Kweli mkuu mimi ninaamini katika kuhama, hata wewe ukiangalia kama usingehama pale kwenu ulipokulia huenda usingekua ulivyo sasa. Kuhama kumeanzia kwenye bible pale Lutu na anko wake Abraham walipoona malisho yamekua madogo wakahama. Trust in the principle of shifting or migration, inasaidia sana kupata changamoto mpya na opportunities nyingine unaweza pata. Mimi nimeamua kwenda Australia mkuu, nitaweza tu hapa natafuta mwanga zaidi ya ule niliopata mpk kufikia uamuzi huuOndoka haraka, Nchi hii hao Kama Magu hata wawe 10 hawawezi kubadilisha maisha ya Watz, watu wanaishi kwa "Hope and Dreams" mpk Mauti yanamkuta. Wenzetu kule tayari kila kitu kumewekwa juu ya meza mpk miaka 1000 Mbele.
Australia Na Canada Ndio Taifa Lililo zuri kwa sekta ya Ajira mpk saivi Hapa Canada Nursey analipwa mpk Can 35 kwa saa.
Mkuu mimi niko sector ya mazingira, Bachelor & Masters. Ila nataka kuanza avenue mpyaa huku nikiangalia upepo wa hata hizo kazi za profession yangu..nursing ni kama kuzugia tuu na ni rahisi kupata pepazmkuu wewe umesomea faculty gani bachelor na masters yako????
nimeangalia hiyo course ni m17 kwa semester, so hizo ishu za pesa nimeshaweka mkakati kumalizana nalo..just for the sake of my future nitarisk tuandaa kama tzs 10m, utatusua na kupata PR, ingawa australia wame-tight sana "migration rules" kwa huu mwka.
Asante kwa ushauri, sijalalamika nilitoa sababu kwa nini nataa kuondoka.Nauli tu itakutoa jasho.
Na huo mdomo wa ulalamishi uuache hapa maana utarudishwa punde.
unapoanza safari nipitie na mimiWakuu baada ya kumaliza chuo miaka kadhaa na kuhangaika kupata masters degree naona bado future yangu haiko salama ikiwa nikiwa naishi hapa Tz. Kupata mshahara wa 950,0000 na allowance ya 600,000 kila mwezi naona inaishia kuishi maisha ya hand to mouth. Sasa umri unaenda, na hakuna cha maana kinafanyika, na mzee Magu amebana mno hata hakuna deal kabisa, naomba msaada wa ushauri tu kwa wale wenye uzoefu wa Australia, na sio kwingine au kutoa kejeli zisizojenga kwani.
Mpaka nimefikia uamuzi huo wa kwenda huko kwa wazungu kwa sababu nina jirani yangu hapa alikwenda akasoma (Bachelor of nursing na akawa registered nurse), na bahati nzuri akapata PR na anafanya kazi ya nursing salary yake kwa saa ni aud 59 (90,000 tsh) na weekend (sunday) ni aud 118/hr (180,000 tsh). Expenditure zake ni aud 500/week rent, groceries ni aud 150-200/week, gas aud 70-80/week.
Haki ya nani huyu dada anajenga bonge la ghorofa hapa jirani, pamoja na kuwa amenipa clues tu chache na kuona positivity yake bado naomba michango yenu.
Asante sana, nikifanikiwa nitarejea kutoa ushuhuda
Ngoja nimalizie michakato yangu huku, then nirudi zangu home Tz nifanye maisha pasipo pressure wala stress.
Kwakifupi kwa muda ambao nimejaribu kuzunguka nchi kadhaa kama expert worker, bado nakiri wazi kwamba home Tz bado kuna opportunity nyingi sanaaaaa ambazo kiukweli mtu ukiamua kuweka bidii na kujitumia kwa dhati lazima ukue na Good life aiseeee.
Tatizo linalo tutafuta sana waTanzania ni uvivu, kupenda kuomba, kuwa tegemezi na shortcut.
Mkuu we una gorofa ngapi kwanimkuu kama kweli unataka utusue maisha tafadhali nenda katika nchi zifuatazo Shelisheli Ipo Africa,st Vincent And Grenadies,british Virgin Island Zipo Marekani Kaskazin Bila Kusahau Cape Verde Nakuhakikishia Ukirud Baada Ya Miaka Miwili Kama Hujajenga Magorofa Matatu Kwa Mpigo Mimi Fala..
Hivi huko Tz hizo opportunity ni zipi? Wewe umesema ni expert worker, kwa nn uajiriwe ikiwa kweli unaona hizo opportunities? Mfano ukifanya nn unaweza kuwa na net saving ya m10 guaranteed kila mwezi kwa Tz?
Huo ndio ukweli mkuu! Mwaka wa 10 huu nipo nasupport misamba hapa, hakuna jambo linaloumiza muuguzi kama kufiwa na mgonjwa kisa mtungi wa oxygen haufanyi kazi, mbaya zaidi wanasiasa wanakusimamisha kwenye gwaride la utambuzi mbele ya wagonjwa eti:" .....huyu ndiye amekuomba elfu kumi za mipira?"Yamenigusa.
Ni kweli Binti Magufuli
Huyo dada ni mid50, alikwenda akiwa 45 mwaka 2007 alisoma kwa miaka 3 akamaliza ndipo akaajiriwa (kwa sababu ukimaliza tu degree=registered nurse). So ameajiriwa akiwa na miaka 48, lakini mafanikio aliyopata in 5years ni zaidi ya miaka 25 alofanya kazi Bongo. Mimi nimeshafanya kazi miaka 10 kama ofisa wa serikali, sasaivi nina miaka 35 (10 yrs less than her).
Sina sababu ya kushindwa, pia nilishaenda kwa miezi mi3 ila sikupata exposure ya miji mingi kwa vile nilienda tu Melbourne
Utaambiwa kilimo cha mapapai!Hivi huko Tz hizo opportunity ni zipi? Wewe umesema ni expert worker, kwa nn uajiriwe ikiwa kweli unaona hizo opportunities? Mfano ukifanya nn unaweza kuwa na net saving ya m10 guaranteed kila mwezi kwa Tz?
Mkuu unauzoefu wa nchi gani kati ya izo?mkuu kama kweli unataka utusue maisha tafadhali nenda katika nchi zifuatazo Shelisheli Ipo Africa,st Vincent And Grenadies,british Virgin Island Zipo Marekani Kaskazin Bila Kusahau Cape Verde Nakuhakikishia Ukirud Baada Ya Miaka Miwili Kama Hujajenga Magorofa Matatu Kwa Mpigo Mimi Fala..
Mkuu....Hivi huko Tz hizo opportunity ni zipi? Wewe umesema ni expert worker, kwa nn uajiriwe ikiwa kweli unaona hizo opportunities? Mfano ukifanya nn unaweza kuwa na net saving ya m10 guaranteed kila mwezi kwa Tz?