Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,493
- 112,035
Karibu ushirombo aiseeee....Utaambiwa kilimo cha mapapai!
Hapa ni fully kulima, kupanda, kuvuna na kula[emoji1] [emoji1]
Karibu ushirombo aiseeee....Utaambiwa kilimo cha mapapai!
Avatar yako imenikumbusha master na group lakekwani mkuu wwe ulisomea nini na huko je ulishawahi kuishi nje ya tz hapo kabla
kiongozi hizo inchi kuna fursa zipi zinapatikana huko mfano zinazohusu biashara na ajiramkuu kama kweli unataka utusue maisha tafadhali nenda katika nchi zifuatazo Shelisheli Ipo Africa,st Vincent And Grenadies,british Virgin Island Zipo Marekani Kaskazin Bila Kusahau Cape Verde Nakuhakikishia Ukirud Baada Ya Miaka Miwili Kama Hujajenga Magorofa Matatu Kwa Mpigo Mimi Fala..
kaka swali la kitoto sana hilo.. umiza kichwa usipende kutafuniwa tafuniwa uambiwe kila kitu hizo ni dalili za uvivu wa akili..
hujasoma watu kina raphael wanaendesha forklift tu wanamiliki mabilion.. na hawajasoma kabisa hata digrii kama yako
sasa wewe mfano kama ni daktari huwezi tengeneza hela kwa forklift hata ukiambiwa... sababu umeiga kitu usichokijua wala kuwa na passion nacho...
mtaji wa kwanza wa biashara ni wazo lako binafsi ambalo unalijua nje ndani..
mi nachukiaga sana watu wanaopenda kutafuniwa na kuiga iga biashara... umiza kichwa chako
milion 10 hela ndogo sana.. unafikiri kina home shopping centre kwa siku wanaingiza kiasi gani.. na wameanza kuuza mapazia tu kariakoo miaka 10 iliyopita kwenye fremu...
Mkuu ninakwambia wabongo Ni waoga wa kusafiri, lkn wasikutishe kabisa kuhusu Suala la safari, kusafiri Ni njia moja ya kufungua channel Za maisha, bongo ukibahatika kufika miaka 50 kwenye Ajira utashangaa manufaa yake labda Uwe dhulma Na rushwa, mawazo yako yote yanaanza kuwaza kiinua mgongo tuu. Kweli utaweza kufanya tena maisha kwa kiinua mgongo?
Australia masaa mangap hewani mkuu
kwanza nitoe shukrani za dhati kwa mchango wako hata kama haujalenga kukamilisha azma yangu. Kiukweli kbs gharama zote ni kama milioni 40 ili nisettle na kutulia ili niingie ktk system. Nimeshajaribu ujasiliamali mwingi tu, kuanzia kuku, daladala na hata kununua mazao. Kwanza ni kazi ngumu sana, na ili ufanikiwe na hizo kodi zote OMG ni kazi sana "kutoka". Hapa kutoka kuna maana nyingi, ila kwa maana yangu sijaweza kutokaHapa swala sio kumkatisha tamaa au kuwa waoga wa kujaribu fursa. Unapoomba ushauri kuwa tayari kupata mitazamo tofauti.
Miaka 40+ ndio unatulia kwenye system unadhani utafanya nini? Umetoa mfano wa mwanamke na unajua wanawake wana njia nyingi za kumake bingo.
anyways ni vyema utambue magumu na mepesi ya njia unayotaka kuiendea ili ujipange.
ila ingekuwa mimi at the age of 35 ningetulia nizungushe akili vilivyo nitoke na idea nijijenge hapo hapo tz. Na kama unaweza kulipia million 17 kwa semester ina maana una uwezo wa kuwekeza vizuri na ukatoka ukiwa tanzania. Kama kidogo huwezi kukisimamia je kikubwa kitaweza kuKutoa? watu wanaongea kwa uzoefu.
Tufafanulie mkuu upanue mawazo ya watu wengimkuu kama kweli unataka utusue maisha tafadhali nenda katika nchi zifuatazo Shelisheli Ipo Africa,st Vincent And Grenadies,british Virgin Island Zipo Marekani Kaskazin Bila Kusahau Cape Verde Nakuhakikishia Ukirud Baada Ya Miaka Miwili Kama Hujajenga Magorofa Matatu Kwa Mpigo Mimi Fala..
Dah umeongea hadi umenivunja moyo kwenye ndoto zangu za kujiajiri. Haya we nenda Mungu akutangulie ila ukifanikiwa tu ninaomba unikumbuke kwenye ufalme wako. Utatupatia muongozo wale wa ungwini tufanyaje japo me nilipenda sana niende Canada.kwanza nitoe shukrani za dhati kwa mchango wako hata kama haujalenga kukamilisha azma yangu. Kiukweli kbs gharama zote ni kama milioni 40 ili nisettle na kutulia ili niingie ktk system. Nimeshajaribu ujasiliamali mwingi tu, kuanzia kuku, daladala na hata kununua mazao. Kwanza ni kazi ngumu sana, na ili ufanikiwe na hizo kodi zote OMG ni kazi sana "kutoka". Hapa kutoka kuna maana nyingi, ila kwa maana yangu sijaweza kutoka
At my age ofcourse ningekua napata pesa nzuri ni muda wa kuendeleza kile nilicho invest shule nk. Mambo sio ivyo dada angu, mimi sichomi moto vyeti vyangu kumbuka naondoka na uzoefu wa miaka 10 kama environmentalist...I can be employed at high position anywhere (though am skewed to Australia). Hiyo nursing nina guarantee ya kupewa uraia in short time and excel from there as Environmentalist. Umenielewa sasa?
Haha hah nimecheka sana kwa iyo comments yako Dada jipange vzr mfukoni ndipo uhanze kupanga mipango ya kuondokaDah umeongea hadi umenivunja moyo kwenye ndoto zangu za kujiajiri. Haya we nenda Mungu akutangulie ila ukifanikiwa tu ninaomba unikumbuke kwenye ufalme wako. Utatupatia muongozo wale wa ungwini tufanyaje japo me nilipenda sana niende Canada.
Hahaha mwenzio ni scholarship tu itanitoa bongo then nikishafika nitajua nifanye nini nibaki. Hela zimejaa kwenye mifuko ya wazungu ni wewe tu kujua namna ya kuzila kwa kutumia kalamu yako. Kuanzia bachelor nimesomea hela Ya mzungu so hata huko Canada nina imani muda ukifika nitatafuta ni namna gani nitaingia tena kwa nauli yaoHaha hah nimecheka sana kwa iyo comments yako Dada jipange vzr mfukoni ndipo uhanze kupanga mipango ya kuondoka
Kumbe ushawai kwenda?Hahaha mwenzio ni scholarship tu itanitoa bongo then nikishafika nitajua nifanye nini nibaki. Hela zimejaa kwenye mifuko ya wazungu ni wewe tu kujua namna ya kuzila kwa kutumia kalamu yako. Kuanzia bachelor nimesomea hela Ya mzungu so hata huko Canada nina imani muda ukifika nitatafuta ni namna gani nitaingia tena kwa nauli yao
ayaaa! embu hyo hela aiandae halafu aje tulime kabeji na vituu huku ngara uone kama baada ya miaka miwili tu,atatamani kubandua mguu wake hapa bongo hata hatua moja! ama kweli, wale wasio na meno ndio waliopewa nyamachoma.andaa kama tzs 10m, utatusua na kupata PR, ingawa australia wame-tight sana "migration rules" kwa huu mwka.