Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

Oh SAfi sana mm niko kwa Ian Khama hapa Gabs nitarudi Bongo then bike huko
Aisee hapo Gabs kuna kipindi nilikuja kama wiki hivi nikawa nakaa pale THE GRAND PALM misosi poa sana, tatizo hakuna WANAWAKE WAZURI (WEZERE) hata ukienda GAME CITY mule hamna kitu aisee. Mnaishije sehemu isiyo na viburudisho?
 
MMhhhhhhh jamani mimi nasubiri part II
 
mkuu kama kweli unataka utusue maisha tafadhali nenda katika nchi zifuatazo Shelisheli Ipo Africa,st Vincent And Grenadies,british Virgin Island Zipo Marekani Kaskazin Bila Kusahau Cape Verde Nakuhakikishia Ukirud Baada Ya Miaka Miwili Kama Hujajenga Magorofa Matatu Kwa Mpigo Mimi Fala..
Please unaweza nisaidia nahitaji agency wa visa
 
Back
Top Bottom