Nataka kumfungulia mchepuko wangu duka la bidhaa za kike (urembo) na watoto. Nipeni ushauri kuhusu bajeti na mahala sahihi hapa dar

Swali ni vipi umemsaidia baada ya kuua biashara? my bro huyo mke wako ni mwili mmoja naww unatakiwa umpambanie asonge mbele, sa wew unakimbilia kwa mchepuko kuwekeza hahahaaa da...horrible
 
Unaliumba tatizo then unakuja kutuomba ushauri tukusaidie kulijenga tatizo ili ukishapigwa utunyoshee vidole vyako vya zinaa kuwa na sisi tulikuwepo... toka pepooo!
 
Na pia biashara zote hizi anazoziona zimesimama mjini, alishawahi kujiuliza zimechoma mitaji mara ngapi mpaka kufikia break even?

Binafsi sipingi mchepuko kufunguliwa biashara sababu hatujui ni kwa namna gani anamfaa mkuu, napinga mama mjengo kukatiwa tamaa.
Naungana na wewe
 
Nitakujibu sababu una akili (Nimependa uliposema "Mchepuko asizidi mmoja tu")

Tatizo ni moja, hao wengine sijui kama ni business analysts ila mimi nina MBA tena sio ya TZ. Nikikukuta tu unaomba mtaji nitajua kama wewe hio biashara utafanikiwa au utachoma then ufanikiwe au utachoma na kufunga mazima urudi kula mirenda.

Toka kwenye ule uzi nilisema, yule mke wangu alikua anaenda kufeli, em jiulize mtu anachoma 10m kwenye biashara ya urembo na saloon? Na hapo bado anakopa. Kilichonifanya nimfungie ni kwamba alianza kutoa hela kwenye kibanda changu cha MPesa huku akimwambia yule dogo pale asiniambie mm na eti atarudisha, mpaka mm siku nakagua ndipo nikaona discrepancies kwenye mahesabu. Hii story ya huyo mwanamke unaianzia katikati, tafuta kuna uzi nilishaweka hapa story nzima.

Kuhusu huyu mchepuko mimi nishamuona ni smart na atafika mbali kibiashara hata kama nisipomuwezesha mimi, sababu kuu ni moja anajua anachokijua na pia anajua nini asichokijua kwenye hio biashara, ukishafanikiwa kujua hayo mawili wewe hutoshindwa biashara yyt, sababu kuchoma mtaji most of the times ni sababu watu wanakomaa kufanya kitu fln kwenye hio biz ambacho hawakijui, lkn ukijua kwamba haujui kitu fln aidha utatafuta anaejua au utaachana nacho. Mfano mdg ni kuhusu maswali nlouliza hapa, yy kakiri kabisa nimtafutie hizo taarifa sababu hajui. Business ni kama vita, ukijujua wewe na adui yako umeshinda, ila upande huu ni kujua unajua nini na haujui nini.
 
Maelezo mazuri Boss, wakuu wakikupa muongozo kuhusu ABCD za biashara hiyo kamilisha tu mpango kama ulivyokusudia.

Jambo langu mimi na wewe ni chonde chonde, kuna comments ya binti mmoja huko juu kuwa discuss na mkeo interest yake ndio umuwezeshe tena, fanya hivyo bila kuchoka sababu kwenye mke kuna wanao, sorry sikusoma story ya wewe na mkeo.

Kila la heri.
 
Naunga mkono hoja!
Kufikia hatua ya mtoa mada inahitaji ujasiri sana, ila ingekuwa ameshamzalisha huyo Mchepuko wake ingekuwa ina mashiko.

Lakini vinginevyo ajiandae kulia mbele ya safari
 
Back
Top Bottom