rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
Wakuu nimekuwa mstari wa mbele kuipigia Chadema debe hapa jf na popote pale napokuwa
japokuwa siipendi kabisa ccm iendelee kutawala nchi yetu,lakini napenda nipata nafasi niifahamu chadema kwa undani zaidi
isije ikawa tunawapigia debe halafu wakija kutawala wageuke wabaya kuliko ccm
tumeona mifano mingi hasa hapo jirani Zambia!
ni ombi tu wakuu,na kama nimekukera usitoe comment yoyote hapa,kumbuka hii ni demokrasia!