Natafuta mwanaume wa kuishi nae

Nyumba zote zilizo karibu na chuo ni juu ya budget yangu.
Ndio maana mwanzo nilipanga kuhishi na hao wasichana
Ila ugomvi wao wa kila siku nimechoka, sasa nataka mwanaume
Kuna classmate alisema roommate wanaume ni bora kuliko wanawake

Basi chagua kabisa anayefaa coz anaweza kuja kuwa mumeo
 
Is the apartment furnished?
Not the living, dining and rooms, but there is a second hand furniture shop karibu
Nimepiga hesabu furniture ya vyumba vyote viwili na sebule itakua kama 300 pounds hivi.
naweza kununua then roomate anarudisha kwa kulipa internet peke yake hadi zirudi.
Modern Kitchen, with a large fridge, itatosha sana. the kitchen is vast, unaweza kula humo pia
Did I mention kuna washing machine (Washer-dryer)?
 
500 pounds all inclusive.

Naishi Ushongo Mabaoni.
Mwali, huko Ushongo Mabaoni wanatumia pounds?
Mimi nnakushauri uendelee kutafuta mpaka upate bei unayoimudu ili uishi peke yako.
Nimewahi kuishi na (m)wanafunzi (m)wenzangu na lazima kunatokea matatizo, iwe na mwanamke, mwanamme au mchanganyiko. Kuishi pamoja kazi, ama utakerwa au utakera. Sasa ni mwaka wa nne ninaishi peke yangu, ingawa kipo chumba cha akiba lakini sikodishi.
 
Basi chagua kabisa anayefaa coz anaweza kuja kuwa mumeo
Kwa sasa natafuta tu a good roomate wa kushare rent.
Nia yangu ni kuendelea kua single kwa muda, sio kudate.
Akitaka anaweza kumwalika GF for weekends, ila GF asijifanye mwenyeji.
 
Not the living, dining and rooms, but there is a second hand furniture shop karibu
Nimepiga hesabu furniture ya vyumba vyote viwili na sebule itakua kama 300 pounds hivi.
naweza kununua then roomate anarudisha kwa kulipa internet peke yake hadi zirudi.
Modern Kitchen, with a large fridge, itatosha sana. the kitchen is vast, unaweza kula humo pia
Did I mention kuna washing machine (Washer-dryer)?

Internet ni wi-fi?

How is the crime rate like?
 
Mwali, huko Ushongo Mabaoni wanatumia pounds?
Mimi nnakushauri uendelee kutafuta mpaka upate bei unayoimudu ili uishi peke yako.
Nimewahi kuishi na (m)wanafunzi (m)wenzangu na lazima kunatokea matatizo, iwe na mwanamke, mwanamme au mchanganyiko. Kuishi pamoja kazi, ama utakerwa au utakera. Sasa ni mwaka wa nne ninaishi peke yangu, ingawa kipo chumba cha akiba lakini sikodishi.
Mwenye nyumba anaishi UK na haamini shillingi zetu, anaogopa inflation.
Mi ni mtu simple kabisa na sina makuu (dixit watu wote wanao nijua)
Ikiwa tunashindwa kuelewana itabidi ahame, with a month notice.
 
Internet ni wi-fi?

How is the crime rate like?
Yes, internet ni wi-fi, unlimited package for students. Very fast na signal iko very strong hapa.
The crime rate is very low, unaweza kucheki kwenye website ya city council ya Ushongo Mabaoni
The neighborhood is safe, there is a primary school and a kindergarten 5 min from the house.
Strategy ya meya mpya ya kupunguza criminality ni kuweka cctv kila corner, one of the highest rate duniani.
 
Mwenye nyumba anaishi UK na haamini shillingi zetu, anaogopa inflation.
Mi ni mtu simple kabisa na sina makuu (dixit watu wote wanao nijua)
Ikiwa tunashindwa kuelewana itabidi ahame, with a month notice.

Unatoa notice umeshakuwa mwenye nyumba?? Naomba orodha ya vitu ambavyo tutashare ili nione kama tunaweza ku-co-exist.
1.Jiko 2.Choo........
 
Yes, internet ni wi-fi, unlimited package for students. Very fast na signal iko very strong hapa.
The crime rate is very low, unaweza kucheki kwenye website ya city council ya Ushongo Mabaoni
The neighborhood is safe, there is a primary school and a kindergarten 5 min from the house.
Strategy ya meya mpya ya kupunguza criminality ni kuweka cctv kila corner, one of the highest rate duniani.

What about grocery stores? Are they within walking distance?
 
Unatoa notice umeshakuwa mwenye nyumba?? Naomba orodha ya vitu ambavyo tutashare ili nione kama tunaweza ku-co-exist.Jiko,Choo....
Mimi nataka yeye anilipe mimi, mimi nimlipe mwenye nyumba.
In this case I have some sort of control over the situation.
Nyumba ina juu na chini. juu ni vyumba, bafu na choo moja
chini ni sebule, jiko na choo kingine.
Tuna share vioo, bafu (they are separate, bafu ya bathtube)
tunashare jiko, sebule pana (it has a dining space)
Tuna share corridors, garden. Hizo eneo tunafanya usafi kwa pamoja
Kila mtu anakua na private room yake. hapa kila mtu anajifanyia usafi
 
What about grocery stores? Are they within walking distance?
Kuna turkish na indian shop hapa karibu, kuna BP station shop inauza 24/7
There is a wine shop vile vile, just after the BP station
then ukitembea kama 10 min unafika center ya Ushongo Mabaoni
Kuna duka zote, bank branches, na station ya kwenda hata dar ukitaka
The sea front is further down, 30 min walking toka nyumbani.
 
mimi nipo tayari. vipi kuhusu kupika na kuosha vyombo?. Utaweza kunisaidia mimi nipo maeneo ya twiga kalibia na duce.
hapa sipo kichit chat.
 
Kila mtu anajipikia na kujioshea vyombo. Hakuna kufanyiana kazi
Kuna mwenzangu alikubali kumpikia na kumuoshea vyombo roommate
na roommate akakubali kufua na kufaya usafi wa ndani.
Leo not only anafanya vyote hivyo, pia naona kama wamesha kua wapenzi! :thinking:
 
Ni msaada gani ntapata kwako kama jirani? kama najisikia kuumwa mgongo utaweza kunikanda kama first aid before ya kumuona doctor? je utaweza nirekebisha nguo kama sijavaa vizuri?
 
Back
Top Bottom