Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

kwa nini utumie namba za Kirumi na si namba za kiyahudi ambapo ndio lugha ya nabii aliyeshukiwa na unabii huo.
pili papa ndio anaetuzuia tusinunue mpaka kwa jina lake kweli?
Hapa umelazimisha hizo hesabu. Hekima ilioitajika haikutumika
Hajui anachoandika. Anatapa tapa
 
Umekosea mkuu. Si unafahamu umaarufu wa 666 ulitoka kwenye biblia??
Achana habari za UFUNUO soma hapa

666 ilikua kwenye utawala wa Rumi (Warumi) mtawala wa kipindi hicho alikua anaitwa NERO, huyu Bwana Nero alikua ni katiri wa dunia nzima Hitler akasome, alikua anawaua wale wote wanaosema wanamfuata Yesu kwa mateso makali na vifo vya aibu, ndipo wakristu wakaona isiwe tabu wakaunda namba kuonyesha ukatiri wa Nero kwa namba 666, baada ya hapo ndipo namba 666 ikaanza kutumika kuonyesha ukatiri wa mtawala Nero, maana alikua akiua wakristu wote wakati wa utawala wa Rumi Ila baadae kilichokuja kutokea ndio ulipoibuka Ukatoriki, sitaki kuingia huko

Maana ya 666 kwa kipindi hicho ilikua ikimaanisha MPINGA KRISTU au kwa lugha nyingine ilimaanisha wewe upo upande wa mtawala Nero na utawala wake wa Rumi na unampinga Kristu kwa hio ukionyesha hio nembo hivyo ndio pona yako awakuui kinyume na hapo unauawa unakufa sababu wewe unamfuata Kristu, Ila baadae alipokuja mtawala mwingine baada ya kifo Cha mtawala Nero ambae alikua nu muuaji/katiri ndipo ikawa imeondolewa hio taratibu ya kuua wakristu kwa ambao hawana nembo ya 666 na utawala wa Rumi ukakubari ukristu uingie ndani ya Rumi na hapo ndipo ukawa mwanzo wa kuibuka kwa Roman Catholic, neno Roman Catholic lina maana yake

Kwa kipindi hicho Roman Catholic ilichanganyikana na Jamii ya watu waitwao Wajenzi Huru (Freemasons) ambao walikua na taratibu zao na mienendo yao ambayo wale wasimamizi na waendeshaji wa Imani ya kikristu ndani ya RC hawakuzipenda (ingawa hili RC hua hawapendelei kabisa kabisa kulizingumzia kwa undani) hivyo wakawaondoa Jamii hio ya Wajenzi Huru ambao wanaitumia nembo ya 666 km moja wapo ya nembo zao mpaka leo,

Ila pia hapo kuna mkanganyiko kidogo, maana ukifuatilia kwa makini unaambiwa wakristu waliokua wakiuawa kipindi Cha utawala wa Nero na utawala wa Rumi waliundiwa nembo ya 666 kuonyesha ishara ya kua wapo upande wa Mpinga Kristu (Nero) Ila Freemasons wameichukua hio nembo na ni nembo wanaitumia kuonyesha ishara ya utajiri na njia ya mafanikio, ingawa huko RC huwachukulia Freemasons km wapinga Kristu sababu wanaitumia hio nembo ya kuonyesha na kumaanisha Mpinga Kristu 666
 
. Mnyama ana jina lenye namba 666.

Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”

Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”

Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666

Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.

“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.

Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.

Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.

VICARIVS FILII DEI”

(Kasisi wa Mwana wa Mungu)

V...............................5
I.................................1
C.......................... 100
A..............................0
R,.............................0
I................................1
V.............................5
S.............................0
F..............................0
I................................1
L.............................50
I...............................1
I................................1
D..........................500
E..............................0
I.................................1
Jumla =666

Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.

11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.

Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.

Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”

Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”

Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu

KARIBU KWA MJADALA.
Hacha kudanganya watu
 
Achana habari za UFUNUO soma hapa

666 ilikua kwenye utawala wa Rumi (Warumi) mtawala wa kipindi hicho alikua anaitwa NERO, huyu Bwana Nero alikua ni katiri wa dunia nzima Hitler akasome, alikua anawaua wale wote wanaosema wanamfuata Yesu kwa mateso makali na vifo vya aibu, ndipo wakristu wakaona isiwe tabu wakaunda namba kuonyesha ukatiri wa Nero kwa namba 666, baada ya hapo ndipo namba 666 ikaanza kutumika kuonyesha ukatiri wa mtawala Nero, maana alikua akiua wakristu wote wakati wa utawala wa Rumi Ila baadae kilichokuja kutokea ndio ulipoibuka Ukatoriki, sitaki kuingia huko

Maana ya 666 kwa kipindi hicho ilikua ikimaanisha MPINGA KRISTU au kwa lugha nyingine ilimaanisha wewe upo upande wa mtawala Nero na utawala wake wa Rumi na unampinga Kristu kwa hio ukionyesha hio nembo hivyo ndio pona yako awakuui kinyume na hapo unauawa unakufa sababu wewe unamfuata Kristu, Ila baadae alipokuja mtawala mwingine baada ya kifo Cha mtawala Nero ambae alikua nu muuaji/katiri ndipo ikawa imeondolewa hio taratibu ya kuua wakristu kwa ambao hawana nembo ya 666 na utawala wa Rumi ukakubari ukristu uingie ndani ya Rumi na hapo ndipo ukawa mwanzo wa kuibuka kwa Roman Catholic, neno Roman Catholic lina maana yake

Kwa kipindi hicho Roman Catholic ilichanganyikana na Jamii ya watu waitwao Wajenzi Huru (Freemasons) ambao walikua na taratibu zao na mienendo yao ambayo wale wasimamizi na waendeshaji wa Imani ya kikristu ndani ya RC hawakuzipenda (ingawa hili RC hua hawapendelei kabisa kabisa kulizingumzia kwa undani) hivyo wakawaondoa Jamii hio ya Wajenzi Huru ambao wanaitumia nembo ya 666 km moja wapo ya nembo zao mpaka leo,

Ila pia hapo kuna mkanganyiko kidogo, maana ukifuatilia kwa makini unaambiwa wakristu waliokua wakiuawa kipindi Cha utawala wa Nero na utawala wa Rumi waliundiwa nembo ya 666 kuonyesha ishara ya kua wapo upande wa Mpinga Kristu (Nero) Ila Freemasons wameichukua hio nembo na ni nembo wanaitumia kuonyesha ishara ya utajiri na njia ya mafanikio, ingawa huko RC huwachukulia Freemasons km wapinga Kristu sababu wanaitumia hio nembo ya kuonyesha na kumaanisha Mpinga Kristu 666
Hacheni hadithi za kutunga
 
Back
Top Bottom