Nataka kutoka kwenye hii aibu

Nataka kutoka kwenye hii aibu

sherida

Senior Member
Joined
Feb 15, 2017
Posts
133
Reaction score
194
Wanajamvi Niko njia panda naomben angalau ushauri utakaonisaidia kwenye wakati huu mgumu naopitia.

Nimeolewa na mumewangu tena kwa ndoa ya kanisani Miaka 15 iliyopita tuna watoto watatu

Mume wangu ni mtu mwenye cheo kizuri tu mimi mshahara wangu ni wa kawaida.

Tatizo lilianza yeye likija suala la kujenga hataki nikajitoa mhanga nikachukua mkopo nikajenga ila nyumba haijaisha, baada ya hapo hakuongezea hata tofali hapa nasubiri mkopo wangu uishe baada ya miaka 3.

Hela ya kula yenyewe ni mbinde yeye kazi yuko mkoa jirani tu na kila baada ya wiki mbili anakuja nyumbani.

Juzi nikasema ngoja nimfanyie ziara ya kustukiza nikaingia saa 3 usik nagonga mlango anakuja kufunga mlango mwanamke
Naingia ndani ambako ni chumba kimoja nakuta mwanamke mwingine kitandan yaani anasex nao wote wawili wale wanawake wakakimbia

Katika kukurupushana pale namuuliza sawa umeamua kufanya ushenzi huu je, condom ambazo ungetumia ziko wapi anatoa macho, huwezi kuamin hakua hata na condom moja ndani kwake,.

Ndio nikatoka pale nikaanza kumhoj hoseboy wake kwa upendo aliyonieleza nimetamn nijiue tu ,kila siku lazima alale na mwanamke na yule wa Jana sio wa leo.

Kuna ndugu yake walikua wanaishi nae nyumb moja ila baadae aliham akaenda kupanga kwake nikamweleza niliyoyakuta alichonjib bora umeshuhudia maana ni ngumu kukwambia yaliyokua yanaendelea ila jamaa anayoyafanya kwa cheo chake ni aibu Swali hizo nguvu anatoaga wapi wakat kazi zake ni nzito sana anarudigi amechoka mnoo.

Hapa nilipo nimebakia sijui nichukue uamuzi gani Niko shocked!!!najua kila nitachoamua Sasa sio sahihi mwenyewe wala haonyeshi kujuta na kupima nitaenda ila ngoja nipate ujasiri .

Nina hasira nae ameniharibia maisha yngu MO
 
Achana nae huyo hana maana kwako,kapime pia wapime na watoto wenu,nakuombea kwa Mungu uwe salama na Mungu akulinde wewe na wanao,

Pole sana Dada,Mungu ameamua kukuonyesha kwa macho yako na hiyo ni dalili kua Mungu ameamua kukuepusha na huyo mume asiyejua thamani ya ndoa wala thamani ya afya yake!

Good luck.
 
Duuh polee sanaa, kama hukuwahi kumkosea kabla basi alianza kujenga hobby mpya taratibu na ndo hapo akalowea kwa michepuko.

Uko sahihi, usichukue maamuzi sasa hivi, subiri mwaka uishe kula sikukuu na wanao kama hakuna kitu kilichotokea. Mwakani walau tarehe za kati mwezi wa kwanza kwanza umuone mshauri nasaha wa afya akushauri kabla ya kufanya vipimo vyovyote vile kisha baada ya majibu tulia anza kuishi maisha yako mapya. Akili yako yote weka kwa wanao malizia nyumba fanya kazi kwa bidii jipende.

Mbona kina Kasie tunaishi bila kutegememea mtu na maisha yanasonga.
 
Je kama Mimi Nina kasoro si angekua na huyo mmoja anae mridhisha Sasa mtu mpk analala na wanawake wawili kwa wakati mmoja mm ndio Tatizo au yeye ndie tatizo
 
Hajarogwa. Amepata pesa. Na hizo sasa ndo tabia zake halisi, zile alizokuonyesha wakati mnaanza kazi aliziazima. Usijidhuru, usiweke hasira mbele, bali umzidishie upendo. Kumbuka uliapa kumpenda katika magonjwa na afya, katika raha na shida....muda wa kuishi kiapo ndio sasa
 
