Natafuta mwanaume wa kuishi nae

Natafuta mwanaume wa kuishi nae

Mimi nataka yeye anilipe mimi, mimi nimlipe mwenye nyumba.
In this case I have some sort of control over the situation.
Nyumba ina juu na chini. juu ni vyumba, bafu na choo moja
chini ni sebule, jiko na choo kingine.
Tuna share vioo, bafu (they are separate, bafu ya bathtube)
tunashare jiko, sebule pana (it has a dining space)
Tuna share corridors, garden. Hizo eneo tunafanya usafi kwa pamoja
Kila mtu anakua na private room yake. hapa kila mtu anajifanyia usafi

I see so you get to call the shots,veeeery clever!Hopefully haujaongeza cha juu chako kwenye hiyo kodi(kidding nisije tolewa kwenye kura za maoni).
Kwa hizo facilities za kushare hakuna ubaya zinaeleweka na zamu za usafi hakuna tabu.
Vipi kuna TV cable au decoder za aina yeyoye? Maana wengine ni movie freaks+die hard soccer fanatics(hapo kwa kulipia pounds(£) sidhani kama kuna video shows karibu a.k.a Mabanda umiza)
 
Mimekupm angalia namba yangu unipigie. Niko tayari.

Vipi tena unaleta mambo ya kupm? huyu katoa nafasi ya kumalizana hapahapa kwa sababu mtu aliyekuwa anamfanya atumie pm ni saint Ivuga, sasa hivi saint Ivuga kaondoka so anataka mtu kutoka jf ambaye kashampata, ndo mimi. hadi ivuga arudi tuna mtoto.
 
Ni msaada gani ntapata kwako kama jirani? kama najisikia kuumwa mgongo utaweza kunikanda kama first aid before ya kumuona doctor? je utaweza nirekebisha nguo kama sijavaa vizuri?
Nadhani msaada wa kutegemea ni msaada wa kawaida wa binadam
Nina certificate ya first aid toka red cross ya ushongo mabaoni
Ukipata shida za first aid nitakusaidia.
Ila mi nimtu napenda solitude sana, usitegemee company zaidi
 
I see so you get to call the shots,veeeery clever!Hopefully haujaongeza cha juu chako kwenye hiyo kodi(kidding nisije tolewa kwenye kura za maoni).
Kwa hizo facilities za kushare hakuna ubaya zinaeleweka na zamu za usafi hakuna tabu.
Vipi kuna TV cable au decoder za aina yeyoye? Maana wengine ni movie freaks+die hard soccer fanatics(hapo kwa kulipia pounds(£) sidhani kama kuna video shows karibu a.k.a Mabanda umiza)
Kuna Odeon 15 min from home, na theatre hall kama 20 min hivi
TV station ziko included in the internet bundle, but ukitaka TV ununue mwenyewe
Sijaongeza chochote kwenye rent, nitakuonesha contract yangu.
 
Vipi tena unaleta mambo ya kupm? huyu katoa nafasi ya kumalizana hapahapa kwa sababu mtu aliyekuwa anamfanya atumie pm ni saint Ivuga, sasa hivi saint Ivuga kaondoka so anataka mtu kutoka jf ambaye kashampata, ndo mimi. hadi ivuga arudi tuna mtoto.
Hahahahaha, Dubu wewe pia umejitoa kwenye list ya candidates tayari
Nimeshaona unatafuta mengine, sio vya roommate wala nini!
 
First time to hear a place by the title "Ushongo mabaoni"

Mara Odeon... Nimejaribu kuunganisha dots nimeshindwa Mwali!
 
Kuna Odeon 15 min from home, na theatre hall kama 20 min hivi
TV station ziko included in the internet bundle, but ukitaka TV ununue mwenyewe
Sijaongeza chochote kwenye rent, nitakuonesha contract yangu.

I trust my potential future flatmate no need of verifications.Vp kuhusu suala la maombezi? Maana kuna session za maombezi huwa nafanyiwa mara kwa mara. Halafu hilo suala la muziki laini unamaanisha blues,jazz and the like au ni mziki wowote ila uwe wa sauti ya chini??
 
First time to hear a place by the title "Ushongo mabaoni"

Mara Odeon... Nimejaribu kuunganisha dots nimeshindwa Mwali!
Ushongo Mabaoni ndio municipality ninapo ishi. Ni tanga.
Odeon ni jina la Cinema ya hapa Ushongo Mabaoni center
Umenipata sasa mkuu? unataka na wewe nikuweke kwenye list?
 
Cousin mambo? Bora umwambie uncle akuongezee hela ya kodi kuliko kutafuta mwanaume! Lol.
 
I trust my potential future flatmate no need of verifications.Vp kuhusu suala la maombezi? Maana kuna session za maombezi huwa nafanyiwa mara kwa mara. Halafu hilo suala la muziki laini unamaanisha blues,jazz and the like au ni mziki wowote ila uwe wa sauti ya chini??
Swala la maombesi kwanza: Kama ni mara moja au mara mbili kwa wiki,
na kama sio mida ya usiku mkubwa, sina shida kabisa, just let me know
Siku kama hizo nitakua natafuta pa kutembelea, ikiwa nitashindwa kujiunga
Swala la mziki: namaanisha mziki wowote kwa sauti isio ya juu sana, I hate noise.
 
Ushongo Mabaoni ndio municipality ninapo ishi. Ni tanga.
Odeon ni jina la Cinema ya hapa Ushongo Mabaoni center
Umenipata sasa mkuu? unataka na wewe nikuweke kwenye list?

Gharama,nipigie roughly...
Ya mimi personally kukupa wewe...
 
Cousin mambo? Bora umwambie uncle akuongezee hela ya kodi kuliko kutafuta mwanaume! Lol.
Safi sana Cousin. Nimeamua kuhama sasa, hawa dada wananipa presha.
Nimeongea na Uncle, Amaekataa kabisa kuongeza pesa!
Eti najidekesha sana, nibaki hapo hapo. Usimwambie nahama na mwanaume
 
Gharama,nipigie roughly...
Ya mimi personally kukupa wewe...
Asante sana kwa offer ila sina imani na pesa za kupewa.
Kwanza zinakuja na conditions, lazima utimize hizo conditions
pili ukishindwa kutimiza mabomba yanafungwa. hazina guarantee
Ni bora nitafute mtu anae hitaji nyumba kama mimi, makubaliano halai!
 
haya bana, ngoja nitizame mshindi nani.
Naona watu wanachukulia very lightly.
Nyani Ngabu na Ambitious walikuja na maswali kibao
Nikajibu kwa uvumilivu, kumbe walikua wananichora tu
 
Back
Top Bottom