Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

mkuu kama kweli unataka utusue maisha tafadhali nenda katika nchi zifuatazo Shelisheli Ipo Africa,st Vincent And Grenadies,british Virgin Island Zipo Marekani Kaskazin Bila Kusahau Cape Verde Nakuhakikishia Ukirud Baada Ya Miaka Miwili Kama Hujajenga Magorofa Matatu Kwa Mpigo Mimi Fala..
Huko kuna mishe gani?
 
Andaa bajeti ya 50,000 USD Kama ni professional utapata na kazi huko. Pia, bila chanjo hata viza hutapata!
 
Back
Top Bottom