Nataka kuijua chadema kwa undani zaidi

Watu wa aina ya mtoa thread hii wako wengi na hao ndiyo chanzo cha vurugu tunazoziona. Ni kama majeshi ya kukodiwa ambayo hayajui master wao ni nani. Haya ya Igunga na kwingineko ni matokeo ya kuwa na watu ambao ni blind. Kwa ujumla ukitaka kuijua CDM angalia yanayotokea Igunga, yaliyotokea Arusha na kwingineko

wee kaa chini tulia andika tena hii comment,usifiche chochote kuwa wazi mkuu,mbona mimi nimekuwa wazi???
 
Watu wa aina ya mtoa thread hii wako wengi na hao ndiyo chanzo cha vurugu tunazoziona. Ni kama majeshi ya kukodiwa ambayo hayajui master wao ni nani. Haya ya Igunga na kwingineko ni matokeo ya kuwa na watu ambao ni blind. Kwa ujumla ukitaka kuijua CDM angalia yanayotokea Igunga, yaliyotokea Arusha na kwingineko
Mabadiliko lazima nyie Ccm na vizazi vyenu.Tutapambana hadi mwisho kwani Tanzania ni haki yetu sote.Waambie wazazi wako hata nyumba mliyouziwa Masaki muda ukifika tutachukua ni mali ya Umma then mtafsiri ni Uhuni.
 
Nafikiri mpaka sasa bwana Director1 umeshaujua uchafu ambao huwa unautetea!
 
Mkuu Rejao kumbuka sijasema Chadema ni uchafu
nimeipenda Chadema na sasa nataka niingie ndani niwajue kwa undani zaidi ikiwezekana niwe mwanachama wa kudumu
 
Mabadiliko lazima nyie Ccm na vizazi vyenu.Tutapambana hadi mwisho kwani Tanzania ni haki yetu sote.Waambie wazazi wako hata nyumba mliyouziwa Masaki muda ukifika tutachukua ni mali ya Umma then mtafsiri ni Uhuni.
Mtu kama wewe Mangi, si walewale Aiikaambeee! CDM babaangu!
 
Watoto wa Mafisadi mmesomeshwa India,Uingereza,Marekani,South Africa mmerudi na hereni,ushoga,usagaji na uteja tuu hapa ndio mnaoongea utumbo humu.Kama mabadiliko mnayaogopa kwa sababu mmekula unga mmekuwa mateja,basi tutawapatia dawa yenu tukichukua dola.kama kwa Idd Amin na Vilema.
 
Umenena, Jibu zuri sana.

Huyu ni mpenzi wa Chadema si mwanachama wa Chadema so haijui Chadema .Hapa JF hutaweza ijua Chadema nashauri uende kule Kinondoni au popote ulipo tafuta ofisi zao na chukua kadi anza kuhudhuria vikao muhimu vyote na gombea uongozi ndani ya Chadema au kuwa mtoa msaada mkubwa wa mawazo endelevu kwenye vikao vya ndani na nje hapo utaijua Chadema .
 
Mtu kama wewe Mangi, si walewale Aiikaambeee! CDM babaangu!
Wachagga wameona mbali Long Tyme sasa chama hiki kinatoa fursa kwa Tanzania mpya kila jasiri na asiye Mnafiki yupo huru kuingia CHADEMA na kuwa mstari wa mbele kupigania Ukombozi wetu sote watanzania.Nenda Kilimanjaro leo,utafananisha na sehemu gani hapa Tanzania.Almost kila kitu kipo japo kwa Kiasi.Ache fikra mgando tuunganishe nguvu tuwakomboe Watanzania wote.
 
Mkuu siwezi kuamini kwamba chadema ni wachaga peke yao,kumbuka wamekamata miji yote mikubwa ikiwemo mbeya,arusha,mwanza,moshi,shinyanga unataka kusema kote huko ni wachaga?
Wewe si unataka kuijua CDM sisi ndio tunaijua CDM tunakuambia ni chama cha Wachagga!
 
