Nataka kutoka kwenye hii aibu

Nataka kutoka kwenye hii aibu

Uyo jamaa namfaham sana japo kuna sehem umeandika kwa codes ila kwa cc wajuvi wa mambo nimeshamjua na huu mkoa aliapo ukimwi umetamalaki kama mbigiri, na hao mademu kuna boda boda ndie anaemletea, kiujumla mumeo ajarogwa ni limbukeni flani hivi mwenye cheo, cc wakazi wa hpa ckuzote tunajua hana mke sbbu uzinzi anaoufanya ni wa kiwango cha akina Stomey Daniel

Mmh sasa huyu mke si aendelee tu na maisha yake!
 
Unafanya kazi gani? Hiyo kazi yako kweli Umeshindwa kuamia kwake kwenye Mkoa wake. Pole sana upo kwenye wakati mgumu na Mume hana mapenzi na ww
Hizi ndoa ni ngumu sana. Hivi anaweza ahamie sasa baada ya kumfumania mumewe wa ndoa na wanawake wawili kitandani...... Does it make any sense???
 
Mmh sasa huyu mke si aendelee tu na maisha yake!
Mkuu sisi tunahisi jamaa ameshajiunga na Kinyerezi one, sbbu matendo anayofanya cyo kwa akili ya binadamu wa kawaida, uyo boda boda anasema jamaa order yake ni ya mtungo yani mademu wawili wawili, alafu ni kila siku na mademu wenyewe ni wauzaji
 
Dada vumilia tu kwa ajili ya wanao, mkiachana watoto wataathirika kisaikolojia, sema chukua tahadhari kwa ajili ya afya yako, akija mpe kwa condom

mito hivi watoto wanajifunza nini juu ya hawa wawili
Watu wasiokaa pamoja na obvious hawana Amani kwa Maelezo ya bibie

Je anavumilia nini? Kuharibu mtazamo wa watoto juu ya maisha ya mahusiano watakapokua?
 
Wanajamvi Niko njia panda naomben angalau ushauri utakaonisaidia kwenye wakati huu mgumu naopitia .Nimeolewa na mumewangu tena kwa ndoa ya kanisani Mika 15 iliyopita tuna watoto watatu mumewangu Ni mtu mwenye cheo kizur tu mm mshahara wangu Ni wa kawaida . Tatizo lilianza yeye likija suala la kujenga hataki nikajitoa mhanga nikachukua mkopo nikajenga ila nyumba haijaisha ,baada ya hap hakuongezea hat tofali hap nasubiri mkopo wangu uishe baada ya miak3,.Hela ya kula yenyew Ni mbinde yy kazi yuko mkoa jiran tu na kila baada ya wik mbili anakuja nyumbn .Juzi nikasema ngoja nimfanyie ziara ya kustukiza nikaingia saa 3 usik nagonga mlango anakuj kufunga mlango mwanamke naingia ndani maan Ni chumba kimoj nakuta mwanamke mwingine kitandan inamaan anasex nao wote wawili wale wanawake wakakimbia katik kukurupushana pale namuuliza sawa umeamua kufany ushenzi huu je condom ambazo ungetumia ziko wapi anatoa macho huwezi kuamin hakua hata na condom moja ndani kwake,. Ndio nikatoka pale nikaanza kumhoj hoseboy wake kwa upendo aliyonieleza nimetamn nijiue tu ,kila siku lazima alale na mwanamke na yule wa Jana sio wa leo .Kuna ndugu yake walikua wanaishi nae nyumb moja ila baadae aliham akaenda kupanga kwake nikamweleza niliyoyakuta alichonjib bora umeshuhudia maan Ni ngumu kukwambia yaliyokua yanaendelea ila jamaa anayoyafanya kwa cheo chake Ni aibu Swali hizo nguvu anatoag wap wakat kaz zake Ni nzito sana anarudigi amechoka mnoo .Hap nilipo nimebakia sijui nichukue uamuzi gani Niko shocked!!!najua kila ntachoamua Sasa sio sahihi mwenyew wala haonyesh kujut ,kupima ntaenda ila ngoja nipate ujasiri . Ninahasira nae ameniharibia maisha yngu MO
Hizi ndoa jmn,ah..yani ikifika that point .....basi tu.
Mungu akutoe nguvu uvuke na ujasiri wa kusonga mbele
 
Ndoa ya Kikristo huwa siyo ndoa pale mmoja wenu anapokuwa ametoka nje ya chuck kwa kufanya uzinzi na bahati nzuri ushahidi umeshakuwa nao wewe mwenyewe sioni cha kukufanya uumize akili ktk hili issue sasa ni afya yako wewe na wanao.

Huyo mpumbavu temana nae na umpeleke Ustawi wa Jamii awalee wanae kwa haki zote, elimu,chakula malaz etc.
 
Kabisa Kuna wakat natamn kumlipizia kisasi hat nimloge tu

Naamini kwa huu wakati uliokuwa nao kama atatokea Mwanaume kukutaka au kama kuna mwaname alikuwa anakutaka huko nyuma na ww alimkataa Naamini utaanza kumsalimia hata kumkubalia.

Kuwa makini miaka 15 kwenye ndoa ni mingi sana. Ndoa uvunjika ndani ya miaka 5
 
Huyu dada aliyeomba ushauri atakuwa anavumilia nini?? Natamani ungenifafanulia kidogo. Huyu Mzee hatunzi watoto, ni malaya wa kutupwa..... Risk ya Magonjwa ya kuletewa bado ipo pale pale..... Huyu mwanamke atakuwa anavumilia nini hapa bado?!?
Yaan ile hali ya watoto kujua tu baba na mama yao wapo na wanaishi wote ni faraja kubwa kwa watoto mkuu.
Bahati nzuri watoto hawanaga haja ya kujua nani anawalipia ada, nani amejenga nyumba, nani ananunua chakula n.k. Wao ilimradi wanapata hayo mahitaji inatosha.
Labda wazazi ndo muanze kuwaambia tofauti zenu, which is very bad

Cc Hornet
 
mito hivi watoto wanajifunza nini juu ya hawa wawili
Watu wasiokaa pamoja na obvious hawana Amani kwa Maelezo ya bibie

Je anavumilia nini? Kuharibu mtazamo wa watoto juu ya maisha ya mahusiano watakapokua?
Nimeeleza hapo juu maana yangu Hornet, ngoja nikakumention ili upasome
 
Sasa MO ameingiaje ingiaje hapo kwenye huu mkasa wako
 
Si wanadiscuss wanakubaliana, halafu navojua mwanaume wa hivo hana mzuka tena na mkewe, sana sana atapunguza frequency za kumla
Sasa si bora waachane,huoni hapo wanazidi kujipalia makaa kwasababu hakuna upendo tena ulishakufa kifo cha mande miguu juu,.
 
Yaan ile hali ya watoto kujua tu baba na mama yao wapo na wanaishi wote ni faraja kubwa kwa watoto mkuu.
Bahati nzuri watoto hawanaga haja ya kujua nani anawalipia ada, nani amejenga nyumba, nani ananunua chakula n.k. Wao ilimradi wanapata hayo mahitaji inatosha.
Labda wazazi ndo muanze kuwaambia tofauti zenu, which is very bad

Mito una watoto?
My 4yrs boy akiletewa kitu anasema mpaka kwa rafiki yake baba kaninunulia kitu fulani

Hii inajenga akili ya mtoto kujali familia yake huko ukubwani,
Kama haoni hayo ndiyo matokeo ya mahusiano mengi ya leo
 
Back
Top Bottom