Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,626
- 9,030
Pole sana ni vizuri ukapima afya Mungu akusaidie.
Sikuelewa unamaanisha nini kama ni issue ya kuoa mwanamke yeyote hiyo haipo niliheshimu sana ndoa lakini nilichofanyiwa sioni kama kunasababu ya kuoa kilichokibaki mwanamke yeyote ambaye hajaolewa ni mke wetu. Hao walioolewa sigusi sitaki vita ya sayari ya pluto. Kwasababu hata ukioa ni yaleyale tu huyo unayemwita mkeo siyo wako ni wa wote na mwanaume yule ambaye bado hujamjua au wanaume ambao hujawajua.Kipya kwako mkuu, kwani we unatakaje? Bikra?
duh, hizi fantasy ztawapeleka watu pabaya aseeWatakuwa walikuwa wanatengeneza movie ya X aina ya threesome!!Life is adventure na siyo msalaba,achana nae anza upya and live your life!
Tena kavu bila kitafunwa.Mtu mwenye cheo anaishi kwenye chumba kimoja?.chai hii.
Nyumba umejenga mwenyewe, chakula unajihudumia, Mwanaume kitombi mpaka 3some...unahitaji nini zaid UKIMWI??Wanajamvi Niko njia panda naomben angalau ushauri utakaonisaidia kwenye wakati huu mgumu naopitia.
Nimeolewa na mumewangu tena kwa ndoa ya kanisani Miaka 15 iliyopita tuna watoto watatu
Mume wangu ni mtu mwenye cheo kizuri tu mimi mshahara wangu ni wa kawaida.
Tatizo lilianza yeye likija suala la kujenga hataki nikajitoa mhanga nikachukua mkopo nikajenga ila nyumba haijaisha, baada ya hapo hakuongezea hata tofali hapa nasubiri mkopo wangu uishe baada ya miaka 3.
Hela ya kula yenyewe ni mbinde yeye kazi yuko mkoa jirani tu na kila baada ya wiki mbili anakuja nyumbani.
Juzi nikasema ngoja nimfanyie ziara ya kustukiza nikaingia saa 3 usik nagonga mlango anakuja kufunga mlango mwanamke
Naingia ndani ambako ni chumba kimoja nakuta mwanamke mwingine kitandan yaani anasex nao wote wawili wale wanawake wakakimbia
Katika kukurupushana pale namuuliza sawa umeamua kufanya ushenzi huu je, condom ambazo ungetumia ziko wapi anatoa macho, huwezi kuamin hakua hata na condom moja ndani kwake,.
Ndio nikatoka pale nikaanza kumhoj hoseboy wake kwa upendo aliyonieleza nimetamn nijiue tu ,kila siku lazima alale na mwanamke na yule wa Jana sio wa leo.
Kuna ndugu yake walikua wanaishi nae nyumb moja ila baadae aliham akaenda kupanga kwake nikamweleza niliyoyakuta alichonjib bora umeshuhudia maana ni ngumu kukwambia yaliyokua yanaendelea ila jamaa anayoyafanya kwa cheo chake ni aibu Swali hizo nguvu anatoaga wapi wakat kazi zake ni nzito sana anarudigi amechoka mnoo.
Hapa nilipo nimebakia sijui nichukue uamuzi gani Niko shocked!!!najua kila nitachoamua Sasa sio sahihi mwenyewe wala haonyeshi kujuta na kupima nitaenda ila ngoja nipate ujasiri .
Nina hasira nae ameniharibia maisha yngu MO
Usipime sasa tulia kwanza ni tatizo dogo ukitumia akili ktk kuamua. Nina imani Mungu kakulinda vyema kiafya.Wanajamvi Niko njia panda naomben angalau ushauri utakaonisaidia kwenye wakati huu mgumu naopitia.
Nimeolewa na mumewangu tena kwa ndoa ya kanisani Miaka 15 iliyopita tuna watoto watatu
Mume wangu ni mtu mwenye cheo kizuri tu mimi mshahara wangu ni wa kawaida.
Tatizo lilianza yeye likija suala la kujenga hataki nikajitoa mhanga nikachukua mkopo nikajenga ila nyumba haijaisha, baada ya hapo hakuongezea hata tofali hapa nasubiri mkopo wangu uishe baada ya miaka 3.
Hela ya kula yenyewe ni mbinde yeye kazi yuko mkoa jirani tu na kila baada ya wiki mbili anakuja nyumbani.
Juzi nikasema ngoja nimfanyie ziara ya kustukiza nikaingia saa 3 usik nagonga mlango anakuja kufunga mlango mwanamke
Naingia ndani ambako ni chumba kimoja nakuta mwanamke mwingine kitandan yaani anasex nao wote wawili wale wanawake wakakimbia
Katika kukurupushana pale namuuliza sawa umeamua kufanya ushenzi huu je, condom ambazo ungetumia ziko wapi anatoa macho, huwezi kuamin hakua hata na condom moja ndani kwake,.
Ndio nikatoka pale nikaanza kumhoj hoseboy wake kwa upendo aliyonieleza nimetamn nijiue tu ,kila siku lazima alale na mwanamke na yule wa Jana sio wa leo.
Kuna ndugu yake walikua wanaishi nae nyumb moja ila baadae aliham akaenda kupanga kwake nikamweleza niliyoyakuta alichonjib bora umeshuhudia maana ni ngumu kukwambia yaliyokua yanaendelea ila jamaa anayoyafanya kwa cheo chake ni aibu Swali hizo nguvu anatoaga wapi wakat kazi zake ni nzito sana anarudigi amechoka mnoo.
Hapa nilipo nimebakia sijui nichukue uamuzi gani Niko shocked!!!najua kila nitachoamua Sasa sio sahihi mwenyewe wala haonyeshi kujuta na kupima nitaenda ila ngoja nipate ujasiri .
Nina hasira nae ameniharibia maisha yngu MO
Yeye ndiye mwenye shida.Je kama Mimi Nina kasoro si angekua na huyo mmoja anae mridhisha Sasa mtu mpk analala na wanawake wawili kwa wakati mmoja mm ndio Tatizo au yeye ndie tatizo
Hajarogwa. Amepata pesa. Na hizo sasa ndo tabia zake halisi, zile alizokuonyesha wakati mnaanza kazi aliziazima. Usijidhuru, usiweke hasira mbele, bali umzidishie upendo. Kumbuka uliapa kumpenda katika magonjwa na afya, katika raha na shida....muda wa kuishi kiapo ndio sasa
Kabisa Kuna wakat natamn kumlipizia kisasi hat nimloge tu