Nataka kutoka kwenye hii aibu

Nataka kutoka kwenye hii aibu

ANZA UPYA!
Miaka 15 INAUMIZA! BUT haiumizi kama KUBAKI HIVYO FOR THE REST OF YOUR LIFE!
 
Hii magazijuto utaweza kuipangua ukifanikiwa kuijua Afya yako kwanza, Kwanza pima, mpe likizo ya kwichikwichi for 3 month ili upime tena. Unaweza pima faster ukakuta uko safi ila baada ya miezi 3 ndo itakuwa confermation ya uhakika kabisa. Baada ya hiyo miezi 3 utapata majibu kwani kwanza utakuwa unajua kwa 100% status yako, pili huo mida utakuwa umepima kama huyo ndugu anaweza kubadilika au laa. Baada ya hapo utajiongeza mwenyewe kubaki au kukomaa kimpango wako
 
Wewe jamaa yule mke wako aliyenenepeana Kama mbuyu anaendeleaje? Ila ulinichekesha sana na kisa chako huwa sikisahau 😆😆
Hukusahau kama mimi, kinachoendelea siwezi weka hapa. Yupo kanenepa zaidi...anakula bata tu...samahani usiseme mke wako niambie "mke wenu" hapo sawa. Hajawahi kuwa mke wangu ila alikuwa mke wetu. Mimi nililipa mahari tu kwa niaba ya wanaume wengine wote watakao na wanaotembea naye..
 
Hukisahau kama mimi kinachoendelea siwezi weka hapa. Yupo kanenepa zaidi...anakula bata tu...samahani usiseme mke wako niambie "mke wenu" hapo sawa. Hajawahi kuwa mke wangu ila alikuwa mke wetu ila mimi nililipa mahari tu kwa niaba ya wanaume wengine wote watanaotembea naye na watakaotembea naye.
Hujakamatia kifaa kipya tu hadi leo?
 
Pole sana dada, naona kuna mengi nyuma yake lakini umeshindwa kuyasema hapa, huyo mwanaume ulijua Tabia zake ingwa ukujua kama ni kwa kiasi hicho.
Acheni kuolewa na wanaume kwa sababu ya vyeo na Mali.
Kama unaona kuwa huna uwezo Wa kumbadilisha kabisa plz move on Dada.
 
Kama utakubali nije inbox ntakushauri kitu.
 
Nyumba Ni kubwa kapewa ila yy kachukua chumba kimoj ndio kawek kitanda na tv Basi Hana vyombo vya kuweka
Pole sana, jiangalie Afya yako kwanza, kisha achana naye fuata taratibu zote lakini ili atunze wanaye, pia huo mshahara wako tumia na watoto wako,
 
Dada usifanye chochote wala usipambane naye wewe endelea na maisha yako na watoto, endelea kujenga; endelea kusomesha watoto. Ukiweza kusamehe samehe kama huwezi ishi maisha yako mwenyewe alivyo anaonekana hata kusumbua ukimsusa. Usipambane naye angalia watoto ila isifanye naye mapenzi tena lakini akija nyumbani mpikie kama mgeni wako ale aende kwa wakezee. Kama huwezi samehe mwenendelee. Ila kupambana naye ni mwiko mtauana mie nakwambie mwache tuu uendelee na maisha yako na yeye aendelee na threesome yake. POLE yalinikuta kama wewe nikakaa kimya.
Pole nawe hizi ndoa Mungu atusaidie kwakweli, tutaogopa ndoa sasa
 
hujaelewa yaani anasema nyumba kubwa lakini yeye anaishi chumba kimoja ndani ya nyumba aliyopewa sijui ya kampuni au serikali hapo hatujui.
Tatizo watu hawasomi na kuelewa wanapenda ku comment tu bila kuelewa
 
Tatizo watu hawasomi na kuelewa wanapenda ku comment tu bila kuelewa
wana soma haraka...kwasababu hawatatungiwa mtihani...na hakuna mtu wa kuwawajibisha kwa kutokuelewa...
 
Back
Top Bottom