Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Status
Not open for further replies.
wazo zuri mkuu .
Kama hujawa spotted tangu secondary na Vyuoni huko achana na ayo Mawazo Wewe fanya kazi kwa bidii tu wakikuona siku watakuchukua. Hio idara sijawahi hata kuona Wakitangaza posts sasa sijui hata mnatamani nini kwenda sehemu za uficho ficho kiasi icho? Lakini pia wewe ni Mwanausalama wa Taifa lako na unawajibika kulinda Taifa lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wana JF napenda kujua ni namna gani naweza kujiunga na usalama wa taifa. Binafsi nimekua mpelelezi mzuri sana wa jambo lolote ninalopenda kulijua hivyo naona ningeweza kulisaidia taifa kama watanitumia nikawa sehemu yao.

Wapo wanaosema mpaka uwe na connection, au uwe mwanachama wa CCM. Napende mnipe vigezo na masharti ikiwa ni pamoja na:

1: Umri
2: Elimu
3: Afya nk

Asanteni sana.
 
Nenda ubuyu kajifunze pale kwa wazee wa mbanga wao ni wapelelezi wazuri wanapeleleza nani kaliwa nani kaachwa nani yupo na nani kmapenzi ni wapelelezi wazuri wanapokea mshahara mzuri sana wa mzigo wa madhambi.
 
Hiyo idara unachaguliwa baada ya wao kupitia taarifa zako, uihitaji wao na vigezo vyake wakikuona anatit wao ndo Wana kuselect. Kwahy sikilizia huku ukifanya Dua MUNGU afanye wepesi.
 
Nina maswali machache kwako!
  1. Kama lengo ni kuisaidia inchi, unaweza ukafanya hivyo hata ukiwa raia mwema ukapeleka taarifa zikapokelewa na jeshi husika!
  2. Kama ni lazima unataka uwe jeshini, Je, kwanini unataka usalama wa taifa na si majeshi mengine? Una ajenda gani?
  3. Kama hoja ni upelelezi, kwanini usitamani hata uwe polisi upelelezi, au magereza upelelezi kama lengo ni kuisaidia inchi yako? KWANINI?
Ushauri
Jiunge na JKT kwanza! Then majeshi yote yatakuchukua huko kwa vigezo Vinavyohitajika siyo vile wewe unavyotaka!

Note; Usalama wa taifa haitangazi ajira, Hivyo huna haja ya kuomba vigezo maana Havipo bayana!
Lakini kama ni JKT!

Mkuu wa mafunzo JKT hutangaza nafasi ya mafunzo kila wakati! Nikushauri fuatilia matangazo ya JKT!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom