Nataka kuijua chadema kwa undani zaidi

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Wakuu nimekuwa mstari wa mbele kuipigia Chadema debe hapa jf na popote pale napokuwa
japokuwa siipendi kabisa ccm iendelee kutawala nchi yetu,lakini napenda nipata nafasi niifahamu chadema kwa undani zaidi
isije ikawa tunawapigia debe halafu wakija kutawala wageuke wabaya kuliko ccm
tumeona mifano mingi hasa hapo jirani Zambia!
ni ombi tu wakuu,na kama nimekukera usitoe comment yoyote hapa,kumbuka hii ni demokrasia!
 
mkuu kama umeipigia CDM debe inamaanisha na wewe ni CDM, basi anza kujiuliza kwanza km ww ni nani na kama ukipata madaraka utageuka na kuwa kama CCM au lah! bilashaka majibu yako yatakuongoza kuijua CDM unless uwe unaipigia debe kishabiki tu kufuata mkumbo na sio kutoka moyoni.

''kwa upande wangu mimi CDM means UKOMBOZI
 
Huyu ni mpenzi wa Chadema si mwanachama wa Chadema so haijui Chadema .Hapa JF hutaweza ijua Chadema nashauri uende kule Kinondoni au popote ulipo tafuta ofisi zao na chukua kadi anza kuhudhuria vikao muhimu vyote na gombea uongozi ndani ya Chadema au kuwa mtoa msaada mkubwa wa mawazo endelevu kwenye vikao vya ndani na nje hapo utaijua Chadema .
 
Wakuu nimekuwa mstari wa mbele kuipigia Chadema debe hapa jf na popote pale napokuwa
japokuwa siipendi kabisa ccm iendelee kutawala nchi yetu,lakini napenda nipata nafasi niifahamu chadema kwa undani zaidi
isije ikawa tunawapigia debe halafu wakija kutawala wageuke wabaya kuliko ccm
tumeona mifano mingi hasa hapo jirani Zambia!
ni ombi tu wakuu,na kama nimekukera usitoe comment yoyote hapa,kumbuka hii ni demokrasia!

Chadema is a conservative political party that campaigns largely on an anti-corruption platform. The name is short for Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Kwa maelezo zaidi juu ya Chadema na sera zake nzuri fungua website ya chama www.chadema.or.tz
 
Mkuu kwanza umeonyesha udhaifu mkubwa wa kukipigia debe chama ambacho hukifahamu kwa undani..."No research no right to say" sasa kama ulikuwa unapigia debe CDM bila kukijua ulikuwa uitendei haki nafsi yako,watanzania na Tanzania kwa ujumla....kuijua CDM nenda kasome katiba ya chama..na kama unaitaka utaipata kwenye website yao....

Otherwise nakushauri uache kupiga porojo usizozijua. Ni sawa na mchungaji anayemuhubiri Yesu wakati hajaonja uwepo wa Yesu maishani mwake..mtu huyu atakuwa ni mnafiki na mbaya kuliko hata mpagani...
 
Ukitaka kuijua chadema, basi tembelea web yao. na ukitaka kujua siri za chadema(kwa mfano secret chadema's THINK-TANKS, n.k), basi mfuate mwenyekiti wa chama ndie anaye jua hizo mishe.
 
Ndugu yangu uko kama tulivyo wengi humu, tumechoka na ccm tunataka mabadiliko. Kimsingi tunachotaka ni mtu wa kututoa kwenye huu mkwamo na kutupeleka kwenye matumaini.

Chadema kwa sasa imeweza kujipambanua kuwa na watu ambao wanawapa watanzania matumaini ya kufika kwenye lile ahadi.

Kweli ni vigumu kuamini kama chadema ndicho chama kitakachotufikisha pale tunapotaka, lakini cha kushangaza ni kwamba watu imetokaa kukipenda chama hiki toka ndani ya mioyo yao pasipo kushawishi. chadema haina wanachama rasimi wengi lakini inawapenzi wengi sana nikiwemo mimi hapa.
 
Hivi wewe ni great thinker kweli. Either ni genious uliyekuwa frastrated na maisha na wivu. Peleka ukabila wako mbele huko kama mnaweza kuanzisha chama chenu na majina ya kwenu Ruksa katiba yawaruhusu tuone mna sera gani.
 
Wakuu nimekuwa mstari wa mbele kuipigia Chadema debe hapa jf na popote pale napokuwa
japokuwa siipendi kabisa ccm iendelee kutawala nchi yetu,lakini napenda nipata nafasi niifahamu chadema kwa undani zaidi
isije ikawa tunawapigia debe halafu wakija kutawala wageuke wabaya kuliko ccm
tumeona mifano mingi hasa hapo jirani Zambia!
ni ombi tu wakuu,na kama nimekukera usitoe comment yoyote hapa,kumbuka hii ni demokrasia!

Chadema ni System.
 
Ndugu yangu uko kama tulivyo wengi humu, tumechoka na ccm tunataka mabadiliko. Kimsingi tunachotaka ni mtu wa kututoa kwenye huu mkwamo na kutupeleka kwenye matumaini.

Chadema kwa sasa imeweza kujipambanua kuwa na watu ambao wanawapa watanzania matumaini ya kufika kwenye lile ahadi.

Kweli ni vigumu kuamini kama chadema ndicho chama kitakachotufikisha pale tunapotaka, lakini cha kushangaza ni kwamba watu imetokaa kukipenda chama hiki toka ndani ya mioyo yao pasipo kushawishi. chadema haina wanachama rasimi wengi lakini inawapenzi wengi sana nikiwemo mimi hapa.

Mkuu nafikiri umeongea point,tuache unafiki,chadema ina wapenzi wengi kuliko wanachama,next step ni nini?
 
Watu wa aina ya mtoa thread hii wako wengi na hao ndiyo chanzo cha vurugu tunazoziona. Ni kama majeshi ya kukodiwa ambayo hayajui master wao ni nani. Haya ya Igunga na kwingineko ni matokeo ya kuwa na watu ambao ni blind. Kwa ujumla ukitaka kuijua CDM angalia yanayotokea Igunga, yaliyotokea Arusha na kwingineko
 
Back
Top Bottom