Nataka kutoka kwenye hii aibu

Nataka kutoka kwenye hii aibu

Mito una watoto?
My 4yrs boy akiletewa kitu anasema mpaka kwa rafiki yake baba kaninunulia kitu fulani

Hii inajenga akili ya mtoto kujali familia yake huko ukubwani,
Kama haoni hayo ndiyo matokeo ya mahusiano mengi ya leo
Yes, tena 4, mkubwa form three

Anyway labda ni vile siaminigi kwenye kuachana
 
Wanajamvi Niko njia panda naomben angalau ushauri utakaonisaidia kwenye wakati huu mgumu naopitia .Nimeolewa na mumewangu tena kwa ndoa ya kanisani Mika 15 iliyopita tuna watoto watatu mumewangu Ni mtu mwenye cheo kizur tu mm mshahara wangu Ni wa kawaida . Tatizo lilianza yeye likija suala la kujenga hataki nikajitoa mhanga nikachukua mkopo nikajenga ila nyumba haijaisha ,baada ya hap hakuongezea hat tofali hap nasubiri mkopo wangu uishe baada ya miak3,.Hela ya kula yenyew Ni mbinde yy kazi yuko mkoa jiran tu na kila baada ya wik mbili anakuja nyumbn .Juzi nikasema ngoja nimfanyie ziara ya kustukiza nikaingia saa 3 usik nagonga mlango anakuj kufunga mlango mwanamke naingia ndani maan Ni chumba kimoj nakuta mwanamke mwingine kitandan inamaan anasex nao wote wawili wale wanawake wakakimbia katik kukurupushana pale namuuliza sawa umeamua kufany ushenzi huu je condom ambazo ungetumia ziko wapi anatoa macho huwezi kuamin hakua hata na condom moja ndani kwake,. Ndio nikatoka pale nikaanza kumhoj hoseboy wake kwa upendo aliyonieleza nimetamn nijiue tu ,kila siku lazima alale na mwanamke na yule wa Jana sio wa leo .Kuna ndugu yake walikua wanaishi nae nyumb moja ila baadae aliham akaenda kupanga kwake nikamweleza niliyoyakuta alichonjib bora umeshuhudia maan Ni ngumu kukwambia yaliyokua yanaendelea ila jamaa anayoyafanya kwa cheo chake Ni aibu Swali hizo nguvu anatoag wap wakat kaz zake Ni nzito sana anarudigi amechoka mnoo .Hap nilipo nimebakia sijui nichukue uamuzi gani Niko shocked!!!najua kila ntachoamua Sasa sio sahihi mwenyew wala haonyesh kujut ,kupima ntaenda ila ngoja nipate ujasiri . Ninahasira nae ameniharibia maisha yngu MO
Pole dadake,,,,,,,,,

Kwanza mume sio msahafu au bibilia useme huwezi kumbadili

Kapime na uachane naye kabisa malizia nyumba uhamie na wanao huyo mfyekelee mbali atakuua kwa magonjwa huyo hawezi kuwa tena mwanaume hilo ni "gumegume" huyo hatakati hata kwa sabuni gani......achana nae
 
Mungu aliona sio vyema Adam akawa pekeyake akamuumba EVA ili awemsaidizi wake. Lakini kutokana na mabadiliko ya maisha sasa adamu anaishi Arusha na Eva dar es salaam. Mwenyezi mungu hakuwa mpumbafu kutuweka pamoja sasa kwa yatakayotukuta tutumie pesa zetu zinazotuweka bize kutatua matatizo haya.. Wewe mmeo anakuacha week zima kwa karne mbaya kama hii unategemea mini? It's over hakuna kuachana huyo ni mmewako sio kosa lake nendeni mkacheki muanze maisha mapya OVER!
 
Ova
 
Hata kama sababu ji umbali ndo aingize ndani tena wanawake wawili at once na kila siku abadilishe?? Angekua na mmoja ningeelewa
 
Woiiiii!! Bora nikalime kama mambo yenyewe ndio haya.

Wanayoyafanya waume za watu wengi ni aibu.
 
Whaaat!!
Hajarogwa. Amepata pesa. Na hizo sasa ndo tabia zake halisi, zile alizokuonyesha wakati mnaanza kazi aliziazima. Usijidhuru, usiweke hasira mbele, bali umzidishie upendo. Kumbuka uliapa kumpenda katika magonjwa na afya, katika raha na shida....muda wa kuishi kiapo ndio sasa
 
Hao wanaoruhusiwa kuoa wanne tu wanayoyafanya ni fedheha, tabia mbaya ya mtu haibadilishwi kwa kuoa wanawake wengi.
Ndoa ya mke mmoja ni utapeli. Mnajifanya kuonekana machoni ni mke mmoja kumbe pembeni wake kibao. Ndoa za kanisani ni udanganyifu mkubwa..
 
Hao wanaoruhusiwa kuoa wanne tu wanayoyafanya ni fedheha, tabia mbaya ya mtu haibadilishwi kwa kuoa wanawake wengi.
Acha kujifariji. Wanayafa yepi? Mungu wao ameweka flexibility wa mke mmoja ameweka ulazima. Yaani Mungu anatoa adhabu kwa kukulazimisha uishi na mke hata kama mmeshindwana. Mungu wa hivyo hayupo!
 
Samehe Saba Mara Sabini
Kumbuka
Maisha Ni Mazito
 
Duuh polee sanaa, kama hukuwahi kumkosea kabla basi alianza kujenga hobby mpya taratibu na ndo hapo akalowea kwa michepuko.

Uko sahihi, usichukue maamuzi sasa hivi, subiri mwaka uishe kula sikukuu na wanao kama hakuna kitu kilichotokea. Mwakani walau tarehe za kati mwezi wa kwanza kwanza umuone mshauri nasaha wa afya akushauri kabla ya kufanya vipimo vyovyote vile kisha baada ya majibu tulia anza kuishi maisha yako mapya. Akili yako yote weka kwa wanao malizia nyumba fanya kazi kwa bidii jipende.

Mbona kina Kasie tunaishi bila kutegememea mtu na maisha yanasonga.
vipi ukihitaji dyudyu nani anakupa?
 
Back
Top Bottom