Nataka kutoka kwenye hii aibu

Nataka kutoka kwenye hii aibu

Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu
Jawabu la ulimi linatoka kwa Bwana
 
Ukikubal kuachana inamaanisha utakubal kugawa ushindi apo inabd uje na plan B
Matatzo kama hayo nimesha solve sana, kama upo tayar sema niyashushe apa apa
 
Ndoa ya mke mmoja ni utapeli. Mnajifanya kuonekana machoni ni mke mmoja kumbe pembeni wake kibao. Ndoa za kanisani ni udanganyifu mkubwa..


Kwahiyo ikiwa ni ndoa ya mke mmoja ndo unalala na wanawake wawili kwa wakati mmoja huu ni upumbavu kabisa.
 
Wanajamvi Niko njia panda naomben angalau ushauri utakaonisaidia kwenye wakati huu mgumu naopitia.

Nimeolewa na mumewangu tena kwa ndoa ya kanisani Miaka 15 iliyopita tuna watoto watatu

Mume wangu ni mtu mwenye cheo kizuri tu mimi mshahara wangu ni wa kawaida.

Tatizo lilianza yeye likija suala la kujenga hataki nikajitoa mhanga nikachukua mkopo nikajenga ila nyumba haijaisha, baada ya hapo hakuongezea hata tofali hapa nasubiri mkopo wangu uishe baada ya miaka 3.

Hela ya kula yenyewe ni mbinde yeye kazi yuko mkoa jirani tu na kila baada ya wiki mbili anakuja nyumbani.

Juzi nikasema ngoja nimfanyie ziara ya kustukiza nikaingia saa 3 usik nagonga mlango anakuja kufunga mlango mwanamke
Naingia ndani ambako ni chumba kimoja nakuta mwanamke mwingine kitandan yaani anasex nao wote wawili wale wanawake wakakimbia

Katika kukurupushana pale namuuliza sawa umeamua kufanya ushenzi huu je, condom ambazo ungetumia ziko wapi anatoa macho, huwezi kuamin hakua hata na condom moja ndani kwake,.

Ndio nikatoka pale nikaanza kumhoj hoseboy wake kwa upendo aliyonieleza nimetamn nijiue tu ,kila siku lazima alale na mwanamke na yule wa Jana sio wa leo.

Kuna ndugu yake walikua wanaishi nae nyumb moja ila baadae aliham akaenda kupanga kwake nikamweleza niliyoyakuta alichonjib bora umeshuhudia maana ni ngumu kukwambia yaliyokua yanaendelea ila jamaa anayoyafanya kwa cheo chake ni aibu Swali hizo nguvu anatoaga wapi wakat kazi zake ni nzito sana anarudigi amechoka mnoo.

Hapa nilipo nimebakia sijui nichukue uamuzi gani Niko shocked!!!najua kila nitachoamua Sasa sio sahihi mwenyewe wala haonyeshi kujuta na kupima nitaenda ila ngoja nipate ujasiri .

Nina hasira nae ameniharibia maisha yngu MO
Swali sio sijui ufanye nini, muhimu kabisa ni yeye kwanza analichukuliaje tukio hilo.
 
Safari za kustukiza hazijawahi kuwa nzuri hasa kwa wanandoa.

Binafsi_apo_Mume_Huna


Tuliza kichwa Chukua Hatua na wakati ni sasa.
 
Hata wangu nilimuacha kwa tabia kama hizo,heri maumivu ya siku chache kuliko ya kudumu.
 
Mwenye wake wawili haina maana kuwa analala nao kitanda kimoja kwa mpigo. Soma biblia Mwanzo 29:16-29 utaelewa kwamba ukiwa na wake wawili kila mtu anakuwa na zamu yake. Sima maandiko hayo uingeze elimu.
 
Huo usiku alipanga kulala na wanawake watatu, wewe ulipogonga mlango alijua ndio huyo wa tatu amefika. Pole sana.
 
Wanajamvi Niko njia panda naomben angalau ushauri utakaonisaidia kwenye wakati huu mgumu naopitia.

Nimeolewa na mumewangu tena kwa ndoa ya kanisani Miaka 15 iliyopita tuna watoto watatu

Mume wangu ni mtu mwenye cheo kizuri tu mimi mshahara wangu ni wa kawaida.

Tatizo lilianza yeye likija suala la kujenga hataki nikajitoa mhanga nikachukua mkopo nikajenga ila nyumba haijaisha, baada ya hapo hakuongezea hata tofali hapa nasubiri mkopo wangu uishe baada ya miaka 3.

Hela ya kula yenyewe ni mbinde yeye kazi yuko mkoa jirani tu na kila baada ya wiki mbili anakuja nyumbani.

Juzi nikasema ngoja nimfanyie ziara ya kustukiza nikaingia saa 3 usik nagonga mlango anakuja kufunga mlango mwanamke
Naingia ndani ambako ni chumba kimoja nakuta mwanamke mwingine kitandan yaani anasex nao wote wawili wale wanawake wakakimbia

Katika kukurupushana pale namuuliza sawa umeamua kufanya ushenzi huu je, condom ambazo ungetumia ziko wapi anatoa macho, huwezi kuamin hakua hata na condom moja ndani kwake,.

Ndio nikatoka pale nikaanza kumhoj hoseboy wake kwa upendo aliyonieleza nimetamn nijiue tu ,kila siku lazima alale na mwanamke na yule wa Jana sio wa leo.

Kuna ndugu yake walikua wanaishi nae nyumb moja ila baadae aliham akaenda kupanga kwake nikamweleza niliyoyakuta alichonjib bora umeshuhudia maana ni ngumu kukwambia yaliyokua yanaendelea ila jamaa anayoyafanya kwa cheo chake ni aibu Swali hizo nguvu anatoaga wapi wakat kazi zake ni nzito sana anarudigi amechoka mnoo.

Hapa nilipo nimebakia sijui nichukue uamuzi gani Niko shocked!!!najua kila nitachoamua Sasa sio sahihi mwenyewe wala haonyeshi kujuta na kupima nitaenda ila ngoja nipate ujasiri .

Nina hasira nae ameniharibia maisha yngu MO
Huu ni msalaba wako inabidi uubebe mpaka goligota......!!
 
Back
Top Bottom