Nataka kutoka kwenye hii aibu

Nataka kutoka kwenye hii aibu

Nyumba Ni kubwa kapewa ila yy kachukua chumba kimoj ndio kawek kitanda na tv Basi Hana vyombo vya kuweka
Tatizo ni usiri. Ulipoanza kununua kiwanja na kujenga bila kumshirikisha ndipo ulipokosea,mawasiliano ni nguzo kubwa sana katika mahusiano. Panapotokea pakalegalega hapa basi ndoa ikipona ni kwa kudra Mungu.
Pengine kwa mawazo yake anadhani kuna mtu anakusaidia kujenga hiyo nyumba.
 
Nakushauri angalia namna ya kufanya maisha yako, tazama maisha yako kwa mtazamo wa kwako sio wenu, maana ameshaonesha kuwa hajali kuhusu future yenu.
Hapana mkuu....kwa mtazamo wa watoto
 
Aaah mtu unakufa na stress mwenzio anadunda tu!

Give him a space inshort hakuhitaji
 
Dada vumilia tu kwa ajili ya wanao, mkiachana watoto wataathirika kisaikolojia, sema chukua tahadhari kwa ajili ya afya yako, akija mpe kwa condom
Unadhani huyo jamaa atakubali kula kwenye plastic siku zote tena mkewe???mmmh hapana waachane tuu achukulie huyo bwana amekufa aishi kwa amani
 
Uyo jamaa namfaham sana japo kuna sehem umeandika kwa codes ila kwa cc wajuvi wa mambo nimeshamjua na huu mkoa aliapo ukimwi umetamalaki kama mbigiri, na hao mademu kuna boda boda ndie anaemletea, kiujumla mumeo ajarogwa ni limbukeni flani hivi mwenye cheo, cc wakazi wa hpa ckuzote tunajua hana mke sbbu uzinzi anaoufanya ni wa kiwango cha akina Stomey Daniel
Duuh hatarii
 
Hapana mkuu....kwa mtazamo wa watoto
Kwa mtazamo wake inamaanisha pia na watoto wake, sidhani kama anaweza fanya maamuzi akaacha watoto wake.

Tukizingatia kufanya maamuzi kwa ajili ya kuwa kuna watoto inamaanisha kuwa anatakiwa asamehe na waendelee kuishi pamoja kwa ajili ya malezi je watoto wanapata malezi gani kutoka kwa baba endapo ndio huyo?

Baba hajali kuwa kuna watoto wanaohitaji kuwa na malezi bora ya wazazi wawili.

Huwa nawatania kina mama ukiwa na mtoto ni sawa na begi kwa mwanafunzi, hata akitaka kutoroka lazima atangulize begi.

Wanasema kuwa za kuambiwa changanya na zako.
 
Bila kupepesa macho wala kupindisha maneno anza kumtoa moyoni kidogo kidogo,ushirika wenu ubaki kulea watoto HAKUFAI.
Inasikitisha sana. Jamani hizi ndoa ndio ziko hivi humo ndani ya kuta nne na milango iliyofungwa?!? Inahuzunisha sana.
 
Wanajamvi Niko njia panda naomben angalau ushauri utakaonisaidia kwenye wakati huu mgumu naopitia .Nimeolewa na mumewangu tena kwa ndoa ya kanisani Mika 15 iliyopita tuna watoto watatu mumewangu Ni mtu mwenye cheo kizur tu mm mshahara wangu Ni wa kawaida . Tatizo lilianza yeye likija suala la kujenga hataki nikajitoa mhanga nikachukua mkopo nikajenga ila nyumba haijaisha ,baada ya hap hakuongezea hat tofali hap nasubiri mkopo wangu uishe baada ya miak3,.Hela ya kula yenyew Ni mbinde yy kazi yuko mkoa jiran tu na kila baada ya wik mbili anakuja nyumbn .Juzi nikasema ngoja nimfanyie ziara ya kustukiza nikaingia saa 3 usik nagonga mlango anakuj kufunga mlango mwanamke naingia ndani maan Ni chumba kimoj nakuta mwanamke mwingine kitandan inamaan anasex nao wote wawili wale wanawake wakakimbia katik kukurupushana pale namuuliza sawa umeamua kufany ushenzi huu je condom ambazo ungetumia ziko wapi anatoa macho huwezi kuamin hakua hata na condom moja ndani kwake,. Ndio nikatoka pale nikaanza kumhoj hoseboy wake kwa upendo aliyonieleza nimetamn nijiue tu ,kila siku lazima alale na mwanamke na yule wa Jana sio wa leo .Kuna ndugu yake walikua wanaishi nae nyumb moja ila baadae aliham akaenda kupanga kwake nikamweleza niliyoyakuta alichonjib bora umeshuhudia maan Ni ngumu kukwambia yaliyokua yanaendelea ila jamaa anayoyafanya kwa cheo chake Ni aibu Swali hizo nguvu anatoag wap wakat kaz zake Ni nzito sana anarudigi amechoka mnoo .Hap nilipo nimebakia sijui nichukue uamuzi gani Niko shocked!!!najua kila ntachoamua Sasa sio sahihi mwenyew wala haonyesh kujut ,kupima ntaenda ila ngoja nipate ujasiri . Ninahasira nae ameniharibia maisha yngu MO
Dunia simama ushuke maana sio kwa mwwndo huo
 
Inasikitisha sana. Jamani hizi ndoa ndio ziko hivi humo ndani ya kuta nne na milango iliyofungwa?!? Inahuzunisha sana.
Usihofu, hizi ni cases chache sana
 
Sijajenga kwa Siri anajua kila kitu
Dada vumilia tu kwa ajili ya wanao, mkiachana watoto wataathirika kisaikolojia, sema chukua tahadhari kwa ajili ya afya yako, akija mpe kwa condom
Tatizo ni usiri. Ulipoanza kununua kiwanja na kujenga bila kumshirikisha ndipo ulipokosea,mawasiliano ni nguzo kubwa sana katika mahusiano. Panapotokea pakalegalega hapa basi ndoa ikipona ni kwa kudra Mungu.
Pengine kwa mawazo yake anadhani kuna mtu anakusaidia kujenga hiyo nyumba.
 
Unadhani huyo jamaa atakubali kula kwenye plastic siku zote tena mkewe???mmmh hapana waachane tuu achukulie huyo bwana amekufa aishi kwa amani
Si wanadiscuss wanakubaliana, halafu navojua mwanaume wa hivo hana mzuka tena na mkewe, sana sana atapunguza frequency za kumla
 
Unafanya kazi gani? Hiyo kazi yako kweli Umeshindwa kuamia kwake kwenye Mkoa wake. Pole sana upo kwenye wakati mgumu na Mume hana mapenzi na ww

Unauliza kondom ziko wapi? Sasa kama ungezikuta kakuonesha ungechukua maamuzi gani?
 
Dada vumilia tu kwa ajili ya wanao, mkiachana watoto wataathirika kisaikolojia, sema chukua tahadhari kwa ajili ya afya yako, akija mpe kwa condom
Huyu dada aliyeomba ushauri atakuwa anavumilia nini?? Natamani ungenifafanulia kidogo. Huyu Mzee hatunzi watoto, hajihusishi na maendeleo ya familia yake, ni malaya wa kutupwa, haonyeshi upendo wa aina yoyote ile..... Risk ya Magonjwa ya kuletewa bado ipo pale pale..... Huyu mwanamke atakuwa anavumilia nini hapa bado?!?
 
Back
Top Bottom