Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

Yes na nilisikia wanasema kwa hakika mipaka wanaweza kufungua next year february
Kama umefanikiwa kulipia ada lazma utapata visa,all the best mkuu
Australia is such a beautiful country na kule unasoma huku unafanya kazi na unalipwa vizuri mno
Mimi ada tu ndio imenikataa[emoji1]
Kule inatakiwa uende na bachelor au hata ukiwa undergraduate au form six kwa maana ya kwenda shule ya post graduate or undergraduate respectively
 
Kule inatakiwa uende na bachelor au hata ukiwa undergraduate au form six kwa maana ya kwenda shule ya post graduate or undergraduate respectively
Sio lazima bachelor wala undergraduate!rafiki yangu alienda na elimu ya form four tu!
Kule wanaangalia alama ulizopata kama ni za juu then you are good to go regardless ni level gani ya elimu!na alipofika kule alianzia certificate of nursing,now yuko diploma
 
Hii nzuri sana, sema kipengele cha hela ndo utata kwa maana ya ada nk
 
Hiyo process imenigharimu karibia 15,000 USD kulipia gharama za Migration Agents Australia ila inakaribia mwishoni sema ishu za Corona zimechelewesha sana
Mkuu ulifanikwa? Je hizo ni gharama tu za kupata student visa kwa kutumia agent? Au ni mimi sijaelewa vizuri...
 
Kule inatakiwa uende na bachelor au hata ukiwa undergraduate au form six kwa maana ya kwenda shule ya post graduate or undergraduate respectively
Vipi kuhusu form four, certificate na diploma?
La saba je?
 
Sio lazima bachelor wala undergraduate!rafiki yangu alienda na elimu ya form four tu!
Kule wanaangalia alama ulizopata kama ni za juu then you are good to go regardless ni level gani ya elimu!na alipofika kule alianzia certificate of nursing,now yuko diploma
Wanaangalia alama za kwenye cheti chako cha bongo? Au wana anagalai alama za test zao watakazo kupa?
 
Aisee, ukiufautalia huu uzi ndio utajua kweli...
Tmes Fly..

2016 now 2021- ukiwa na plan zipambanie kwa kweli zitimie kwa wakati, ukichelewa unaweza ukaghairi
 
Wanaangalia alama za kwenye cheti chako cha bongo? Au wana anagalai alama za test zao watakazo kupa?
Wao hawakupi test,ni alama za cheti chako then hapa utafanya ule mtihan wa british council wa english proficiency
 
Mimi nimepata kazi kulingana na taalum yangu IT. Kusoma labda baadae Sana. Afrika nitarudi tu Kama nahitaji kupata Malaria.
Hongera mkuu , IT ume specialise na nini?

Bongo usirudi😂😂 wekeza tu Tz ,vijana wapate fursa za ajira
 
Australia ukiomba chuo ni rahisi zaidi kuingia
Bank statement watataka za kuanzia$22000 ili upewe visa
Kuna career path ukiichukua unaweza kupewa uraia as wana upungufu na watu wenye hizo career
Career kama nursing,secondary school teaching and social workers!
Kama bado unahitaji nipm nikutumie no.za agent alieko kule akusaidie
Unamtumia vyeti vyako then atakwambia unafaa kuanzia level gani ya elimu, she is very relaible,we andaa ngeli yako nzuri tu!
kama una marks za juu it will be more advantageous to you!
MKUU habari? Naomba uní PM hyo namba pls itasaidia wengi
 
mkuu kama kweli unataka utusue maisha tafadhali nenda katika nchi zifuatazo Shelisheli Ipo Africa,st Vincent And Grenadies,british Virgin Island Zipo Marekani Kaskazin Bila Kusahau Cape Verde Nakuhakikishia Ukirud Baada Ya Miaka Miwili Kama Hujajenga Magorofa Matatu Kwa Mpigo Mimi Fala..
hahahahah!!
 
Back
Top Bottom