Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

Unashindwa hata ku google mkuu ukapata data zote unazohitaji kwa ufasaha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa sasa umeingiza Utanzania, kujifanya kujua kwingi!! Ndugu, kuna mambo hata ugugu huwezi kuyapata kupitia gugu!! Mengine wanayafahamu waliopitia I mean wazoefu tu!! Na hapo ndipo tunafeligi Wabongo kwa kuogopa kuuliza!!

Iache iwe kama forums za waNigeria, wanafunguka na kupeana miongozo yote!!
 
Back
Top Bottom