...ushapoteza sifa ya tatu bro,...tafuta kibarua kingine.
acha uzushi wewe!
...ushapoteza sifa ya tatu bro,...tafuta kibarua kingine.
acha uzushi wewe!
...ushapoteza sifa ya tatu bro,...tafuta kibarua kingine.
Shaycas,
Unamaanisha watu wanaotaka kazi Usalama wa Taifa Tanzania wakapange mstari nyumbani kwa mstaafu Mkurugenzi wa Usalama, Hassi Kitine, kwa mazungumzo ya faragha, ndio wewe ulivyopata kazi hivyo huko Usalama? Na kama mtu hamjui Kitine akamwone nani, Apson? Hakuna utaratibu rasmi, sio?
Mjomba, usifikiri kila mwananchi ana access na the Apson's and the Kitine's of the world. Hivi mbona watu wengine wako so out of touch?
Eti unafundishwa "how to secure info and to protect it against un authorized personnel"!
Ndio ukachero huo uliofundishwa huko?
P53 unataka ufanye kazi usalama wa taifa kuna nini?...Una Ajenda gani? kuna lipa au? au unapenda kuwa shushu? kama una akili zako Timamu tafuta kazi ingine ya kufanya na si ya kazi ya kuchunguza watu. ni kazi ambayo at the end hutokuwa na raha nayo.
Pili moja ya ABC za kutaka kazi sehem ni kujua sehem au kampuni hio inadeal na nini...then vema ukaanza kujiandaa mapema incase for interview.
Nakubaliana na Kuhani, huu utaratibu usio rasmi ambao tumejijengea ya kuwa huwezi pata kazi sehem hadi ujuane na mtu si utaratibu mzuri na sie watafuta kazi tunajijengea mazingira ya kutojiamini ya kuwa unaweza pata kazi pasina connections.
Kama alivyosema shy, kila ukiona kazi Gazetini au Mtandaoni au kwa juhud zako binafsi za kupita maofisini na kuacha CV yako, nafikiri unaweza jikuta unaitwa na Hao the so called usalama wa Taifa. Wala kuingia Usalama hapahitaji connections...kwa utaratibu mpya wa sasa Usalama wengi huajiriwa kama wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani, from there then wanakuita kukuuliza kuwa kama unaweza fanya kazi nao, ukikubali watakufanyia uchunguzi wao, ukipita ajira umepata, na Hasa hizi kwa Proffessionals kama wewe unaefanya masters...
hao unaosikia mtaani, ni usalama wasio na elimu(wengi wao huishia form 4 au 6) au wale ambao ndugu zao au Jamaa zao wapo huko then wao ndio wanaakuuunganisha, kwani kazi ya kuchunguza inakuwa rahisi kwao, kwani tayari yeye na familia na rafiki wote washachunguzwa....
Bahati Mbaya wenzetu nchi zilizoendelea wanachukua wasomi na vipanga, sie tunachukua vijana walioishia ,F4 au F6 kuogopa kuhojiwa mara kwa mara na wasomi, maana tushazoea YES kila mara. huu ni kwa uzoefu wangu wa baadhi ya watu ambao walikuwa wakisemwa usalama wa taifa then wengi wao wanaishia F4/F6.
KUHANI,
mimi sio usalama...
...Labda ni clarify kuwa anaweza kuonana na afisa usalama wa wilaya au mkoa au hata makanda wa polisi wa ngazi hizo kwa sababu huwa wanakutana kwa ajili ya kujadiliana mambo ya usalama ya maeneo yao.hata wabunge waliopo kwenye kamati ya kudumu ya bunge ya ULINZI NA USALAMA, wanaweza kuwa na clue
wakuu heshima mbele sana
kwa mnaojua,nisaidieni kunipatia vigezo ambavyo vinaweza kumfanya mtanzania kufanya kazi usalama wa taifa.mtaani nimesikia wakisema hizi kazi huwa unachaguliwa tangia ukiwa shule ya msingi au sekondari huwezi kujipeleka mwenyewe kuomba hizi kazi.je ni kweli?je ni kweli ni lazima upitie mafunzo ya kijeshi kabla ya kujiunga usalama wa taifa?
mimi napenda sana kufanya kazi na usalama wa taifa je siwezi kujiunga uko baada ya miaka 2 nikimaliza masomo yangu(nina miaka 28,nafanya masters sasa).
mods naomba muiache kidogo halafu mnaweza kuiamisha panapostahili.
Mdogo wangu huna sifa. Hii kazi kama unataka hutakiwi kuji publish. Hutaweza kutunza hutayoshuhudia au kuyaona.
Hana sifa kivipi wakati katumia jina bandia? Akienda kuomba hiyo kazi kutumia jina lake la serikali watajuaje yeye ndiye ajiitaye p53 kule Jamiiforums?
Unless kwenye cheti chake cha kuzaliwa jina lililopo ni p53, mimi sidhani kama hana sifa. And for all we know, he could be one of them already....
we hujasoma text yake vizuri. huoni ameshajifanyia kitu kinaitwa profiling.
na pia hatakuwa amshawaambia na marafiki zake before kaja hapa. Based on the profile unaweza kumjua. current masters student, age 28, interest: Usalama, Dislikes: Military Training. Atakuwa kishamuambia one of his/her friends au watu anaofahamiana nao sasa huoni kam hiyo ni profile.
Right, hayo ya kumwona Kitine forget that, save us that. Sasa hivi ume talk some sense, some new sense, sio kwamba ume clarify, maana kumwona afisa usalama wilayani na mkoani ni tofauti na kumwona Kitine. Ahsante. Na pia hizo hadithi ndeeeefu za ma-spy kutangulia kabla ya Kiongozi na kuhusika kwao na "international matters" hayo mambo yanajulikana toka wakati wa kunywa machiwa huku ukiangalia chinema za mkono wa chuma na Jemchi Bondi. So, save me that too, sio mada hapa. Mkuu kataka kujua taratibu za kuingia Usalama, sio wanavyofanya kazi wala maswahiba wa kuwaona.
By the way, kama unasema wewe hauko Usalama, na unaniambia "kila kazi ina siri zake ambazo mtu ambaye hahusiki nazo hatakiwi kuzijua..." je wewe umejuaje kwamba wanachoenda kufundishwa kwenye mafunzo ya us-spy ni "...how to secure info and to protect it against un authorized personnel" ??
Ma-spy wengine bana![/QUOTE
SOMA HATA NOVEL ZINAKUPA PICHA YA KAZI ZAO.MWENYEWE UMESEMA UMEJUA KAZI ZAO HATA KWENYE FILAMU ZA AKINA JAMES BOND.
UBISHI MWINGINE,MWEE!
Lmfao
what's so funny?
Zamani Usalama wa Taifa walikuwa wanapita katika shule za Sekondari wanafanya recruting.
Usalama wa Taifa ni kazi nzuri. Ukitaka kuingia Usalama wa Taifa,lazima utakuwepo ushindani,kwa sababu watu wengi watakuwa wanaitaka hiyo kazi,wengine kwa ajili ya uzalendo,na wengine kwa ajili tu wanatafuta kazi yoyote ile waifanye. Kwa hiyo kuonana na wahusika will be only the first step.
I suggest,uende Kijitonyama,Karibu na Makumbusho kwenye Makao Makuu yao,na uingie mule ndani,uende pale reception,uwaeleze shida yako. I mean kama ukitaka kujiunga na Jeshi si utakwenda Ngome? Kwa hiyo,my suggestion is that you should just walk into their HQ,halafu utapata maelekezo pale.