Huoni kuwa bible nzima imejaa maneno/barua zake + Zaidi ya nusu ya kitabu cha matendo ya mitume ni habari zake.
Nimesema Petro sio Paulo aisee unachanganya mada
 
Soma wagalatia 2 : 11 - 14.
Pia Matendo ya mitume 15 : 1 - 21.

Kubali Petro wakati mwingine hakuelewa injili ya Paulo aliyokuwa akihubiri kwa mataifa.

Hata sasa uwingi wa madhehebu unasababishwa na mkanganyiko huo.
Tofauti sio mafundisho hapo mkuu. Petro alikuwa anashika mapokeo ambayo yalishapitwa kwa hiyo Paulo alikuwa anamrekebisha
 
Huko ata punguani kama we we Ana weza kuandika kama unavyo andika JF, FB nk

Ndio maana nakujuza tena acha kudanganya watu!
Kwa hio wewe unaamini nini mwelevu ? Unaamini kilichoandikwa wapi kwenye msaafu wa baba yako ?
 
Back
Top Bottom