Natafuta mwanaume wa kuishi nae

Mwali

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
7,014
5,610
Wana JF, salam!

Hapa nilipo nahishi na wasichana wawili ila kila siku wanagombana imekua kero kwangu
Nimepanga kuhama mitaa mbili further, kuna nyumba nzuri, 2 bedrooms, ila ina bei kiasi...
Solution ni kutafuta mtu wa kuchangia nae rent, anachukua chumba kimoja na mimi kingine.
Natafuta mwanaume mstaarabu. mwanafunzi au young professional,bachelor.

Mi mwenyewe ni mwanafunzi, naishi maisha simple, few parties, soft music.
Sivuti sigara wala bangi, kama atataka kuvuta sigara atavutia nje.
Napendekeza usafi, ila naweza kuvumilia desorder ya vitabu hapa na pale
Anaweza kualika wageni ila ni marufuku kuwapa rafiki zake funguo za nyumba

Nyumba yenyewe ina vyumba viwili, sebule, choo na jiko ndani,
ka garden ka kiushkaji, kana barbecue imejengwa na chimney yake
Nyumba ipo barabarani kabisa, karibu na maduka, kituo cha basi next door
Kama uko interested niambie hapa hapa, wana JF wanisaidie kuchagua

Kesho jioni, saa moja kamili kutakua na party kwenye hiyo nyumba
Wana JF wote mmealikwa, hasa valide candidates. Njooni na vinywaji
Hapo hapo ndipo mta-visit nyumba, na ikiwezekana tunamchagua THE roommate.

Mwali

PS: Nimeleta mada chit chat because it is just chit chat!
 
Wana JF, salam!

Hapa nilipo nahishi na wasichana wawili ila kila siku wanagombana imekua kero kwangu
Nimepanga kuhama mitaa mbili further, kuna nyumba nzuri, 2 bedrooms, ila ina bei kiasi...
Solution ni kutafuta mtu wa kuchangia nae rent, anachukua chumba kimoja na mimi kingine.
Natafuta mwanaume mstaarabu. mwanafunzi au young professional,bachelor.

Mi mwenyewe ni mwanafunzi, nahishi maisha simple, few parties, soft music.
Sivuti sigara wala banghe, kama atataka kuvuta sigara atavutia nje.
Napendekeza usafi, ila naweza kuvumilia desorder ya vitabu hapa na pale
Anaweza kualika wageni ila ni marufuku kuwapa rafiki zake funguo za nyumba

Nyumba yenyewe ina vyumba viwili, sebule, choo na jiko ndani,
ka garden ka kiushkaji, kana barbecue imejengwa na chimney yake
Nyumba ipo barabarani kabisa, karibu na maduka, kituo cha basi next door
Kama uko interested niambie hapa hapa, wana JF wanisaidie kuchagua

Mwali

PS: Nimeleta mada chit chat because it is just chit chat!
Kuna faida yoyote ya ziada ntakayoipata ambayo hukuiweka hapa?maana masharti yenyewe nati kinoma.
 
Mi nakushauri acha tu usikae na mtu, au tafuta nyumba ya uwezo wako, utakuja kujuta badae baada ya kumkaribisha huyo mgeni usiyemfahamu
 
Faida za hapa na pale zipo. Mfano usafi:
utafanya mara mbili kwa wiki, na mimi mara mbili.
Ukikaa peke yako utalazimika kufanya mara nne.
 
Nyumba zote zilizo karibu na chuo ni juu ya budget yangu.
Ndio maana mwanzo nilipanga kuhishi na hao wasichana
Ila ugomvi wao wa kila siku nimechoka, sasa nataka mwanaume
Kuna classmate alisema roommate wanaume ni bora kuliko wanawake
 
Faida za hapa na pale zipo. Mfano usafi:
utafanya mara mbili kwa wiki, na mimi mara mbili.
Ukikaa peke yako utalazimika kufanya mara nne.
Hakuna zamu ya kusuguana mgongo japo kwa siku mara 2?then I will take response for all expense!!
 
Back
Top Bottom