Hahah ni zombie etiEmbu kapime kwanza ,ndo urudi.
Maana Huyo sio Binadam wa kawaida.
Dada usifanye chochote wala usipambane naye wewe endelea na maisha yako na watoto, endelea kujenga; endelea kusomesha watoto. Ukiweza kusamehe samehe kama huwezi ishi maisha yako mwenyewe alivyo anaonekana hata kusumbua ukimsusa. Usipambane naye angalia watoto ila isifanye naye mapenzi tena lakini akija nyumbani mpikie kama mgeni wako ale aende kwa wakezee. Kama huwezi samehe mwenendelee. Ila kupambana naye ni mwiko mtauana mie nakwambie mwache tuu uendelee na maisha yako na yeye aendelee na threesome yake. POLE yalinikuta kama wewe nikakaa kimya.Wanajamvi Niko njia panda naomben angalau ushauri utakaonisaidia kwenye wakati huu mgumu naopitia .Nimeolewa na mumewangu tena kwa ndoa ya kanisani Mika 15 iliyopita tuna watoto watatu mumewangu Ni mtu mwenye cheo kizur tu mm mshahara wangu Ni wa kawaida . Tatizo lilianza yeye likija suala la kujenga hataki nikajitoa mhanga nikachukua mkopo nikajenga ila nyumba haijaisha ,baada ya hap hakuongezea hat tofali hap nasubiri mkopo wangu uishe baada ya miak3,.Hela ya kula yenyew Ni mbinde yy kazi yuko mkoa jiran tu na kila baada ya wik mbili anakuja nyumbn .Juzi nikasema ngoja nimfanyie ziara ya kustukiza nikaingia saa 3 usik nagonga mlango anakuj kufunga mlango mwanamke naingia ndani maan Ni chumba kimoj nakuta mwanamke mwingine kitandan inamaan anasex nao wote wawili wale wanawake wakakimbia katik kukurupushana pale namuuliza sawa umeamua kufany ushenzi huu je condom ambazo ungetumia ziko wapi anatoa macho huwezi kuamin hakua hata na condom moja ndani kwake,. Ndio nikatoka pale nikaanza kumhoj hoseboy wake kwa upendo aliyonieleza nimetamn nijiue tu ,kila siku lazima alale na mwanamke na yule wa Jana sio wa leo .Kuna ndugu yake walikua wanaishi nae nyumb moja ila baadae aliham akaenda kupanga kwake nikamweleza niliyoyakuta alichonjib bora umeshuhudia maan Ni ngumu kukwambia yaliyokua yanaendelea ila jamaa anayoyafanya kwa cheo chake Ni aibu Swali hizo nguvu anatoag wap wakat kaz zake Ni nzito sana anarudigi amechoka mnoo .Hap nilipo nimebakia sijui nichukue uamuzi gani Niko shocked!!!najua kila ntachoamua Sasa sio sahihi mwenyew wala haonyesh kujut ,kupima ntaenda ila ngoja nipate ujasiri . Ninahasira nae ameniharibia maisha yngu MO
Acha kujifariji. Wanayafa yepi? Mungu wao ameweka flexibility wa mke mmoja ameweka ulazima. Yaani Mungu anatoa adhabu kwa kukulazimisha uishi na mke hata kama mmeshindwana. Mungu wa hivyo hayupo!
Najifariji. Mungu wangu hana ukandamizaji wa kumkandamiza mtu aishi na mke hata kama wameshindwa kuelewana.Wewe sasa ndio unajifariji.
Achana na huyo Mama Kasie Hajatulia..Bibie hizi ni changamoto tu za ndoa
Sio kwa sababu limetokea hili bas ndoa zitaacha kufungwa hapana watu wanafunga ndoa kila jumamosi
Rejea andiko la biblia ya kwamba ndoa na iheshimiwe na watu wote unless otherwise uwe mtoto wa nje ya ndoa.
hujaelewa yaani anasema nyumba kubwa lakini yeye anaishi chumba kimoja ndani ya nyumba aliyopewa sijui ya kampuni au serikali hapo hatujui.Hujamuelewa,amesema chumbakimoja akimaanisha wanawake wote 2 wamo ndani ya chumba kimoja.We jamaa bawewe chumba kimoja atakuwaje na house boy na pia mwanzo alikuwa akikaa na ndugu yake mpaka akahamia kwake.Soma vizuri
Ndo maana nawambia usiseme mme wangu au mke wangu sema...........ovaWoiiiii!! Bora nikalime kama mambo yenyewe ndio haya.
Wanayoyafanya waume za watu wengi ni aibu.
Ndo maana nawambia usiseme mme wangu au mke wangu sema...........ova
beb nikiwa kwenye ardhi nitakumia....Sasa mume wetu pesa mbona hutumi?
Aki tena atakua zombie etHahah ni zombie eti
Tatizo dogo nipe nafasi nikuliwaze
beb nikiwa kwenye ardhi nitakumia....
JuuKwahiyo uko angani?
umesahau ile namba ya vocha ni ya juuKwahiyo uko angani?
Wanajamvi Niko njia panda naomben angalau ushauri utakaonisaidia kwenye wakati huu mgumu naopitia .Nimeolewa na mumewangu tena kwa ndoa ya kanisani Mika 15 iliyopita tuna watoto watatu mumewangu Ni mtu mwenye cheo kizur tu mm mshahara wangu Ni wa kawaida . Tatizo lilianza yeye likija suala la kujenga hataki nikajitoa mhanga nikachukua mkopo nikajenga ila nyumba haijaisha ,baada ya hap hakuongezea hat tofali hap nasubiri mkopo wangu uishe baada ya miak3,.Hela ya kula yenyew Ni mbinde yy kazi yuko mkoa jiran tu na kila baada ya wik mbili anakuja nyumbn .Juzi nikasema ngoja nimfanyie ziara ya kustukiza nikaingia saa 3 usik nagonga mlango anakuj kufunga mlango mwanamke naingia ndani maan Ni chumba kimoj nakuta mwanamke mwingine kitandan inamaan anasex nao wote wawili wale wanawake wakakimbia katik kukurupushana pale namuuliza sawa umeamua kufany ushenzi huu je condom ambazo ungetumia ziko wapi anatoa macho huwezi kuamin hakua hata na condom moja ndani kwake,. Ndio nikatoka pale nikaanza kumhoj hoseboy wake kwa upendo aliyonieleza nimetamn nijiue tu ,kila siku lazima alale na mwanamke na yule wa Jana sio wa leo .Kuna ndugu yake walikua wanaishi nae nyumb moja ila baadae aliham akaenda kupanga kwake nikamweleza niliyoyakuta alichonjib bora umeshuhudia maan Ni ngumu kukwambia yaliyokua yanaendelea ila jamaa anayoyafanya kwa cheo chake Ni aibu Swali hizo nguvu anatoag wap wakat kaz zake Ni nzito sana anarudigi amechoka mnoo .Hap nilipo nimebakia sijui nichukue uamuzi gani Niko shocked!!!najua kila ntachoamua Sasa sio sahihi mwenyew wala haonyesh kujut ,kupima ntaenda ila ngoja nipate ujasiri . Ninahasira nae ameniharibia maisha yngu MO