Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

Hamna Sehemu Nzuri Za Kuishi Kama Sehemu Hizo Mfano Shelisheli Nyumba Bure,umeme Bure,elimu Afya We Unatafuta Hela Ya Kufanya Maendeleo Tu Mishahara Mizuri Raia Wenyewe Wapo Laki Mbili Tu Na Per Capita Income Ni Usd 280 Kwa Kila Raia Kwa Kila Raia Yaan Ukiwa Na Elimu Katika Nchi Hiyo Hadi Raha
manizzle
 
Ni kweli Binti Magufuli
Huyo dada ni mid50, alikwenda akiwa 45 mwaka 2007 alisoma kwa miaka 3 akamaliza ndipo akaajiriwa (kwa sababu ukimaliza tu degree=registered nurse). So ameajiriwa akiwa na miaka 48, lakini mafanikio aliyopata in 5years ni zaidi ya miaka 25 alofanya kazi Bongo. Mimi nimeshafanya kazi miaka 10 kama ofisa wa serikali, sasaivi nina miaka 35 (10 yrs less than her).

Sina sababu ya kushindwa, pia nilishaenda kwa miezi mi3 ila sikupata exposure ya miji mingi kwa vile nilienda tu Melbourne
nilifanikiwa kufika Melbourne pia Ila mm Niko na shirika la kikatoliki hapa ujerumani,tulienda Kama shirika kwakweli Melbourne ni kuzuri mno ila Sheria Zao ni ngumu mno kwa mhamiaji mzamiaji na kupata visa yao ni mziki Pia sema mm Nina visa ya Schengen naingia hapo bila wasiwasi
lakini nakushauri kwa huo mshahara wako hapo bongo jenga nyumba kwanza nzuri nzuri tu hata ya vyumba 6 alafu ndio ukasake maisha nje kwa mshahara huo hata ukienda nmb au crdb c unaweza kuvuta hata milion 35?
jenga kwanza ndipo usake ngawira mm pia nilifanya hivyo
 
mkuu kama kweli unataka utusue maisha tafadhali nenda katika nchi zifuatazo Shelisheli Ipo Africa,st Vincent And Grenadies,british Virgin Island Zipo Marekani Kaskazin Bila Kusahau Cape Verde Nakuhakikishia Ukirud Baada Ya Miaka Miwili Kama Hujajenga Magorofa Matatu Kwa Mpigo Mimi Fala..
Fafanua huko capeverede kukoje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo usome chuo kama TEKU au Tumaini halafu utegemee ukaajiriwe Australia. Itakua maajabu ya Karne
Hata UD sijui UDOM still ni takataka tu, Kwa vile dunia kwa sasa ni open unaweza search various materials concer ur field na ukaji upgrade ukitegemea curriculum ambazo hazi change kuendana na wakati basi hata utoke na Bachelor yako with hons hapo mlimani ata kujieleza tu unaweza shindwa
 
Kama unayo connection we jilipue wapo washikaj weng wameenda nje wako vizur ila baadhi ya nchi kama south Korea,Canada, Australia ila jiandae kisaikolojia uwe na hela si chini ya M 10 pia anza kufanyia account yako mzunguko wa hela weka na kutoa, ama kama unamtu wa karibu mwombe awe anatumia account yako ya bank uwe unaweka na kutoa hela kwa muda usio pungua miez 6 ,bank statement nzur itakusaidia ubalozi kwenye kuomba visa ukipata mwaliko .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupanga Ni Kuchagua, Lakini Kuchagua Vyema Lazima Ujue Unakotoka Na Unakokwenda,! Bado Hujajua Shida Iko Wapi! Hauhitaji Kwenda Nje Ili uingie Ndani. Bado Hata Ukienda Huko Unaweza Usifikie Viwango Unavyotegemea Vya Pesa, Badilika Ndani Mwako Kwanza, Na Nje Kutabadilika , Bora Ungesema Anae Jenga Ni Mwanaume Mwenzio, Sasa Unajilinganishe Na Mwanamke ,kha!! Utaweza Kazi Za Wanawake , Trust Me! You Are Fighting A Wrong Fight,
 
Ondoka haraka, Nchi hii hao Kama Magu hata wawe 10 hawawezi kubadilisha maisha ya Watz, watu wanaishi kwa "Hope and Dreams" mpk Mauti yanamkuta. Wenzetu kule tayari kila kitu kumewekwa juu ya meza mpk miaka 1000 Mbele.

