Malaika Gabrieli
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 3,622
- 6,865
Mkuu nilienda Vancouver, nikakaa 2 yrs nimerudi sasa bongo njaaWity bado upo? Au ushaondoka bongo. [emoji4].
Oh can you share your experience?Mkuu nilienda Vancouver, nikakaa 2 yrs nimerudi sasa bongo njaa
Mbona nishaelezea kitambo, fatilia comment zanguOh can you share your experience?
Thanks mkuuGraduate record examination. Ni kama IELTs ila GRE kuna hesabu nyingi sana, Vyuo vingi marekani wanahitaji GRE
Umerudi na nn?Mkuu nilienda Vancouver, nikakaa 2 yrs nimerudi sasa bongo njaa
Hiyo process imenigharimu karibia 15,000 USD kulipia gharama za Migration Agents Australia ila inakaribia mwishoni sema ishu za Corona zimechelewesha sanaAustralia ukiomba chuo ni rahisi zaidi kuingia
Bank statement watataka za kuanzia$22000 ili upewe visa
Kuna career path ukiichukua unaweza kupewa uraia as wana upungufu na watu wenye hizo career
Career kama nursing,secondary school teaching and social workers!
Kama bado unahitaji nipm nikutumie no.za agent alieko kule akusaidie
Unamtumia vyeti vyako then atakwambia unafaa kuanzia level gani ya elimu, she is very relaible,we andaa ngeli yako nzuri tu!
kama una marks za juu it will be more advantageous to you!
Jamani jivi 15000USD ndo Tsh ngap?[emoji848][emoji848]Hiyo process imenigharimu karibia 15,000 USD ila inakaribia mwishoni sema ishu za Corona zimechelewesha sana
Na mimbaUmerudi na nn?
Yes na nilisikia wanasema kwa hakika mipaka wanaweza kufungua next year februaryHiyo process imenigharimu karibia 15,000 USD ila inakaribia mwishoni sema ishu za Corona zimechelewesha sana
Zaidi ya milioni 30 za kitanzania.Jamani jivi 15000USD ndo Tsh ngap?[emoji848][emoji848]
Ukitaka kwenda Aussie ujipange haswaa, ila uhakika wa kurejesha pesa yako baada ya masomo ni 100% especially ukishapata PR.Yes na nilisikia wanasema kwa hakika mipaka wanaweza kufungua next year february
Kama umefanikiwa kulipia ada lazma utapata visa,all the best mkuu
Australia is such a beautiful country na kule unasoma huku unafanya kazi na unalipwa vizuri mno
Mimi ada tu ndio imenikataa😄
Hiyo process imenigharimu karibia 15,000 USD ila inakaribia mwishoni sema ishu za Corona zimechelewesha sana
Hautairejesha baada ya masomo ila kabla hata hujamaliza,huo ni ukweliUkitaka kwenda Aussie ujipange haswaa, ila uhakika wa kurejesha pesa yako baada ya masomo ni 100% especially ukishapata PR.
Ada bei gani?Yes na nilisikia wanasema kwa hakika mipaka wanaweza kufungua next year february
Kama umefanikiwa kulipia ada lazma utapata visa,all the best mkuu
Australia is such a beautiful country na kule unasoma huku unafanya kazi na unalipwa vizuri mno
Mimi ada tu ndio imenikataa😄
Ada inategemea na kozi unayotaka kusoma ila kwa uhakika andaa si chini ya Tzs milioni 15Ada bei gani?
Tafuta njia yako mkuu,watanzania wachoyo wa fursaHautairejesha baada ya masomo ila kabla hata hujamaliza,huo ni ukweli
Mimi naona kwa ndugu yangu mmoja hivi sema ndo mambo ya ndugu si unayaelewa tena
Mtu hataki nawe utoke