Wanajamvi Niko njia panda naomben angalau ushauri utakaonisaidia kwenye wakati huu mgumu naopitia .Nimeolewa na mumewangu tena kwa ndoa ya kanisani Mika 15 iliyopita tuna watoto watatu mumewangu Ni mtu mwenye cheo kizur tu mm mshahara wangu Ni wa kawaida . Tatizo lilianza yeye likija suala la kujenga hataki nikajitoa mhanga nikachukua mkopo nikajenga ila nyumba haijaisha ,baada ya hap hakuongezea hat tofali hap nasubiri mkopo wangu uishe baada ya miak3,.Hela ya kula yenyew Ni mbinde yy kazi yuko mkoa jiran tu na kila baada ya wik mbili anakuja nyumbn .Juzi nikasema ngoja nimfanyie ziara ya kustukiza nikaingia saa 3 usik nagonga mlango anakuj kufunga mlango mwanamke naingia ndani maan Ni chumba kimoj nakuta mwanamke mwingine kitandan inamaan anasex nao wote wawili wale wanawake wakakimbia katik kukurupushana pale namuuliza sawa umeamua kufany ushenzi huu je condom ambazo ungetumia ziko wapi anatoa macho huwezi kuamin hakua hata na condom moja ndani kwake,. Ndio nikatoka pale nikaanza kumhoj hoseboy wake kwa upendo aliyonieleza nimetamn nijiue tu ,kila siku lazima alale na mwanamke na yule wa Jana sio wa leo .Kuna ndugu yake walikua wanaishi nae nyumb moja ila baadae aliham akaenda kupanga kwake nikamweleza niliyoyakuta alichonjib bora umeshuhudia maan Ni ngumu kukwambia yaliyokua yanaendelea ila jamaa anayoyafanya kwa cheo chake Ni aibu Swali hizo nguvu anatoag wap wakat kaz zake Ni nzito sana anarudigi amechoka mnoo .Hap nilipo nimebakia sijui nichukue uamuzi gani Niko shocked!!!najua kila ntachoamua Sasa sio sahihi mwenyew wala haonyesh kujut ,kupima ntaenda ila ngoja nipate ujasiri . Ninahasira nae ameniharibia maisha yngu MO
Ndoa ya mke mmoja ni utapeli. Mnajifanya kuonekana machoni ni mke mmoja kumbe pembeni wake kibao. Ndoa za kanisani ni udanganyifu mkubwa..
 
Pole sana kwa mkasa huu. Sipndi kushauri wstu wavunje ndoa zao. Lakini kwa tabia anayoifanya huyo bwana ni bora kila mtu ashike dhamana ya afya, uhai, maisha na hatima yake.
 
But usiwe na hofu ya hiivyo
Kwani hapo ulipo unahisi dalili zozote za kuwa umeumia ...
Kwa sababu kuna dalili zikijitokeza ujue tayari...

anyway nakuomba usichukue maamuzi ya aina yoyote yale
 
Ndoa ya mke mmoja ni utapeli. Mnajifanya kuonekana machoni ni mke mmoja kumbe pembeni wake kibao. Ndoa za kanisani ni udanganyifu mkubwa..
Na kile kipengere cha kisema akioa/kuolewa basi tena hakuna kutengana
 
Mi huwa sipendi kuwashauri walio kwenye ndoa sababu unaweza mshauri mtu leo kesho ukawakuta wapo kwa Bakhresa wanakula ice cream na huku wanacheka kwa furaha. Lakini mi nadhani nenda kwa wazazi wenu msulihishane.
 
Na kile kipengere cha kisema akioa/kuolewa basi tena hakuna kutengana
Nacho ni ujinga! Mungu hawezi kuwwka masharti magumu kihivyo. Mungu gani anakupa adhabu ya kuoa au kuolewa......
Yaani mwanamke akukusumbua uendelee kuwa naye kisa nini? Lo! Piga chini.......!
 
Hajarogwa. Amepata pesa. Na hizo sasa ndo tabia zake halisi, zile alizokuonyesha wakati mnaanza kazi aliziazima. Usijidhuru, usiweke hasira mbele, bali umzidishie upendo. Kumbuka uliapa kumpenda katika magonjwa na afya, katika raha na shida....muda wa kuishi kiapo ndio sasa
Si kuapa kweny uzinzi
 
Back
Top Bottom