Mimi nakunywa lager daily..ok, kumbuka tu kuseparate chupa za bia na waste
Narudi saa 6 usiku,kwenda mbele.. Sina shida, usifanye fujo unapo rudi, kila mtu funguo zake
Huwa narudi na viroba,au kisichana cha Konyagi kwa ajili ya kutafutia usingizi.... Sina shida so long as hamniamshi
Wanawake sina kwani GF wangu anaishi Mkoa tofauti.. Even better!
Nimeona hupendi wifi yako asiishi na sisi... Ni poa...she can come on weekends
Hata hivyo nina rafiki wa kiume anakuja April,sijui tutamweka wapi
ingawa nimezoea kulala naye chumba kimoja..Atalala sebuleni on the sofa, au atalala na wee. asikae zaidi ya wiki, laa siivo itabidi achangie bills
Huwa nashinda nyumbani mara nyingi.. Same here
Shughuli zangu nafanya online.. Same here
Do I qualify...? Yes you do. Kumbuka tu vitu vidogo virogo kama lifting the toilet seat, kutoa ndevu in the sink ect