Wakuu nimekuwa mstari wa mbele kuipigia Chadema debe hapa jf na popote pale napokuwa
japokuwa siipendi kabisa ccm iendelee kutawala nchi yetu,lakini napenda nipata nafasi niifahamu chadema kwa undani zaidi
isije ikawa tunawapigia debe halafu wakija kutawala wageuke wabaya kuliko ccm
tumeona mifano mingi hasa hapo jirani Zambia!
ni ombi tu wakuu,na kama nimekukera usitoe comment yoyote hapa,kumbuka hii ni demokrasia!

wanaitwa CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO.
1. wana mpango wa kubadilisha katiba kwa kutunga inayopunguza nguvu ya raisi kiutendaji
 
Nadhani ulichokuwa unataka kukisema unaogopa japokuwa unatanguliza neno Demokrasia.Kitendo cha wewe kutoa angalizo hilo kwenye maandishi mekundu inaashiria hujakomaa kifikra,usikatae hoja zinazokinzana na wewe.Hoja hizo ndio zitakujenga na kuweza kufikiria kuwa ulichokiandia ni sahihi !?.Uwe unatoa hoja kwa kujiamini acha kukurupuka
Wakuu nimekuwa mstari wa mbele kuipigia Chadema debe hapa jf na popote pale napokuwa
japokuwa siipendi kabisa ccm iendelee kutawala nchi yetu,lakini napenda nipata nafasi niifahamu chadema kwa undani zaidi
isije ikawa tunawapigia debe halafu wakija kutawala wageuke wabaya kuliko ccm
tumeona mifano mingi hasa hapo jirani Zambia!
ni ombi tu wakuu,na kama nimekukera usitoe comment yoyote hapa,kumbuka hii ni demokrasia!
 
Naona Mods wameanza kuchakachua posts zangu na kuzifuta.
Na Igunga mtafanyiwa hivyo hivyo na Magamba!
 
Mkuu nafikiri umeongea point,tuache unafiki,chadema ina wapenzi wengi kuliko wanachama,next step ni nini?

Mkuu hata huko Ulaya na Amerika, watu wengi tu hawana time na uanachama wa chama cha siasa labda kama unataka kugombea uongozi. Watu hubaki kuwa wapenzi wa chama fulani hasa pale chama kinapokuwa na mwelekeo unaowakuna wengi. Mimi sihitaji kuwa mwananchama wa chama cha siasa maana sihitaji kugombea uongozi lakini kwa sasa mapenzi yangu yako kwa Chadema na inatoka ndani ya moyo wangu na si kwa kushawishiwa kwa kitu chochote. Hatakama chama kingine kitajaribu kutumia mbinu haramu kama kuhonga haviwezi kuniondoa maana mimi si mwanachama bali ni mpenzi. Huwezi kumnunua mshabiki wa MANU akawa mshabiki wa LIVA. It happens from the heart na sivinginevyo.

CCM watapoteza sana maana wao wamebaki na wanachama Chadema inaendelea kusheheni wapenzi. Siku CCM ikishindwa kuwapa pesa wananchama wake ndo itakuwa kiama kwao maana wanachama ni watu wa kutaka masilahi ndani ya chama. Tunaona jinsi wanachama wanavyoleta migogoro kwenye Vilabu vya yanga na Simba kwa sababu hawa huangalia masilahi zaidi.

Nakushauri ubaki mpenzi wa chadema na kama unataka kuwa kiongozi basi ingia uanachama kabisa maana ni kigezo cha kugombea uongozi ndani ya vyama.
 
Watoto wa Mafisadi mmesomeshwa India,Uingereza,Marekani,South Africa mmerudi na hereni,ushoga,usagaji na uteja tuu hapa ndio mnaoongea utumbo humu.Kama mabadiliko mnayaogopa kwa sababu mmekula unga mmekuwa mateja,basi tutawapatia dawa yenu tukichukua dola.kama kwa Idd Amin na Vilema.

