Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

Hapa swala sio kumkatisha tamaa au kuwa waoga wa kujaribu fursa. Unapoomba ushauri kuwa tayari kupata mitazamo tofauti.
Miaka 40+ ndio unatulia kwenye system unadhani utafanya nini? Umetoa mfano wa mwanamke na unajua wanawake wana njia nyingi za kumake bingo.
anyways ni vyema utambue magumu na mepesi ya njia unayotaka kuiendea ili ujipange.
ila ingekuwa mimi at the age of 35 ningetulia nizungushe akili vilivyo nitoke na idea nijijenge hapo hapo tz. Na kama unaweza kulipia million 17 kwa semester ina maana una uwezo wa kuwekeza vizuri na ukatoka ukiwa tanzania. Kama kidogo huwezi kukisimamia je kikubwa kitaweza kuKutoa? watu wanaongea kwa uzoefu.
Nimekupendea bure unaonekana upo vizuri sana
 
Jilipue mkuu, hakuna kinachoharibika. Wewe sio mti, kwamba hauwezi kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Tafuta mahali pa ndoto yako, unapoona panafaa, then fanya uende kwa kila njia. Mie nina ndoto ya kuishi nchi za scandinavia. Nilishakuwepo kule kabla.
Nipe
Jilipue mkuu, hakuna kinachoharibika. Wewe sio mti, kwamba hauwezi kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Tafuta mahali pa ndoto yako, unapoona panafaa, then fanya uende kwa kila njia. Mie nina ndoto ya kuishi nchi za scandinavia. Nilishakuwepo kule kabla.
Nipe muingozo mkuu pesa ya kuanzia mchakato na nauli.
 
Wakuu baada ya kumaliza chuo miaka kadhaa na kuhangaika kupata masters degree naona bado future yangu haiko salama ikiwa nikiwa naishi hapa Tz. Kupata mshahara wa 950,0000 na allowance ya 600,000 kila mwezi naona inaishia kuishi maisha ya hand to mouth. Sasa umri unaenda, na hakuna cha maana kinafanyika, na mzee Magu amebana mno hata hakuna deal kabisa, naomba msaada wa ushauri tu kwa wale wenye uzoefu wa Australia, na sio kwingine au kutoa kejeli zisizojenga kwani.

Mpaka nimefikia uamuzi huo wa kwenda huko kwa wazungu kwa sababu nina jirani yangu hapa alikwenda akasoma (Bachelor of nursing na akawa registered nurse), na bahati nzuri akapata PR na anafanya kazi ya nursing salary yake kwa saa ni aud 59 (90,000 tsh) na weekend (sunday) ni aud 118/hr (180,000 tsh). Expenditure zake ni aud 500/week rent, groceries ni aud 150-200/week, gas aud 70-80/week.

Haki ya nani huyu dada anajenga bonge la ghorofa hapa jirani, pamoja na kuwa amenipa clues tu chache na kuona positivity yake bado naomba michango yenu.

Asante sana, nikifanikiwa nitarejea kutoa ushuhuda
Hiyo nauli bora ufungue genge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipe

Nipe muingozo mkuu pesa ya kuanzia mchakato na nauli.
Nimependekeza nchi za Scandinavia kwa sababu kwanza zina utulivu, lakini zina fursa za kufanya kazi kwa sababu ya uchache wa watu. Kikubwa, uliza humu JF mtu aliyepo nchi hizo (Norway, Sweden ama Denmark). Ukishampata atakupa orodha ya miji mizuri ya kuanzia maisha. Mie nitajazia kidogo
 
Nimependekeza nchi za Scandinavia kwa sababu kwanza zina utulivu, lakini zina fursa za kufanya kazi kwa sababu ya uchache wa watu. Kikubwa, uliza humu JF mtu aliyepo nchi hizo (Norway, Sweden ama Denmark). Ukishampata atakupa orodha ya miji mizuri ya kuanzia maisha. Mie nitajazia kidogo
Shukrani
 
Hamna Sehemu Nzuri Za Kuishi Kama Sehemu Hizo Mfano Shelisheli Nyumba Bure,umeme Bure,elimu Afya We Unatafuta Hela Ya Kufanya Maendeleo Tu Mishahara Mizuri Raia Wenyewe Wapo Laki Mbili Tu Na Per Capita Income Ni Usd 280 Kwa Kila Raia Kwa Kila Raia Yaan Ukiwa Na Elimu Katika Nchi Hiyo Hadi Raha
Vipi ukienda kule na ka degree kako ka medicine ?
 
Australia ukiomba chuo ni rahisi zaidi kuingia
Bank statement watataka za kuanzia$22000 ili upewe visa
Kuna career path ukiichukua unaweza kupewa uraia as wana upungufu na watu wenye hizo career
Career kama nursing,secondary school teaching and social workers!
Kama bado unahitaji nipm nikutumie no.za agent alieko kule akusaidie
Unamtumia vyeti vyako then atakwambia unafaa kuanzia level gani ya elimu, she is very relaible,we andaa ngeli yako nzuri tu!
kama una marks za juu it will be more advantageous to you!
 
Back
Top Bottom