hahahaaa...lazima una limjamaa lako linaku kuna mama,,kitombo always ni kitamuDadiiiii
Pole sana sherida .Fanya mpango upime.Pia jitahidi kujichanganya na marafiki zako au kufanya activities unazozipenda ili usiwe na mawazo sana.Wanajamvi Niko njia panda naomben angalau ushauri utakaonisaidia kwenye wakati huu mgumu naopitia .Nimeolewa na mumewangu tena kwa ndoa ya kanisani Mika 15 iliyopita tuna watoto watatu mumewangu Ni mtu mwenye cheo kizur tu mm mshahara wangu Ni wa kawaida . Tatizo lilianza yeye likija suala la kujenga hataki nikajitoa mhanga nikachukua mkopo nikajenga ila nyumba haijaisha ,baada ya hap hakuongezea hat tofali hap nasubiri mkopo wangu uishe baada ya miak3,.Hela ya kula yenyew Ni mbinde yy kazi yuko mkoa jiran tu na kila baada ya wik mbili anakuja nyumbn .Juzi nikasema ngoja nimfanyie ziara ya kustukiza nikaingia saa 3 usik nagonga mlango anakuj kufunga mlango mwanamke naingia ndani maan Ni chumba kimoj nakuta mwanamke mwingine kitandan inamaan anasex nao wote wawili wale wanawake wakakimbia katik kukurupushana pale namuuliza sawa umeamua kufany ushenzi huu je condom ambazo ungetumia ziko wapi anatoa macho huwezi kuamin hakua hata na condom moja ndani kwake,. Ndio nikatoka pale nikaanza kumhoj hoseboy wake kwa upendo aliyonieleza nimetamn nijiue tu ,kila siku lazima alale na mwanamke na yule wa Jana sio wa leo .Kuna ndugu yake walikua wanaishi nae nyumb moja ila baadae aliham akaenda kupanga kwake nikamweleza niliyoyakuta alichonjib bora umeshuhudia maan Ni ngumu kukwambia yaliyokua yanaendelea ila jamaa anayoyafanya kwa cheo chake Ni aibu Swali hizo nguvu anatoag wap wakat kaz zake Ni nzito sana anarudigi amechoka mnoo .Hap nilipo nimebakia sijui nichukue uamuzi gani Niko shocked!!!najua kila ntachoamua Sasa sio sahihi mwenyew wala haonyesh kujut ,kupima ntaenda ila ngoja nipate ujasiri . Ninahasira nae ameniharibia maisha yngu MO
Mhhhh, this is jamii forum.weka wazi hata mkoa basiUyo jamaa namfaham sana japo kuna sehem umeandika kwa codes ila kwa cc wajuvi wa mambo nimeshamjua na huu mkoa aliapo ukimwi umetamalaki kama mbigiri, na hao mademu kuna boda boda ndie anaemletea, kiujumla mumeo ajarogwa ni limbukeni flani hivi mwenye cheo, cc wakazi wa hpa ckuzote tunajua hana mke sbbu uzinzi anaoufanya ni wa kiwango cha akina Stomey Daniel
umesahau ile namba ya vocha ni ya juu
Kama kawaida mgosh kishipa Cha TANGA ataka kuliwaza mtu weeeeh!!!!!Tatizo dogo nipe nafasi nikuliwaze
mh sawa siendi zaidi ya hapo...mchele chakula kitamu sana...Hata sijakuelewa.
Mungu aliona sio vyema Adam akawa pekeyake akamuumba EVA ili awemsaidizi wake. Lakini kutokana na mabadiliko ya maisha sasa adamu anaishi Arusha na Eva dar es salaam. Mwenyezi mungu hakuwa mpumbafu kutuweka pamoja sasa kwa yatakayotukuta tutumie pesa zetu zinazotuweka bize kutatua matatizo haya.. Wewe mmeo anakuacha week zima kwa karne mbaya kama hii unategemea mini? It's over hakuna kuachana huyo ni mmewako sio kosa lake nendeni mkacheki muanze maisha mapya OVER!
wanaume wengine mnawapataga wapi?Asante mpk nafikiria sijui kalogwa sijui Ni tabia yake ,au anajijua Ni mgonjwa anaambukiza makusuda
Wewe jamaa yule mke wako aliyenenepeana Kama mbuyu anaendeleaje? Ila ulinichekesha sana na kisa chako huwa sikisahau 😆😆hujaelewa yaani anasema nyumba kubwa lakini yeye anaishi chumba kimoja ndani ya nyumba aliyopewa sijui ya kampuni au serikali hapo hatujui.
Anafanya makusudi ili umuache.Aaah mtu unakufa na stress mwenzio anadunda tu!
Give him a space inshort hakuhitaji