Australia Na Canada Ndio Taifa Lililo zuri kwa sekta ya Ajira mpk saivi Hapa Canada Nursey analipwa mpk Can 35 kwa saa.
Hiyo ni sawa na Tshs ngapi za kibongo Mkuu?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kama kweli unataka utusue maisha tafadhali nenda katika nchi zifuatazo Shelisheli Ipo Africa,st Vincent And Grenadies,british Virgin Island Zipo Marekani Kaskazin Bila Kusahau Cape Verde Nakuhakikishia Ukirud Baada Ya Miaka Miwili Kama Hujajenga Magorofa Matatu Kwa Mpigo Mimi Fala..
Ulishawahi kufika huko, au uliambiwa tu na mtu?. Maana unavyomhakikishia mwenzako ni km ulifika vile, Wabongo bhana?!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni uzwazwa kutoka TZ kwenda kutafuta maisha kwenye huto tuvisiwa labda kama unaenda kutembea. Wakazi wenyewe wa hivyo visiwa wanakimbia USA na Ulaya ndo sembuse mgeni. Bora aende South Africa kuliko kwenye huto tuvisiwa kama ni kutafuta maisha.
mkuu kama kweli unataka utusue maisha tafadhali nenda katika nchi zifuatazo Shelisheli Ipo Africa,st Vincent And Grenadies,british Virgin Island Zipo Marekani Kaskazin Bila Kusahau Cape Verde Nakuhakikishia Ukirud Baada Ya Miaka Miwili Kama Hujajenga Magorofa Matatu Kwa Mpigo Mimi Fala..
 
Kama Toka 2016 hadi leo 2019 bado hujaenda sanda tu mkuu endelea kula vumbi na kupambana na hali yako bongo nje ibaki kuwa fantasy tu.
Wakuu baada ya kumaliza chuo miaka kadhaa na kuhangaika kupata masters degree naona bado future yangu haiko salama ikiwa nikiwa naishi hapa Tz. Kupata mshahara wa 950,0000 na allowance ya 600,000 kila mwezi naona inaishia kuishi maisha ya hand to mouth. Sasa umri unaenda, na hakuna cha maana kinafanyika, na mzee Magu amebana mno hata hakuna deal kabisa, naomba msaada wa ushauri tu kwa wale wenye uzoefu wa Australia, na sio kwingine au kutoa kejeli zisizojenga kwani.

Mpaka nimefikia uamuzi huo wa kwenda huko kwa wazungu kwa sababu nina jirani yangu hapa alikwenda akasoma (Bachelor of nursing na akawa registered nurse), na bahati nzuri akapata PR na anafanya kazi ya nursing salary yake kwa saa ni aud 59 (90,000 tsh) na weekend (sunday) ni aud 118/hr (180,000 tsh). Expenditure zake ni aud 500/week rent, groceries ni aud 150-200/week, gas aud 70-80/week.

Haki ya nani huyu dada anajenga bonge la ghorofa hapa jirani, pamoja na kuwa amenipa clues tu chache na kuona positivity yake bado naomba michango yenu.

Asante sana, nikifanikiwa nitarejea kutoa ushuhuda
 
Kwani huyu jamaa bado hajaenda au ndo karudi kuleta marejesho...? Ni miaka mitatu sasa au uzi umeibuliwa tu, BTW salamu zako BUFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu baada ya kumaliza chuo miaka kadhaa na kuhangaika kupata masters degree naona bado future yangu haiko salama ikiwa nikiwa naishi hapa Tz. Kupata mshahara wa 950,0000 na allowance ya 600,000 kila mwezi naona inaishia kuishi maisha ya hand to mouth. Sasa umri unaenda, na hakuna cha maana kinafanyika, na mzee Magu amebana mno hata hakuna deal kabisa, naomba msaada wa ushauri tu kwa wale wenye uzoefu wa Australia, na sio kwingine au kutoa kejeli zisizojenga kwani.

Mpaka nimefikia uamuzi huo wa kwenda huko kwa wazungu kwa sababu nina jirani yangu hapa alikwenda akasoma (Bachelor of nursing na akawa registered nurse), na bahati nzuri akapata PR na anafanya kazi ya nursing salary yake kwa saa ni aud 59 (90,000 tsh) na weekend (sunday) ni aud 118/hr (180,000 tsh). Expenditure zake ni aud 500/week rent, groceries ni aud 150-200/week, gas aud 70-80/week.

Haki ya nani huyu dada anajenga bonge la ghorofa hapa jirani, pamoja na kuwa amenipa clues tu chache na kuona positivity yake bado naomba michango yenu.

Asante sana, nikifanikiwa nitarejea kutoa ushuhuda

Mkuu vipi za wapi Melbourne ama Sydney?
 
Back
Top Bottom