Nataka kuijua chadema kwa undani zaidi

Mkuu nafikiri umeongea point,tuache unafiki,chadema ina wapenzi wengi kuliko wanachama,next step ni nini?

Ukiwa mpenzi wa chama kwa miezi mitatu mfululizo then wewe ni mwanachama by default, kwa hiyo usiwe na wasiwasi wewe ni muumini, ni mwanachama na mpenzi mzuri wa CDM. endelea hivyo hivyo, toa michango na ukipata muda kapate kadi for your record
 
mkuu kama umeipigia CDM debe inamaanisha na wewe ni CDM, basi anza kujiuliza kwanza km ww ni nani na kama ukipata madaraka utageuka na kuwa kama CCM au lah! bilashaka majibu yako yatakuongoza kuijua CDM unless uwe unaipigia debe kishabiki tu kufuata mkumbo na sio kutoka moyoni.<br />
<br />
''kwa upande wangu mimi CDM means UKOMBOZI
<br />we mwongo.ukombozi!nani anatawaliwa na mkoloni?
<br />
 
Naomba nimsaidie huyo ndugu yangu anayepotea.ukitaka kuifahamu chadema waulize ccm baba yao. wao ndio wanajua tangu ilipozaliwa,kutambaa hadi kutembea.ukishajua utakimbia fasta.ila kama hutaki kukimbia basi usitake kuifahamu kaa hapo wakudanganye mpaka ufe!
 
mkuu kwanza kwa mimi hujanikwaza ni democrasia! ila ukitaka kujua chadema maana yake, 2lia andika kwa kirefu neno chadema utapata CHAMA AHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO!
 
Mabadiliko lazima yatokee hata mmwage sumu vipi, mpaka CDM ifeli basi watu watakuwa wameshajua nini ugonjwa wa CCM na upi wa CDM na kutambua mwelekeo gani. Tanzania ya leo yahitaji watu wafunguke tu yatosha. CDM ni chama kinachofungua watu, The Good system which can be engulfed by good and honest political will unless that disease can be multplicted.
 
Ww ni mwana cdm wa muda mrefu usiijue siku zote uje uijue leo kupitia jf? You are not serious!
 
NDG. Cdm ni mkusanyiko wa watu wasiojituma kufanya kazi.Ni chama cha vurugu na against Islam,ushahidi tamko la bakwata na basuta na vurugu za arusha na igunga.Mengine ya underkapet nitakutajia kesho,maana vijana wengi mnapelekwe kimkumbo maskini ya mungu hamjui.nakupongeza kwa kuuona ukweli.
 
Wakuu nimekuwa mstari wa mbele kuipigia Chadema debe hapa jf na popote pale napokuwa
japokuwa siipendi kabisa ccm iendelee kutawala nchi yetu,lakini napenda nipata nafasi niifahamu chadema kwa undani zaidi
isije ikawa tunawapigia debe halafu wakija kutawala wageuke wabaya kuliko ccm
tumeona mifano mingi hasa hapo jirani Zambia!
ni ombi tu wakuu,na kama nimekukera usitoe comment yoyote hapa,kumbuka hii ni demokrasia!

Nenda Moshi, Hai, na Karatu ndo utaifahamu pia uwaangalie viongozi wa ngazi za juu wanavyokiongoza CDM. Hakuna tofauti wewe usiache shughuli zako za kiuchumi kupiga debe. Kampani ya wanasiasa ni ya majobless ua wazururaji wenye kutegemea hisani toka kwao.
 
Nenda Moshi, Hai, na Karatu ndo utaifahamu pia uwaangalie viongozi wa ngazi za juu wanavyokiongoza CDM. Hakuna tofauti wewe usiache shughuli zako za kiuchumi kupiga debe. Kampani ya wanasiasa ni ya majobless ua wazururaji wenye kutegemea hisani toka kwao.

inawezekana ukawa umeridhika na maisha yako, lakini umewatelekeza waliowengi maskini hasa huko vjijini. nakupa pole pia kwa kutokujua ni kivip tutafanikisha kuileta demcocrasia nchini
 
NDG. Cdm ni mkusanyiko wa watu wasiojituma kufanya kazi.Ni chama cha vurugu na against Islam,ushahidi tamko la bakwata na basuta na vurugu za arusha na igunga.Mengine ya underkapet nitakutajia kesho,maana vijana wengi mnapelekwe kimkumbo maskini ya mungu hamjui.nakupongeza kwa kuuona ukweli.

mbona kuna kipindi waislamu wanaikataa BAKWATA? kwa jambo dogo kama hilo bakwata imekubalika lakini kwa mambo makubwa na ya msingi kwa UISILAMU, BAKWATA imekuwa ikituhumiwa kwa kutosimamia vizuri. Cdhani kama iliyopiga kelele kwa DC asiyejali matakwa ya demcrasia kuvuliwa hijabu (kama ni kweli) ni BAKWATA ya waislamu, itakuwa BAKWATA ya CCM
 
directory kama sifa ya nomino yako. in case huko kinondini au ofisi uliko hakuendeki labda traffic jam kwa saaaaana
pliiiiiiiiz waulize google au wikipedia hawa watakupa ufupisho kwa nini chadema kwenye viganja vyako
 
Back
Top Bottom