Wanajamvi Niko njia panda naomben angalau ushauri utakaonisaidia kwenye wakati huu mgumu naopitia .Nimeolewa na mumewangu tena kwa ndoa ya kanisani Mika 15 iliyopita tuna watoto watatu mumewangu Ni mtu mwenye cheo kizur tu mm mshahara wangu Ni wa kawaida . Tatizo lilianza yeye likija suala la kujenga hataki nikajitoa mhanga nikachukua mkopo nikajenga ila nyumba haijaisha ,baada ya hap hakuongezea hat tofali hap nasubiri mkopo wangu uishe baada ya miak3,.Hela ya kula yenyew Ni mbinde yy kazi yuko mkoa jiran tu na kila baada ya wik mbili anakuja nyumbn .Juzi nikasema ngoja nimfanyie ziara ya kustukiza nikaingia saa 3 usik nagonga mlango anakuj kufunga mlango mwanamke naingia ndani maan Ni chumba kimoj nakuta mwanamke mwingine kitandan inamaan anasex nao wote wawili wale wanawake wakakimbia katik kukurupushana pale namuuliza sawa umeamua kufany ushenzi huu je condom ambazo ungetumia ziko wapi anatoa macho huwezi kuamin hakua hata na condom moja ndani kwake,. Ndio nikatoka pale nikaanza kumhoj hoseboy wake kwa upendo aliyonieleza nimetamn nijiue tu ,kila siku lazima alale na mwanamke na yule wa Jana sio wa leo .Kuna ndugu yake walikua wanaishi nae nyumb moja ila baadae aliham akaenda kupanga kwake nikamweleza niliyoyakuta alichonjib bora umeshuhudia maan Ni ngumu kukwambia yaliyokua yanaendelea ila jamaa anayoyafanya kwa cheo chake Ni aibu Swali hizo nguvu anatoag wap wakat kaz zake Ni nzito sana anarudigi amechoka mnoo .Hap nilipo nimebakia sijui nichukue uamuzi gani Niko shocked!!!najua kila ntachoamua Sasa sio sahihi mwenyew wala haonyesh kujut ,kupima ntaenda ila ngoja nipate ujasiri . Ninahasira nae ameniharibia maisha yngu MO