Muogope Mungu na umshukuru pia kama hujakutwa na janga hilo katika familia yako. Wale waliopo kule maeneo ya kariakoo, ilala, kinondoni na mataa ya magomeni siyo watoto wa wakubwa na wala tatizo halimalizwi hivyo. Uanaharakati wako pia uwe na staha, siyo kujiropokea tu. Na wala kutofautiana na wewe siyo dhambi kiasi cha ku-label watu kwa vitu wasivyokuwa navyo.
 
Mkuu hata huko Ulaya na Amerika, watu wengi tu hawana time na uanachama wa chama cha siasa labda kama unataka kugombea uongozi. Watu hubaki kuwa wapenzi wa chama fulani hasa pale chama kinapokuwa na mwelekeo unaowakuna wengi. Mimi sihitaji kuwa mwananchama wa chama cha siasa maana sihitaji kugombea uongozi lakini kwa sasa mapenzi yangu yako kwa Chadema na inatoka ndani ya moyo wangu na si kwa kushawishiwa kwa kitu chochote. Hatakama chama kingine kitajaribu kutumia mbinu haramu kama kuhonga haviwezi kuniondoa maana mimi si mwanachama bali ni mpenzi. Huwezi kumnunua mshabiki wa MANU akawa mshabiki wa LIVA. It happens from the heart na sivinginevyo.

CCM watapoteza sana maana wao wamebaki na wanachama Chadema inaendelea kusheheni wapenzi. Siku CCM ikishindwa kuwapa pesa wananchama wake ndo itakuwa kiama kwao maana wanachama ni watu wa kutaka masilahi ndani ya chama. Tunaona jinsi wanachama wanavyoleta migogoro kwenye Vilabu vya yanga na Simba kwa sababu hawa huangalia masilahi zaidi.

Nakushauri ubaki mpenzi wa chadema na kama unataka kuwa kiongozi basi ingia uanachama kabisa maana ni kigezo cha kugombea uongozi ndani ya vyama.

Nakubaliana na wewe,hata ukiwa mpenzi wa chama una haki za kimsingi ndani ya chama
 
Unataka kuijua CDM hapa jf? Unantania ndugu. Ushauri wangu ni huu: nenda kachukue kadi uwe mwanachama, soma katiba ya chama uielewe, hudhuria vikao na chaguzi ndani ya chama, utaijua CDM Mkuu. Kisha njoo utuambie utamu wa CDM! Kila la kheri
 
Wakuu nimekuwa mstari wa mbele kuipigia Chadema debe hapa jf na popote pale napokuwa
japokuwa siipendi kabisa ccm iendelee kutawala nchi yetu,lakini napenda nipata nafasi niifahamu chadema kwa undani zaidi
isije ikawa tunawapigia debe halafu wakija kutawala wageuke wabaya kuliko ccm
tumeona mifano mingi hasa hapo jirani Zambia!
ni ombi tu wakuu,na kama nimekukera usitoe comment yoyote hapa,kumbuka hii ni demokrasia!

Ni chama cha siasa chenye kuamini katika sera za "UBEPARI"

Ni marafiki wakubwa wa vyama ki-BEPARI duniani "Conservative (UK) na Republic (US)

Wana slogan peoples power iliyoibuka kipindi cha uchaguzi 2010 huko nyuma hawakuwa na slogan hiyo...

Sera nyingine kuu ni kuwepo kwa serikali ya "Majimbo" japo wamekaa kimya nayo siku hizi naona hailipi wamebakiza lkuongelea ufisadi period..

hope umepata mwanga
 
CDM ni chama pekee kilichojidhihirisha kinaweza kusimamia kanuni na taratibu ilizojiwekea,naamini hata wakati wa kumrithi mbowe taratibu husika zitafuatwa tuu!!
 
Back
Top Bottom