Hii inaitwa endelea ila usikamatwe! 😂
Naungana na weweNa pia biashara zote hizi anazoziona zimesimama mjini, alishawahi kujiuliza zimechoma mitaji mara ngapi mpaka kufikia break even?
Binafsi sipingi mchepuko kufunguliwa biashara sababu hatujui ni kwa namna gani anamfaa mkuu, napinga mama mjengo kukatiwa tamaa.
Nitakujibu sababu una akili (Nimependa uliposema "Mchepuko asizidi mmoja tu")Na pia biashara zote hizi anazoziona zimesimama mjini, alishawahi kujiuliza zimechoma mitaji mara ngapi mpaka kufikia break even?
Binafsi sipingi mchepuko kufunguliwa biashara sababu hatujui ni kwa namna gani anamfaa mkuu, napinga mama mjengo kukatiwa tamaa.
Maelezo mazuri Boss, wakuu wakikupa muongozo kuhusu ABCD za biashara hiyo kamilisha tu mpango kama ulivyokusudia.Nitakujibu sababu una akili (Nimependa uliposema "Mchepuko asizidi mmoja tu")
Tatizo ni moja, hao wengine sijui kama ni business analysts ila mimi nina MBA tena sio ya TZ. Nikikukuta tu unaomba mtaji nitajua kama wewe hio biashara utafanikiwa au utachoma then ufanikiwe au utachoma na kufunga mazima urudi kula mirenda.
Toka kwenye ule uzi nilisema, yule mke wangu alikua anaenda kufeli, em jiulize mtu anachoma 10m kwenye biashara ya urembo na saloon? Na hapo bado anakopa. Kilichonifanya nimfungie ni kwamba alianza kutoa hela kwenye kibanda changu cha MPesa huku akimwambia yule dogo pale asiniambie mm na eti atarudisha, mpaka mm siku nakagua ndipo nikaona discrepancies kwenye mahesabu. Hii story ya huyo mwanamke unaianzia katikati, tafuta kuna uzi nilishaweka hapa story nzima.
Kuhusu huyu mchepuko mimi nishamuona ni smart na atafika mbali kibiashara hata kama nisipomuwezesha mimi, sababu kuu ni moja anajua anachokijua na pia anajua nini asichokijua kwenye hio biashara, ukishafanikiwa kujua hayo mawili wewe hutoshindwa biashara yyt, sababu kuchoma mtaji most of the times ni sababu watu wanakomaa kufanya kitu fln kwenye hio biz ambacho hawakijui, lkn ukijua kwamba haujui kitu fln aidha utatafuta anaejua au utaachana nacho. Mfano mdg ni kuhusu maswali nlouliza hapa, yy kakiri kabisa nimtafutie hizo taarifa sababu hajui. Business ni kama vita, ukijujua wewe na adui yako umeshinda, ila upande huu ni kujua unajua nini na haujui nini.
Kufikia hatua ya mtoa mada inahitaji ujasiri sana, ila ingekuwa ameshamzalisha huyo Mchepuko wake ingekuwa ina mashiko.Naunga mkono hoja!